Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WATU WATATU UNAOTAKIWA UWAFURAHISHE ILI NAWE UISHI MAISHA YA FURAHA Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Umeshakuwa mkubwa sasa. Hakuna kitu unachohangaikia kila siku kwenye maisha kama kuwa na...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
ELIMU ÍLIKUWA MKOMBOZI WA WANAWAKE NA VIJANA MASKINI LAKINI JANGA LA AJIRA LIMEWARUDISHA KULEKULE KWENYE UTUMWA Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Elimu ñdio ilikuwa ukombozi wakutegemewa na...
4 Reactions
11 Replies
927 Views
Katika Mei Mosi ya mwaka huu 2024, Makamu wa Raisi wakati akihutubia akimwakilisha Raisi alisema suala la nyongeza ya mshahara tusubirie Jambo kutoka kwa Raisi mwenyewe. Tunavyofahamu nyongeza...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Hakuna kitu kinakera kama kupakiwa mshikaki,kwanza kuna hali fulani si ya kupendeza unakuta mke wa mtu kakaliwa nyuma na jamaa pale lazima jamaa liskie joto lake au shanga zake na kuvuta hisia...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
TOKEN: 27778552013299055812 UNITS:8.4KWh, MITA: if required, TSh3,000 VAT 18% : 442.62, Umeme huu hauingii TANESCO
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna hatari kubwa ya maandamano ya vijana kwa sababu ajira ni chache na mikakati ya serikali kupambana na tatizo hili ni ndogo ukilinganisha na ukubwa wa tatizo. Sioni mikakati madhubuti ya...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Halmashauri ya Kibaha Mjini imeanzisha oparesheni kamata kamata na kufunga biashara tangu wiki iliyopita. Wanafika kwenye sehemu za biashara wakikuta unadaiwa kiasi chochote kile wanakutoa kwenye...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Salam JF, Leo kwa mara ya kwanza naomba nimtetee Rais wangu baada ya Tafakari kubwa kiasi. Huyu Mama ana maono mazuri ila shida iko kwa wateuzi wake na Machawa. Kwa siku za hivi karibuni...
1 Reactions
2 Replies
607 Views
Kange ni mtaa unaokua kwa kasi sana mkoani Tanga, wilaya ya Tanga mjini. Miaka michache mbeleni, vitega uchumi vingi vitahamia Kange kutokana na idadi ya watu wanaohamia kuongezeka kwa haraka...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Wapendwa wana JamiiForums, Tunafurahia kuwa sehemu ya jamii yetu inayoheshimu faragha yenu kwa kuwaruhusu kutumia majina bandia ili kuwa huru kutoa maoni yenu na kushiriki mijadala kwa namna...
13 Reactions
9 Replies
1K Views
Au ndio serikali iteaendelea kututoza malipo kupita Kwenye Daraja hilo bila ya ukomo?
2 Reactions
15 Replies
635 Views
Anonymous
Hawa watu wanakusanya kila nyumba Elfu 2000/= kwa taka na Ulinzi lakini cha ajabu wakifika nyumba yenye wapangaji wanakusanya kila chumba 2,000/= swali langu kwa mamlaka husika je inakuwa ni haki...
0 Reactions
6 Replies
481 Views
Utaratibu wa uchinjaji wa Wanyama katika machinjio na maeneo mbalimbali yanayotambuliwa Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inalinda afya ya jamii kitaifa na kimataifa kwa kusimamia...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimelipia gharama za kuunganishwa na umeme toka mwezi February mwaka huu. Nimejisomba sana kwenda Tanesco kila leo mpaka sasa nimechoka. Nilipohamia kwenye nyumba nimepata tabu sana mwanzoni...
0 Reactions
2 Replies
542 Views
ETARO SEKONDARI: MATAYARISHO YA KUANZISHA "HIGH SCHOOL" YENYE SOMO LA SAYANSI YA KOMPYUTA (COMPUTER SCIENCE) Idadi ya shule ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini: (i) Shule za Msingi: 120 116 za...
1 Reactions
2 Replies
650 Views
Viongozi wa Tanzania wana kalba ya kutamka maneno ya kuudhi na kutweza wananchi, Huyo alietamka hivyo sijui alikua kalewa au kavimbiwa, yaani eti kiongozi unajisifu Kwa kuiba kura dunia ya leo...
2 Reactions
17 Replies
895 Views
Na Comrade Ally Maftah Nimefarijika sana kumsikiliza rafiki yangu sana Dr Gervas Kasiga ( Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dodoma ) kwamba mwelekeo mwingine wa ajira ni katika sana, ni hakika kwamba Dr...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Salaaam kwenu Wanajukwaa, Hivi kijana unayetafuta mafanikio (utajiri) ambaye bado hujafikia mda wa kuoa au kuwa na mwenza na una kiu kubwa ya kusaka mafanikio. Unakuaje na Mademu?? Upo serious...
14 Reactions
100 Replies
8K Views
Anonymous
Katika halmashauri ya jiji la Mwanza wilaya ya Nyamagana, kata ya Luchelele mtaa wa Silivini mji mdogo wa( Nyamalango) kumekuwa na tabia ya viongozi wa mazingira kutoshughulika na majukumu yao...
0 Reactions
2 Replies
384 Views
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa. Huu...
13 Reactions
581 Replies
54K Views
Back
Top Bottom