Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Moja kati ya hoja zilizomfanya Mke wa Marehemu bilionea Msuya ashinde kesi ya mauaji ya wifi yake ni upande wa mashtaka kuwa na pungufu ya kushindwa kufuata kanuni za kumhoji mshtakiwa pia na...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Taa za boda zinazo badilikabadilika rangi zimekuwa kero na usumbufu kwa watembea kwa miguu na watumiaji wengine wa vyombo vya moto. Likini pia taa hizo ni hatari sana kwa watu wenye tatizo la...
2 Reactions
1 Replies
516 Views
Uzoefu unaonesha kuwa viongozi wengi husikiliza zaidi maneno ya kuambiwa bila wao wenyewe kufanya tafiti. Unakuta kiongozi imehamishiwa mahali akiwa tu mgeni anaambiwa maneno nae anajiunga na...
2 Reactions
6 Replies
399 Views
Baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa wamelalamika kuhusu Single Mother kuwa Mwiba kwenye familia zao na kuhatarisha malezi ya watoto. Wameongeza kuwa watu hawa wamekusa huruma hadi kufikia...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka wasoma mita kuacha mara moja kuwakatia maji wananchi siku ya sikukuu ama jumamosi na jumapili kwa kuwa ni haki yao.Aidha amesisitiza wananchi waombapo...
1 Reactions
3 Replies
751 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kwa mujibu wa maandiko na Imani ya wenzetu wanaamini kwamba Isaka hakuwa mwana wa Ibrahimu aliyetoka kiunoni mwake huku Ishmael akiwa ndiye mtoto aliyetoka kiunoni mwa...
3 Reactions
8 Replies
991 Views
Ufafanuzi Kwanza; tunamshukuru mdau kwa kuibua kero yake hii na pengine itasaidia sana kuuhabarisha umma hasa wafanyabiashara wa mifugo na wafugaji kwa ujumla kuepuka kuuza/kununua wanyama wenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Broad Question, Bila kuleta ushabiki wa vyama sasa hapo ulipo vaa uzalendo ili tujadili Kwa pamoja. Kwanza utambue Kwa rasilimali zetu kama nchi kimaendeleo hatukupaswa kua hapa tulipo sasa kama...
1 Reactions
6 Replies
375 Views
Jeshi la polisi lina mapungufu mengi ambayo sina haja ya kuyataja. Upelelezi huwa unakwenda taratibu lalakini wahalifu watakamatwa tu. Sasa kwa wewe mpumbavu uliyejihusisha / unayepanga...
0 Reactions
4 Replies
404 Views
Hakuna shaka kuwa janga la uharibifu wa mazingira ni tatizo la Dunia nzima, athari za janga hili ni kubwa sana, Tanzania kama sehemu ya Dunia tumeanza/tunaendelea kupitia maafa ikiwa ni pamoja na...
1 Reactions
15 Replies
825 Views
Nakumbuka niliwai kupanga nyumba ya mpenda dini basi kila nacho fanya ujana wangu yani kila siku kuning'ang'ania ni silimu ikabidi nihame ile nyumba. Nikapata nyumba nyengine ya mlokole yani enzi...
5 Reactions
10 Replies
608 Views
Makosa ya kubaka na kulawiti yameendelea kuongezeka Tanzania, ambapo kwa mwaka 2022 makosa ya kubaka 6,827 yaliripotiwa polisi, hata hivyo kwa mwaka 2023 makosa haya yameongezeka kufikia 8,691...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Hii Nchi Kila mtu akipata angle au gape la kutumia basi anatumia bila kupoteza muda. ========= Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mpanda (MUWASA) imemkamata Yusuph Singu mkazi wa mji wa...
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
8 Reactions
330 Replies
11K Views
Habari zenu wanajamvi? Hivi ni sahihi kwa baadhi ya taasisi za serikali kuchaji gharama zao kwa kutumia Dola badala ya Shilingi ya Tanzania(Tsh)? Mfano: Air Tanzania kwa safari za ndani...
0 Reactions
5 Replies
714 Views
Wakuu salama? Naombeni mnitoe "matongotongo" Abiria wa daraja la kwanza au VIP kwenye ndege anatofautianaje na wa madaraja ya kawaida? Nawasilisha🙏
11 Reactions
73 Replies
3K Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
61 Reactions
423 Replies
20K Views
Kila siku naona malalamiko kwenye ofisi yangu kutoka kwa wakaaji wa Magomeni kota mara wanalalamika bili ya Maji ni kubwa wameshindwa kulipa wengine wanalalamika kwamba bili ya taka imekuwa kubwa...
11 Reactions
73 Replies
4K Views
Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
2 Reactions
16 Replies
790 Views
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amelagiza Jeshi la Polisi la Wilaya ya Temeke kukamata Watu wote ndani ya Wilaya hiyo ambao wanapiga picha na kujirekodi video wakiwa na hela kwenye...
17 Reactions
116 Replies
15K Views
Back
Top Bottom