Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Soma vzr halafu useme UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE? (Siyo really story) Una rafiki Yako Ambae tangu uoe hajawahi kumuona mke wako na mnaishi vijiji tofauti tofauti (vya mbali Habari za smart phone...
2 Reactions
0 Replies
360 Views
Katika ibada ya uaguzi nabii anakazana kukuambia nani kakuroga, ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa.
1 Reactions
4 Replies
359 Views
Hatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar. Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya...
16 Reactions
79 Replies
5K Views
Hongera Watanzania na serikali kwa kutumia kodi na kuwezesha mradi kuanza kufanya kazi kwa kipande cha Dar-Moro, Dar-Dodoma safari iliyoanza leo. Napenda kuwashauri watanzania wenzangu huu mradi...
1 Reactions
5 Replies
464 Views
NHC K'NJARO YAIPIGA JEKI JK.NYERERE SEC MIFUKO 50 UKARABATI WA SHULE 25 Julai 2024 Na Mwandishi Wetu,Moshi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)mkoani Kilimanjaro limetoa msaada wa mifuko 50 ya...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Hebu tujadili haya mambo ma3. Vipi kama tukiondoa 1. Dini (sio IMANI) 2. Siasa (SIO UONGOZI) 3. Media - vyombo vya habari (SIO NJIA ZA KUTUMA NA KUFIKISHA TAARIFA) JE jamii ya watu wa kubet...
3 Reactions
0 Replies
156 Views
Anonymous
Kumekuwa na zoezi la kuzuia wanafunzi kufanya mitihani ilhali wamemaliza ada huku wakidai yakuwa mitihani hiyo inabidi ilipiwe fedha ambayo haijaorodheshwa kwenye fomu na si halali kwani, matumizi...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Habari wakuu, Siku ya leo 24/07/2024 majira ya asubuhi nimeumia sana kwa tukio ambalo limenitokea. Hii ni baada ya kumaliza kujiandaa na kutoka nyumbani nikielekea kwenye harakati za mtu mweusi...
20 Reactions
92 Replies
3K Views
Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Jaribu kufikiria unafanya malipo kwa hela nzuri na safi afu unaturudishiwa chenji kama hii. Kwa Mgeni kutoka mataifa mengine anaweza kuona umemdharau kwa kumpa uchafu yaani Takataka 🚮
12 Reactions
56 Replies
2K Views
Watanzania tusipumbazwe na utetezi wa polisi kuhusu utekaji, upo! Ni hivi wizi wa watoto umekuwepo kutoka zama za kale. Wizi wa watoto hufanywa na wanawake ambao hawajabahatika kupata watoto kwa...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
MAREKANI - Mkurugenzi wa Huduma ya Usalama wa Taifa nchini Marekani, Kimberly Cheatle ameomba kujiuzulu huku kukiwa na utata wa hitilafu za kiusalama kuhusiana na jaribio la hivi karibuni la...
2 Reactions
12 Replies
926 Views
Imekua ni kawaida kwa baadhi ya watu kufurahi pindi wanapoona mtu flani kaanguka iwe ni mtu mashuhuri au mtu wa kawaida ambae hana ushawishi wowote katika jamii, lakini pia kuna watu huwa...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Salaam! Ndugu zangu wanajeiefu poleni na majukumu mbalimbali ya kiuzalishaji Mali. Kuna matukio yanaendelea kwa kasi sana yanayoonesha utekaji wa watoto tena yakifanywa na watoto wadogo mno...
0 Reactions
2 Replies
485 Views
Habari, Ndugu zangu TAMISEMI habari zenu! Tunapenda kujua kwanini mfumo wa usajili wa leseni za biashara (TAUSI) haufanyi kazi tangu wiki iliyopita kwanini? Lini mfumo huu utarudi na kuanza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa takwimu za usafiri zilizotolewa na mamlaka ya anga ya Nchi zote inaonesha wakenya wakitumia usafiri wa ndege mara 3 zaidi ya Watanzania ambapo takribani watu Milioni 12.3 walisafiri...
8 Reactions
126 Replies
4K Views
ANDINIKA USHINDE Nina wazo na nikaona ni vyema niliwakilishe kwenu, hata kama sio mahali sahihi mtanisaidia lifike penyewe. Nimekuwa nikiona majanga mengi yatokanayo na mvua kama mafuriko na...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Si kweli Siku aliyofariki mtume HAIPO. Sisi mashia tunaamini siku aliyofariki mtume IPO. Narudia tena ipo na mashia wanaikumbuka, wanavaa nyeusi na Tunalia. Siku aliyofariki mtume apate Tawfiq...
1 Reactions
12 Replies
887 Views
Aliyekuwa Waziri Wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK, Lawrence Kingo Masha anazunguka Makanisani walau aweze kupata msaada wa kimawazo, nini kimetokea ? Hana watu sahihi wa kumsaidia kati ya...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Chuo cha Mitambo mizito (IHET) kimeendelea kutoa mafunzo kwa askari wa Jeshi la Polisi ambapo awamu hii kimeweza kutoa mafunzo na kuwataini askari ambao wamejengewa uwezo wa ukaguzi wa mitambo...
0 Reactions
1 Replies
389 Views
Back
Top Bottom