Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwamfano ikitoa mchungaji au kiongozi yeyote au mfuasi kapga tukio baya kwelikweli au lakitapeli basi magoli yatahamisha kwadini hadi ambayo haijahusika na kadhia hyo ambao n Uislam na utaskia...
6 Reactions
38 Replies
798 Views
Likizo moja mwaka 2021 nilienda kula X mas ujombani,nikakuta mganga maarufu hapo kijijini amekwenda kituo cha polisi kuripoti juwa ameibiwa TV yake 2.Kuna familia moja naifahamu haba yao ni...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
1. WAHAYA - Ngoma zao nazielewa sana vile wanavyo tumia miguu kusigina na kutumia viuno na mikono, ni ngoma inayochezesha mwili mzima. 2. WAZARAMO - Napenda zaidi vyombo vya wapiga ngoma, ni vibe...
0 Reactions
2 Replies
415 Views
Kuna video moja inayohusu nchi ya mbali kabisa ya Tataipa. Huko kulikuwa na waziri aliekuwa anapitisha sheria kuhusu mambo ya jela, alipitisha sheria ngumu sana lakini sheria moja ni wafungwa...
2 Reactions
6 Replies
407 Views
Dunia ni uumbaji unao ishi na kupumua, uliozungukwa na nguvu zisizoonekana, nguvu hizo ndizo zinaifanya dunia iendelee kuishi, na kuruhusu uhai na kuifanya iendelee kua hivi tunavyoiona kwa...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau, Mwenye softcopy ya mwongozo wa utendaji kazi katika jeshi la polisi (Police General Order) naomba anisaidie kuiweka hapa au anitumie kwenye email theweeknd9911@gmail.com Asante. ====...
2 Reactions
126 Replies
56K Views
Huko Mexico Kuna mchungaji mmja wa Kanisa la Kilokole ameingiza Mamilioni ya pesa Kwa mauzo ya viwanja vya Kanisa lake vilivyopo Mbinguni. Bwana huyo amedai Alipewa Kibali na Mungu kufanya mauzo...
14 Reactions
44 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe, leo Agosti 28, 2024 amefika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam ili kusikiliza shauri linalowakabili viongozi wawili wa Baraza...
2 Reactions
4 Replies
461 Views
Habari wakuu, Kuna watu humu wanasema wao ni introverts, kwamba wao wanapenda kujitenga, wanatafakari sana. Ukirejea katika facts kuhusu introverts -ni wagunduzi wazuri sana na wanasayansi wengi...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe, Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Nimesikitishwa na jinsi maiti zilivyokutwa kwa mganga wa kienyeji kule Singida. Hii ni moja ya matokeo ya tamaa kali za mali hasa kwa vijana wa siku hizi wakisukumwa kauli mbiu za kipumbavu...
1 Reactions
1 Replies
431 Views
Agosti 26, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa mendelezo wa uchunguzi na mahojiano yaliyofanywa dhidi ya watuhumiwa watatu waliobainika kumuua Samwaja Sifael Said kwa kumnyonga hadi kupoteza uhai kisha...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kila siku najiuliza waislamu weanafindishwa nini kuhusu maosha ya dunia, wengi na matajiri wakutupwa ila huwezi kuwagundua kimuonekano kitabia hata kwenye sehemu ibaada zao, akichelewa unakuta...
10 Reactions
103 Replies
4K Views
Ni kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikoa ya pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu...
4 Reactions
6 Replies
806 Views
TAMBUA UNYWAJI SAHIHI WA POMBE Kitu cha msingi kwenye pombe siyo kujua aina ya beer au kilevi. Kitu cha msingi ni kujua percentage of pure alcohol (asilimia ya pombe halisi) na ujazo wake (...
35 Reactions
121 Replies
8K Views
Nilikuwa na jambo langu ambalo limeshaisha kwenye haya mabaraza/mahakama kitengo cha ardhi, huwa wateja tunakaa na wanaita kesi ili wahusika wafike sehemu husika. Kesi zilizojaa ni mtu flani vs...
3 Reactions
3 Replies
394 Views
Bodi membaz ! Kwa heshima kubwa, nina hamu sana ya kujua alipo Wakili maarufu aliyeendesha kesi ya kutaka kumpindua Rais wa awamu ya kwanza Mwl JK Nyerere. Alipambana na akina Mabere Marandu and...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Jana Lissu na wenzake baada ya kufikishwa kituo cha Polisi Karatu mambo yalikua hivi; LISSU: Mheshimiwa OCD mmetukamata kwa kosa gani? OCD: Uchochezi. LISSU: Lina dhamana au halina dhamana...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mara nyingi watu hufanyiwa vitendo vya hovyo, udhalilishaji na kunyimwa haki zao za kisheria na kikatiba na polisi wetu kwa kukosa uelewa wa PGO. Hali hii hufanyika kwa makusudi na polisi ama kwa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom