Wakili Murtaza Lakha yuko wapi !? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakili Murtaza Lakha yuko wapi !?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ally Kombo, Apr 16, 2012.

 1. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Bodi membaz !
  Kwa heshima kubwa, nina hamu sana ya kujua alipo Wakili maarufu aliyeendesha kesi ya kutaka kumpindua Rais wa awamu ya kwanza Mwl JK Nyerere. Alipambana na akina Mabere Marandu and Co. mpaka wakawa wanaonekana wanachemsha ! Pia alikuwepo mkuu wa usalama wa taifa ambaye baadae alikuwa mkuu wa mkoa kule songea.

  Mwenye dondoo za kumbukumbu za ile kesi anaweza kuzitupia. Ukizingatia 'system' ilivyokuwa inaogopwa, huyu Wakili alikuwa anasisimua sana !
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wakili Alhaj Murtaza Ahmed Lakha amefariki Mei 18, 2010 akiwa London.
   
 3. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  RIP Murtaza Lakha ingawaje ulitetea haki za wahaini mwanzoni mwa miaka ya 1980s
   
 4. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mwenyezi Mungu amuweke pamoja na watu wema ! Nilimpenda ujasiri wake haswa ukizingatia kipindi kile hata kichaa wabongo walikuwa wanamuona ni 'Usalama wa Taifa'
   
Loading...