Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ben Saanane alikuwa mmoja wa wanaharakati wa kisiasa wenye sauti kali ndani ya CHADEMA, hususan akifahamika kwa msimamo wake wa kukosoa serikali ya wakati huo. Kabla ya kupotea, Ben alikuwa...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimejiuliza kuwa Maria ndiye Mama wa Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo hivyo nilitarajia kuona maelezo ya kutosha kumuhudu ndani ya Biblia. Hata ni Quran takatifu peke...
2 Reactions
8 Replies
614 Views
Wananchi mkoani Manyara wameaswa kujitokeza kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwakuwa hiyo ni haki yao kisheria. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa...
1 Reactions
0 Replies
308 Views
Tabia ya udangaji miongoni mwa wanawake imekuwa inatokana na tofauti za kijamii, kiuchumi na majukumu ya kijinsia ambayo mara nyingi yamewazuia wanawake kupata uhuru wa kifedha. Mila na desturi...
2 Reactions
10 Replies
736 Views
Vijana wa mwaka 2000 mpaka sasa inasemekana ni hatari sana. Wanahitaji ushauri. Vijana hawa wamekuwa wakionekana wakiwa wanashindana na "walipotokea" Huyu mwamba kwenye picha, kila akipita na...
3 Reactions
5 Replies
532 Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amempongeza Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya shilingi Bilioni 2 kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
470 Views
Leo nimeona mijadala fulani ila ilikua inajenga maelezo kuhusu vitabu vyote viwili biblia na Quran, ukiangalia vitabu vyote vimeeleza matukio na historia na wala sio yaliyoshushwa kama wasemavyo...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Naomba kuuliza huwa ni baada ya muda gani kupata namba yako ya NIDA baada ya kumaliza kupiga picha na kukamilisha usajili?
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna nini pale sio kwamba mikataba ya ajabu imewekwa na Sasa muwekezaji anafosi wamaasai watoke na ana ushindi hata mahakamani? kama Kuna watu Wana vibali vya kuwinda je hawafanyi zaidi ya...
0 Reactions
6 Replies
364 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Aksante Mungu Kwa ufunuo huo mkubwa nitaendelea kujifunza Niwatakie mchana mwema
3 Reactions
1 Replies
359 Views
Mwanamke mmoja ajulikanae kwa jina la Rosalia Chuwa mwenye umri wa miaka 59 kutoka katika kijiji cha Utaruni ,mkoani kilimanjaro amemuua mama yake mzazi ajulikanae kwa jina Anastasia Shio mwenye...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amempongeza Dk Faustine Ndugulile kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Naomba kuuliza je SGR wana app yao ambayo unaweza kukata tiketi kwa njia ya mtandao au tovuti? Msaada tafadhali
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii dhana kwamba wanawake huenda wasiwe na hofu kubwa ya kuwa kuuanika mwili kuliko wanaume inaweza kuathiriwa na mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, kisaikolojia, na kibiolojia...
4 Reactions
3 Replies
572 Views
Wakuu, hii Hali inanikuta Mimi tu au ni Kwa WATUMISHI wote. Kila nikijaribu kufungua hii web Huwa inagoma kabisa. Msaada tafadhali.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya...
1 Reactions
0 Replies
371 Views
Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa misitu imezindua kampeni ya kupanda miti zaidi ya Bilioni moja katika mikoa ya kaskazini ili kunusuru barafu ya Mlima Kilimanjaro. Kampeni hii ya...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai...
2 Reactions
2 Replies
412 Views
Mimi kama muhaya, nshomile kutoka Uhayani Republic, imenibidi niingie chimbo kuleta maelezo kamili juu ya hii vita ya Israel na palestina ambayo kuna watu wanadhani Gaza inapigwa kwa bahati mbaya...
9 Reactions
83 Replies
10K Views
Matajiri wengi katika nchi zinazoendelea, kama Tanzania, huwekeza kwenye miradi ambayo huenda isilete manufaa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi. Kwasababu:- 1. Kutegemea Usindikaji wa Pili na...
2 Reactions
0 Replies
390 Views
Back
Top Bottom