Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,945
- 4,827
Habari wakuu,
Kuna watu humu wanasema wao ni introverts, kwamba wao wanapenda kujitenga, wanatafakari sana.
Ukirejea katika facts kuhusu introverts
-ni wagunduzi wazuri sana na wanasayansi wengi wanatokea katika kundi hili
Mfano wa introverts inadaiwa ya kuwa ni Albert Eistein, Mark Zuckerberg, Bill Gates na wengineo wengi.
Swali: introverts wa Bongo mbona hatusikii maajabu yao
Nawasilisha