Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dogo ni mvivu kuongea balaa. Usipomchokoza ukamuongelesha basi ujue mtakaa kwenye hali ya ukimya hivyo hivyo. Kujielezea hisia zake ni mziki mzito labda abanwe sana ndio atasema kidogo. Naona...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Kuna uhusiano gani kati ya usiku na kuzidi kwa maumivu? Mfano mama mjamzito uchungu huchachamaa zaidi wakati wa usiku. Hivyo hivyo jino huuma zaidi wakati wa usiku. Hata homa hushika mwili hasa...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
SALA bora kabisa duniani ndiyo hiyo: Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa. Maria mtakatifu, Mama wa Mungu...
12 Reactions
47 Replies
2K Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Soko la Kijichi lililojengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu ya Dar (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), linaonekana kama limetelekezwa...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Watu walioumizwa kihisia mara nyingi huonyesha tabia maalum. Hapa kuna ishara 11 za kawaida: Mara nyingi hutafuta njia za kujishughulisha ili kuepuka mawazo yenye uchungu. Wakati fulani...
1 Reactions
4 Replies
489 Views
mwenyekiti wa chama cha wagonjwa wa kisukari prof.Andrew Swai amewataka watu kuacha matumizi mabaya ya pombe ili kujiepusha bna magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kama kisukari, magonjwa ya figo...
2 Reactions
4 Replies
528 Views
Matumizi ya AI yameshika kasi, uwezo wa program hizi kutengeneza picha kutokana na maono au mawazo ya mtumiaji, kumeongeza wimbi kubwa la picha hizo zikitumika katika maeneo tofauti. Wasi wasi...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Baadhi ya Wananchi Wakazi wa Kata ya Lamadi, Wilayani Busega wamedai baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi walishiriki kuwapiga na kuwapora fedha Watu wakati wa zoezi la kuwadhibiti Waandamanaji...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, ameiomba Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuwezesha zoezi la Uhakiki wa...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Taifa limejaa wasomi ila ukisikiliza wanachoandika (kupitia machapisho yao) na wanachoongea unaweza kulia. PhD zimejaa kwenye siasa na kuacha mediocre kwenye academia. NB: Duniani huko...
1 Reactions
6 Replies
414 Views
📞SIMU KWA SIR GOD 📞Sir God..si ni wewe ndo unasema umeumba ulimwengu KWA siku 7 📞 Sir God..si ni wewe ulieumba makabila mengi duniani lakini ukachagua ISLAEL kua kabila lako pendwa na ukalitumia...
9 Reactions
61 Replies
2K Views
Katika uchambuzi, imeonesha kua biblia ndio kitabu kinachoongoza kua na maandiko yenye ukatili zaidi kuliko kitabu kingine chochote cha dini. Mungu wa kwenye biblia amekua akiamrisha mambo ya...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Jana Mahakama Kuu ya Tanzania, imesema kwamba Polisi haijawashikilia Deus Soka na wenzie wawili (Frank Mbise na Jacob Mlay) wanaodaiwa kutekwa maeneo ya Yombo Buza, na watu wenye silaha kwa...
16 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu,hii ipoje kivuko kipindi cha mwenda zake kilikuwa ni 24 hrs kwa sasa imekuwa tofauti toka 7 usiku tupo jam Busisi eti hadi kuche ile kauli kuwa kazi iendelee ina...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Angalia mahojiano kati ya Manara Tv na mwanasiasa na wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mfanyabiashara wa magari ndugu Hashim Spunda Rungwe, kuanzia dakika ya 35:09 anaulizwa kuhusiana na...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wakuu, Hivi hapa kutakua na shida gani. Naenda naambiwa leo fulani hayupo ndio anafanya hiyo kazi. Sasa imefika muda naanza kubembeleza sasa.
1 Reactions
13 Replies
771 Views
Kama unadhani maruhani yapo kwa viumbe hai utakuwa umekosea sana.. Maruhani yapo pia kwenye vitu visivyo na uhai na lugha pia Hebu waza kwa makini usahihi wa sentensi kama hizi 1. Maji yameenda...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Tunaelewa kwamba maadui hawakosekani hasa ukiwa na potential ya kukuwa. Je yupi ni adui wa Tanzania?
1 Reactions
6 Replies
391 Views
Kwa hasira kuu. Huu uchawa pro-max ukome. Ni kodi zetu, siyo lazima kila mradi upewe jina la viongozi, wengine ni nuksi tu watasumbua generation zijazo, wengine majina yao hayana swagger...
2 Reactions
8 Replies
407 Views
Back
Top Bottom