Nafanyaje kumkomboa kijana wangu asiwe introvert?

Nafanyaje kumkomboa kijana wangu asiwe introvert?

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2008
Posts
842
Reaction score
1,549
Dogo ni mvivu kuongea balaa.

Usipomchokoza ukamuongelesha basi ujue mtakaa kwenye hali ya ukimya hivyo hivyo.

Kujielezea hisia zake ni mziki mzito labda abanwe sana ndio atasema kidogo.

Naona ana kila dalili ya kuwa introvert promax.

Je, kuna dawa ya hali hii au nafanyaje kumsaidia kuondokana na hali hii?

Maana kwa resi za dunia hii naona atapata taabu kama ataendelea hivi.
 
Introvert is better then extrovert always, awa jamaa huwaga ni ma smart sana kichwani, na ndo wamefanya hadi leo dunia ifike hapa tulipo fika kimaendeleo. Achana na hawa wabwabwajaji.

Introverted individuals often excel in focused, independent work, displaying strong analytical and creative abilities. Their capacity for deep reflection can lead to thoughtful decision-making, and they tend to cultivate meaningful, lasting relationships with a smaller circle of friends.
 
Introvert ni jambo zuri cha muhimu muandalie supportive environments kukaa katika quiet place you earn more ideas.

Huyo mtoto ni treasure ikiwa utamwekea mazingira wezeshi mambo ya self esteem unamjengea kupitia personality yake.
 
Introvert ndio mchongo ila kuwe na resources za kuwezesha Hali ya introvert kufanya ubunifu na kutengeneza pesa, muwekee mazingira tu ya kimtaji, vifaa kama laptop na ujuzi kama Coding kuhusu Confidence Kuna Hub kibao mpeleke

Kama hayo hayapo atapata shida maana michongo ya kunjunga mingi ni ukima ukima, mbwa kala mbwa
 
Introvert ni jambo zuri cha muhimu muandalie supportive environments kukaa katika quiet place you earn more ideas .
Si mazingira tu amuwekee resources hasa za teknolojia Kama Laptop, Internet access na soft skills
Huyo mtoto ni treasure ikiwa utamwekea mazingira wezeshi mambo ya self esteem unamjengea kupitia personality Yake
Self esteem Kuna Hub nyingi Dar wanafundisha hadi public speaking
 
Hata mimi ni introvert na zamani nilidhani ni jambo baya

Asilimia 80 ya watu wenye akili sana na mafanikio makubwa ni maintrovert

Mwache huyo mtoto aendelee na maisha yake

Kupayukapayuka au kuongea ongea kila wakati ni ishara ya ushamba na kutojiamini
 
Broo wake nipo hapa, nipo katika huo msoto

Ukiweza kumpambania atoke ktk hiyo hali fanya hivyo japo navyojua mim haiwezekani (kama mim nilivyoshindwa kujibadilisha[emoji24][emoji24])


Japo naonaga wanasema kuna faida zake lakin naona hakuna cha maana, hatoenjoy dunia, people so judge about u, kimtindo ni shida
Duniani ukiwa si mtu wa ku-reason ndo utakula bata
 
Introvert ndio mchongo ila kuwe na resources za kuwezesha Hali ya introvert kufanya ubunifu na kutengeneza pesa, muwekee mazingira tu ya kimtaji, vifaa kama laptop na ujuzi kama Coding kuhusu Confidence Kuna Hub kibao mpeleke

Kama hayo hayapo atapata shida maana michongo ya kunjunga mingi ni ukima ukima, mbwa kala mbwa
Extrovert ili awe chawa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom