Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani hiki chombo cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi, aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi...
18 Reactions
210 Replies
5K Views
Kuna jambo linastaajabisha sana kwa hawa ndugu zetu ma-askari polisi. Yaani polisi anaamka asubuhi kwenda kazini anaaga mke au mume, watoto, baba, mama kutesa au kuua binadamu mwenzake. Halafu...
1 Reactions
5 Replies
396 Views
The BRICS trading system is already wiping out US farmers, as global price discovery is destroyed (2024.08.29) Millions of tons of annual agricultural trade is now being conducted OUTSIDE the US...
2 Reactions
1 Replies
479 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Arusha, Agosti 30, 2024 - Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kupanua wigo wa uwekezaji nje ya mipaka ya nchi. Hayo yameelezwa...
2 Reactions
1 Replies
387 Views
Imeundwa August 25/ 2024 na kufanyiwa maboresho August 26-27/2024 LOGO Imeundwa na Kamati yetu ya Ubunifu kwa kushirikiana na kampuni ya Strain Org inayomilikiwa na MwanaKigoma. Imeundwa Kwa...
1 Reactions
1 Replies
909 Views
Ndio hivyo kusifiwa tu kwamba fulani ana mkwanja mrefu hakuna jipya mengine yote hata wenye maisha ya wastani wanayo.
16 Reactions
66 Replies
2K Views
Kisayansi Yai na sperm ni cell inayoishi hivyo huitwa LIVING things. Wale wanaodai kua mtoto ambae hajazaliwa si binadamu ni wauaji kama wauaji wengine. Samahani Kwa kuwaumiza Moyo, lakini Mimba...
8 Reactions
133 Replies
3K Views
Watu wanne wamenusurika kifo baada ya kupigwa na kukatwa mapanga pamoja na gari waliyokuwa wakiitumia aina ya Raum kuchomwa moto katika Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara kwa kudhaniwa kuwa ni wezi wa...
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Watumiaji wa X (Twitter) mliopo JF, naomba kujua X kwenye vifaa vyenu mnaipata bila matatizo? Kwenye simu yangu tokea mchana wa leo X haifunguki: kwenye app na web. Nimejaribu kutumia Proxy...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa orodha ya 'Bloomberg Billionaires Index' imemtaja Bilionea Johann Rupert kutoka Afrika Kusini kuwa Mwanaume tajiri zaidi barani Afrika Rupert anamiliki Kampuni kubwa duniani ya...
2 Reactions
5 Replies
956 Views
Mzee mmoja ajulikanae kwa jina la Daniel Epiniel ambaye ni mpangaji katika nyumba ya Bwana Joseph Mollel iliyopo Kata ya Sekei jijijini Arusha, anashikiliwa na Polisi baada ya kutuhumiwa...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
Wakristo wakifunga ndoa huwa wanakula kiapo cha " KUISHI PAMOJA KWA SHIDA NA RAHA" RAHA inasimama badala ya MUNGU. SHIDA inasimama badala ya SHETANI. So kwa maana nyingine ni kiapo cha...
3 Reactions
51 Replies
24K Views
Anonymous
Kuna bar moja inaitwa Flamingo ipo Salasala DSM katika ya makazi ya watu inapiga mziki mkubwa usiku kucha. Inatuletea usumbufu majirani unakuwa na kelele za bar ujakaa sawa kuna kelele za makanisa...
0 Reactions
1 Replies
529 Views
HADITHI YA UUMBAJI YA UGNOSTIKI ➖Mojawapo ya mambo yaliyoweka ugnostiki tofauti na aina nyingine za Ukristo wa hivi karibuni ni kuhusiana na Hadithi yao ya kushangaza ya uumbaji ni tafsiri ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wala hakuna kisingizio cha ukoloni, nchi kibao zikiwemo india, korea kusini, China, n.k. zilitawaliwa lakini leo zipo mbali mno Msione kuna hizi kelele za viongozi wanasema nchi ipo salama...
1 Reactions
0 Replies
288 Views
WATU WANAODHARAU KAZI ZA WATU WENGINE UKIWAFUATILIA WALIKUZWA NA KUSOMESHWA NA WAZAZI AU WALEZI WALIOFANYA KAZI ZA KUPIGA DIL Bado naendelea na utafiti wàngu. Lakini Mpaka Hapa nilipofikia...
1 Reactions
0 Replies
338 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 31 Agosti...
0 Reactions
2 Replies
873 Views
1. Wanandoa wenye miaka kadhaa wakihangaika kupata watoto. 2. Wanaoelekea kufilisika kwa kujigharamia au kugharamia matibabu ya wapendwa wao. 3. Wanawake wajawazito wajifungue salama. 4...
3 Reactions
11 Replies
574 Views
Wizara ya Mambo ya Ndani imesema Mwananchi yeyote anaweza kuwasilisha Malalamiko kwa Viongozi wa Jeshi la Polisi ngazi ya Vituo, Wilaya, Mikoa na Mkuu wa Jeshi hilo (IGP) endapo watafanyiwa...
2 Reactions
11 Replies
996 Views
Kwa niaba ya watanzania, Mhe. Mhagama naomba pitia huu ushauri kuhusu wizara ya Afya na msaada kwa wananchi. Serikali chini ya Rais wetu mama Samia naomba muanzishe HEALTH INFORMATION CALL...
1 Reactions
0 Replies
456 Views
Back
Top Bottom