Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAHANGA WA MATUKIO YA KUTOWEKA NA KUTEKWA (ENFORCED DISAPPEARANCES) Dar es Salaam, Agosti 30, 2024 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Agosti 30...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watoe taarifa kwa mamlaka husika pindi wanapokuta kuna bidhaa zisizo rasmi zimeagizwa kutoka nje, zinazalishwa au zinasambazwa nchini. Ametoa wito...
0 Reactions
2 Replies
422 Views
1. Husonga Mbele. Huwa hawapotezi muda kujisikitikia na kujipetipeti. 2. Huyapokea Mabadiliko.Huyakaribisha mabadiliko kwa mikono miwili 3. Huwa Wenye Furaha. Hawapotezi nishati zao kwenye mambo...
6 Reactions
5 Replies
657 Views
Zoezi la uhakiki wa taarifa bank ya NMB ni kero kwakweli, foleni ni ndefu kila branch, watendaji hawajipanga, inchukua hadi dk 20 kwa mtu mmoja kuhudumiwa na wahudumu kwa kila branch ni mmoja...
25 Reactions
188 Replies
13K Views
Watoa huduma ndogo za fedha na vikundi vya kijamii nchini vinavyojihusisha na huduma za mikopo vimetakiwa kuwapatia nakala ya mkataba wananchi wanaowakopesha mikopo. Akizungumza katika program...
2 Reactions
1 Replies
630 Views
Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii. Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha. Makampuni yatakutafuta usiku na...
4 Reactions
9 Replies
934 Views
Wadau habari za mchana. Kuna hili jambo la kulipishwa gharama ya malipo ya Serikali namawakala nilikuwa nalisikia kwa watu leo limenikuta. Nimeenda kufanya malipo ya TZS 560,000/= kwa CONTROL...
1 Reactions
4 Replies
494 Views
Na Mwandishi Wetu Arusha. Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL , limesema inandelea kuwezesha nchi zinazoizunguka Tanzania kupata huduma ya Mawasiliano kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano unao...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Je ni sahihi mchungaji kukiri kuwa alikuwa mvuta bangi mbele ya waamini wake? Asubuhi njema
1 Reactions
12 Replies
584 Views
Leo nimeamka vizur sana, sikutegemea siku yangu itaelekea kuwa chungu. Nipo zangu posta natembea mdogomdogo kuelekea ofisini asubuhi ya leo, mara ghafla kuna jamaa akaanza kuniongelesha (umri...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Jama yangu huyu tukishinda wote Kijiweni tunasubiria kahawa na kashata za bure ghafla kapotea baada ya wiki nne anapiga simu kapata kazi kwa wazungu Cha ajabu...
27 Reactions
164 Replies
5K Views
Polisi mnawachukuliaje CHADEMA na wanachama waoo. Kwa taarifa ya Leo Nimesikitika sana
0 Reactions
2 Replies
197 Views
TCRA vs VPN: [emoji3581]Moja, TCRA haina mamlaka kisheria kumtaka raia kwa LAZIMA atoe "IP Address" yake. Hata KUOMBA raia atoe "IP Address" ni kosa. Hili la VPN nalo linapotoshwa tu. Matumizi ya...
5 Reactions
4 Replies
3K Views
Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu. Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Baada ya usajili wa Mussa Kipanya pale Wasafi FM kwenye kipindi Cha Good Morning. Huyu Mwamba simuoni. Napenda kujua yupo wapi Mimi ni mfuasi wa utangazaji wake
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna hii torch ya shoti(pichani) nataka niinunue, je kuna hatua zozote za kufata kama vile kumiliki bastora?. Hii torch ina 30000K Volt kazi yake kubwa ni kupiga shoti nahitaji kuimiliki kwa ajili...
2 Reactions
2 Replies
576 Views
Ufunuo 12:1 "Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!" Luka 1:26 "Mnamo mwezi wa sita...
13 Reactions
150 Replies
8K Views
Habari zenu ndugu watanzania!!!! Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF. Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Bunge ni chombo muhimu kwa maslahi ya pana ya Taifa hususani katika kuweka sheria na utaratibu wa kanuni/sheria za nchi,maadili ya viongozi na usimamizi wa chama/serikali tunapofanya mzaha katika...
1 Reactions
1 Replies
340 Views
Dogo ni mvivu kuongea balaa. Usipomchokoza ukamuongelesha basi ujue mtakaa kwenye hali ya ukimya hivyo hivyo. Kujielezea hisia zake ni mziki mzito labda abanwe sana ndio atasema kidogo. Naona...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Back
Top Bottom