Ni kwa sababu usiku una utulivu mwingi , wakati usio kuwa usiku kunakosekana utulivu huvyo baadhi ya issues hutulia ila kukiwa na utulivu baadhi ya issues hukosa utulivu.Kuna uhusiano gan kati ya usiku na kuzidi kwa maumivu?
MFano mama mjamzito uchungu huchachamaa zaidi wakati wa usiku
Hivyo hivyo jino huuma zaidi wakati wa usiku
Hata homa hushika mwili hasa nyakati za usiku kunani??
Iliwahi kunitokea , niliachwa saa 8 mchana ila usiku ndio nilijua nini maumivu ya kuachwa.na usiombe ukaachwa na mpenzi wako usiku! unaweza ukalia machozi yakawa yanakuja kwa nyuma yani yanakimbilia masikioni na hapo ni umesimama!..
Hata usiku wa deni hauchelewi kukucha
Usiku wa njaa ni masaa 24 hadi kukuchaHapo bado hujasema usiku wa njaa 🤣
Kuna uhusiano gan kati ya usiku na kuzidi kwa maumivu?
MFano mama mjamzito uchungu huchachamaa zaidi wakati wa usiku
Hivyo hivyo jino huuma zaidi wakati wa usiku
Hata homa hushika mwili hasa nyakati za usiku kunani??
Mwili unakua katika hali ya utulivu zaidi , viwango vya hormone ya kupunguza , maumivi pia hushuka,pia nyakati hizi mwili umetulia mfumo wa fahamu huwa active zaidi.
Wanasema usiku kuanzia saa sita usiku malango ya kuzimu hufunguka Hadi saa kumi alfajira na mbingu nayo hivyo hivyo!
Ndio maana wagonjwa wengi hufa usiku was manane kuliko mchana!
Unganisha dots na hayo maumivu!
Ni mwendo new ids TU kuelekea 2025
Ni kwa sababu usiku una utulivu mwingi , wakati usio kuwa usiku kunakosekana utulivu huvyo baadhi ya issues hutulia ila kukiwa na utulivu baadhi ya issues hukosa utulivu.
Hata mimbaa nyingi upatikana usiku kwakuwa mnakula lilee tunda Kwa utulivu mzuri zaidiii
Hata niege usiku zinakua Mara dufu ndio maana vijana wengi hujichukulia Sheria mkononi wakati wa usiku.
Someni kitu kinaitwa circadian rhythm.Maumivu hayana wakati, labda kama ujabanwa kisawasawa
UongoooooWanasema usiku kuanzia saa sita usiku malango ya kuzimu hufunguka Hadi saa kumi alfajira na mbingu nayo hivyo hivyo!
Ndio maana wagonjwa wengi hufa usiku was manane kuliko mchana!
Unganisha dots na hayo maumivu!
Ni mwendo new ids TU kuelekea 2025
"........ Mi ni giza Kuna vingi vya kutisha chunga sana pindi inapofika usiku, usiku..... "Wanasema usiku kuanzia saa sita usiku malango ya kuzimu hufunguka Hadi saa kumi alfajira na mbingu nayo hivyo hivyo!
Ndio maana wagonjwa wengi hufa usiku was manane kuliko mchana!
Unganisha dots na hayo maumivu!
Ni mwendo new ids TU kuelekea 2025
F
fafanua zaidi hapa mkui kwann tuwe waangalifu inapo fika nyakati za usiku
Kuna vingi vya kutisha nyakati hizo nivip hivyo maelezo zaid plz