Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

DHANA YA MAUAJI YA KIMBARI NA UHALISIA WAKE Msamiati wa "mauaji ya kimbari" ( Genocide) ni msamiati ambao tumekuwa tukiusikia Mara nyingi tu hasa kwenye vyombo vya habari na Mara nyingi...
8 Reactions
21 Replies
6K Views
Taarifa kutoka Netblocks zinasema mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania --- Confirmed: Live metrics show that X (formerly Twitter) has been restricted on Tanzania's main internet...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Tunahangaika sana na Jeshi la Polisi kukimbizana na waarifu wanaofanya vitendo hivo. Lakini Binafsi, Sina hakika sana kama Kuna Sheria na kanuni ambazo zinaenda Moja Kwa Moja KUMLINDA MTOTO...
1 Reactions
9 Replies
790 Views
Hukumu inayotolewa na mahakama zinaathari kubwa Zinakuwa reference katika kesi mbali mbali zinazotokea na kutolewa uamuzi, katika maisha yetu, zikiwa mbaya zinaleta athari zaidi hata kwa mtoaji...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Heshima yenu wakuu, Summary: Msanii Mya (44 yrs) kafunguka hivi karibuni kwamba amekaa kwa miaka saba bila kufanya mapenzi, akihojiwa na Angela Yee msanii huyo wa RnB/Pop alifunguka hivi karibuni...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Kipanda cha Tanga Kibaoni, hakipitiki. Ni tope tupu na barabara ya pembeni hiyo ndiyo kadhia kubwa hasa. Irudishe kama ilivyokuwa zamani iweze kupitika ! achana na lami maana mmeshindwa!
1 Reactions
1 Replies
306 Views
Hatimaye Kwa mara ya kwanza nimeignore baadhi ya watu humu. I'm so proud to be "chujio" na sio kuwa "dampo" la kila taka🙏
3 Reactions
8 Replies
337 Views
Habari zenu, Huu ni uzi maalumu kwa watu ambao wanatamani kuacha kufanya jambo fulani lakini imekuwa ngumu kwao. Funguka hapa huenda ukapata msaada na ukaweza kuyashinda yanayokutatiza.
14 Reactions
260 Replies
9K Views
Narudia hii: 1. Kama hujawahi kwenda kwa mganga 2. Kama hujachanjwa Chale 3. Kama Sio mchawi 4. Kama huendekezi imani za giza 5. Kama utotoni wazazi hawajakufunga hirizi shingoni au mkononi. 6...
22 Reactions
88 Replies
3K Views
Maji ya Kilimanjaro hapo awali hayakuwa na ladha ya chumvi, ila haya ya siku hizi hili tatizo limekuwa sugu, nini sababu ya haya maji kuwa na ladha ya chumvi chumvi? Na ukikagua packaginh...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Ukifika Coco beach na gari utakaribishwa na mdau anayekusanya ushuru wa TZS 1,000 Kwa kila gari. Je, hiyo pesa inafanya kazi gani? Maana hata kile choo pale unalipia tena pesa. Uchafu umejaa kila...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna changamoto kubwa ya foleni eneo la Busisi kwa Watu wanaohitaji kuvumia kivuko kuvuka tangu usiku wa kuamkia jana Agosti 29, 2024, akidai...
0 Reactions
1 Replies
653 Views
Alitokea mzee mmoja na mwanae walikuwa wanasafir kwa kutumia punda so wakaamua kupanda wote kwenye huyo punda. Wakiwa njian wakakutan na kundi la watu likawaambia watu gan nyie msiokuwa na huruma...
4 Reactions
10 Replies
766 Views
Mungu huwa anadeal na individual yaani wewe kama wewe haangalii mass kila mmoja anabeba msalaba wake. Ndiyo mana yule mwanamke aliyetokwa damu mda mrefu alimuwinda yesu akiwa kwenye umati amshike...
5 Reactions
17 Replies
737 Views
Mawasiliano ofisi za umma ni changamoto sijui kama Rais analijua hili. Simu zao hazipatikani kabisa na kama zinapatikana hazipokelewi wala hawajibu emails. Hili ni gonjwa sugu ofisi za umma karibu...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
SERIKALI KUKARABATI MADARAJA YALIYOHARIBIWA NA MVUA. Naibu Waziri, Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inatambua umuhimu wa miundombinu...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Unajua kuwa unaweza kuwa mgeni ambaye wenyeji hutamani aondoke haraka kwa sababu mbalimbali ikiwemo kukuchoka? Hali hii inaweza kukutokea wewe au mtu mwingine yeyote anaposafiri kwenda ugenini...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
TAMISEMI wahamisheni Maafisa Utumishi waliokaa kwenye kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu (Zaidi ya miaka 5) maana utendaji wao wa kazi umekuwa wa kimazoea. Mfano kuna halmashauri moja Naafisa...
2 Reactions
3 Replies
557 Views
Yaani hiki chombo cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi, aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi...
18 Reactions
210 Replies
5K Views
Kuna jambo linastaajabisha sana kwa hawa ndugu zetu ma-askari polisi. Yaani polisi anaamka asubuhi kwenda kazini anaaga mke au mume, watoto, baba, mama kutesa au kuua binadamu mwenzake. Halafu...
1 Reactions
5 Replies
396 Views
Back
Top Bottom