Msanii Mya: Sijafanya mapenzi kwa miaka 7

Msanii Mya: Sijafanya mapenzi kwa miaka 7

Archnemesis 2-0

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2024
Posts
1,564
Reaction score
3,281
74630863007-xxx-ak-2-t-1584.jpg


Heshima yenu wakuu,

Summary:
Msanii Mya (44 yrs) kafunguka hivi karibuni kwamba amekaa kwa miaka saba bila kufanya mapenzi, akihojiwa na Angela Yee msanii huyo wa RnB/Pop alifunguka hivi karibuni baada ya kua gumzo(viral) mitandaoni na watu wengi kushangaa kitendo hiko.

Sababu alizotoa kufanya uamuzi huo ni za kiroho (spiritual) na pia anasema ameacha kutumia pombe, safari yake ya celibacy alianza kuacha matumizi ya wine kwanza kwani alikua anapenda sana hapo awali.

Msanii huyu amewahi kukimbiza na nyimbo kama Case of the Ex, Ghetto Superstar, na My love is like Wo.

My Take :
Huyu dada tangu nakua anakimbiza kima kitambo sana.. 1 of the baddest, natural beauty iko pale na ame age gracefully.

Nimeheshimu sana uamuzi wake kama navoheshimu maamuzi ya kila mtu na kuna kitu nimebaini, binafsi mwanamke yoyote aliekaa zaidi ya miaka miwili au ata mmoja naona kama amekua mpya.

Nakinzana na nadharia potofu ya mwanamke kua used yani katumika sana imradi kajipa likizo ya zaidi ya mwaka mahusiano ya mwisho. Hiyo nadharia ntaikubali pale tu mwanamke ana mahusiano mengi kwa wakati mmoja na kubadili wapenzi ndani ya muda mfupi yani ukitoka kwa huyu wiki ijayo kwa huyo.

Ishu ya kuita mwanamke yoyote used kisa kapitia mahusiano binafsi naona batili kwa mtu kama Mya maana siku akifanya..patner wake itabidi amhandle with care sio kuparamia njia itakuaje sijui.

Kwahiyo maoni yangu ni tutenganishe viruka njia na masister walioji weka mbali na mahusiano kwa sababu zao mbali mbali kama huyu.

Muimbaji Omarion kanukuliwa pia akisema kakaa miaka mitatu bila kufanya mapenzi.
 
Back
Top Bottom