Food for thought: Dhana ya mauaji ya kimbari na uhalisia wake.

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
IMG_20180804_114056_931.jpg

DHANA YA MAUAJI YA KIMBARI NA UHALISIA WAKE

Msamiati wa "mauaji ya kimbari" ( Genocide) ni msamiati ambao tumekuwa tukiusikia Mara nyingi tu hasa kwenye vyombo vya habari na Mara nyingi unapotamkwa msamiati huu basi itakuwa inazungumziwa nchi ya Rwanda kutokana na madhira yaliyowakuta mwaka 1994 ambapo zaidi ya watu 800,000
walipoteza maisha wengi wao wakiwa Watutsi pamoja na baadhi ya Wahutu wenye msimamo wa wastani! Haya yalikuja kufuatia kifo cha utata cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo bwana Juvenal Habyimana na mwenzake Cprien Nyadyamila wa Burundi baada ya ndege yao kudunguliwa wakati ikitua kwenye uwanja wa Kigali ikitokea jijini Dares Salaam Tanzania! Au watakuwa wanazungumzia vifo vya wayahudi million 6 waliouliwa na Adolf Alois Hitler wakati wa vita kuu ya pili, japo wapo wanaoliukiza wayahudi million 6 Hitler aliwatoa wapi! Au watakuwa wanaizungumzia vita ya Kossovo kipindi cha bwana Slobodan Milosovic akiwa Rais wa iliyokuwa Yugoslavia( sasa Serbia na Herzegovina, Latvia na nyingine nyingi)!

Lakin je msamiati huu tunaelewa katika mazingira yake kiuhalisia! Basi naomba kushare kidogo kuhusu msamiati huu na unamaniisha nini hasa katika ulimwengu wa sheria za kimataifa na wabobezi wa mambo hayo.

Kwanza kabisa niweke wazi mauaji ya kimbari ni mojawapo ya makosa yanayopatikana kwenye mkataba wa kimataifa unaoanzisha mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai "ICC" wa the 'Rome Convention" na kwenye 'The Statute of the international Criminal Court"! Na ni kosa ambalo mtu yeyote kutoka nchi yeyote anaweza kushitakiwa katika nchi yoyote japo, ICC kimsingi ndo imepewa mamlaka hayo.
Sasa mauaji ya kimbari ( genocide) ni nini!?

Kama nilivosema mwanzo wengi wetu tunaposikia mauaji ya kimbali basi moja kwa moja huchukulia kuwa ni mauaji yanayohusisha kuuawa kwa watu wengi kwa wakati mmoja! Lakini kiuhalisia hiyo si tafasiri sahihi.

Kiufundi mauaji ya kimbali ni pale mtu, watu au kikundi Fulani cha cha watu kinapoamua kuwaua watu Fulani ambao wana uhusiano katika namna moja au nyingine kwa lengo la kuhakikisha wanafutika kwenye uso wa dunia.
Uhusiano huu unaweza kuwa ni wa kikabila, kidini, kisiasa au namna yoyote nyingine ile.

Hivyo basi ili tukio fulani la mauaji liweze kupewa hadhi ya mauaji ya kimbari ni lazima;

1. Wauawe watu wanaohusiana juu ya jambo fulani la kufanana (hao wanao uwawa).

2. Wauaji lazima wawe na lengo la kutaka kuungamiza kabisa kundi hilo kutoka kwenye uso wa dunia.
Sasa ukiangalia hapo juu ni kwamba hakuna sehemu wanasema au wanaweza kigezo cha idadi ya watu waliouawa ila kufanya tukio fulani kuwa mauaji ya kimbari au hapana!

Kwa lugha nyingine hata mauaji ya watu wawili kuna kipindi yanaweza kuwa mauaji ya kimbali kama yatakuwa yanaingia katika mlengo nilioueleza hapo juu!

Mauaji ya wayahudi yalilenga kuhakikisha jamii hiyo inafutika kabisa, mauaji ya Rwanda yalilenga kuhakikisha jamii ya kitutsi inafutika kabisa nchini Rwanda.

Kosa la mauaji ya kimbali linaweza kufanyika kwa njia ya ubakaji!

Katika moja ya kesi za mauaji ya kimbali ya Rwanda ilielezwa kuwa kosa la mauaji ya kimbali( genocide) linaweza kufanyika kwa njia ya ubakaji!

Kwa mjibu wa hoja hii wanawake ndio chanzo kikuu cha uzazi duniani hivyo ubakaji unaweza kutumika kama silaha ya mauaji ya kimbali!! Kwa mfano wanaume wa kabila "X" wanaamua kuwabaka wanawake wa kabila "Y" katika ubakaji huo wanaweza kutokea mambo mawili au matatu!

1. Wanawake waliobakwa wakabeba ujauzito, sasa basi asilimia 99% ya waafrica tunachukua kabila la baba, kwahiyo hawa wanawake watakapojifungua basi watoto wale watachukuliwa kuwa ni kabila "X" hivyo watakuwa wamefanya kabila "Y" litoweke kwenye uso wa dunia huku wakilifanya kabila "X" liendelee kutamalaki!

2. Kisaikolojia mwanamke anapobakwa basi huchukia wanaume na tendo la ndoa, hivyo wanaume wa kabila "X" wanapowabaka wanawake wa kabila "Y" wanaweza kuwafanya wanawake hawa wachukie tendo la ndoa au wawachukie wanaume wengine wote hata wa kabila lao, na hii inaweza kupekekea kutoweka kwa kabila "X" kwa kuwa wanawake wa kabila hili hawatweza tena kuzaa maana wanachukia tendo la ndoa na wanaume kwa ujumla.

Ni ajabu lakini ni moja ya hoja ambazo ilimpeleka mmoja wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbali ya Rwanda jela!

Sasa basi baada ya hayo machache hapo juu tunaweza kuhoji na kujiuliza maswali kadhaa;

1. Je, tunaweza tukasema mauaji ya Albino yaliyotamalaki Siku za nyuma hapa nchini Tanzania yalikuwa mauaji ya kimbari ( genocide)?

2. Au mauaji ya wazee vikongwe huko kanda ya ziwa yanaweza kuwa mauaji ya kimbari genocide)!?

Ikumbukwe kuwa makosa ya mauaji ya kimbari na 'uhalifu dhidi ya ubinadamu' yanaweza kufanyika wakati wa amani kukiwa hakuna vita au vita ikiwepo. Lakini kosa la uhalifu wa kivita ndilo sharti kuwe na vita.

OUR MOTTO
========
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USITUMIKE VIBAYA KUICHAFUA NCHI YAKO.
 
Mkuu asante kwa ufafanuzi huu kuhusu Genocide(Mauaji ya kimbari).
Kuhusu mauaji ya Mazeruzeru au mauaji ya Vikongwe nadhani kuna tofauti kidogo,labda mauaji ya vikongwe waweza kuyaweka kwenye Mauaji ya Kimbari sababu ya jamii inayoamini ushirikina na kuhisi kuathiriwa na shughuri za ushirikina kutaka kuangamiza watu wote wanaoaminika kuwa ndio chanzo .kushiriki au kufanya matendo ya kishirikina.
Kuhusu Mazeruzeru sidhani kama inahusiana na genocide,sababu wauaji wa mazeruzeru wanaamini kuwa viungo vya Zeruzeru vitawapa bahati ya utajiri,labda ndio maana wakati mwingine tunasikia zeruzeru kakatwa mkono tu na watu kuondoka nao.
 
Ishu ya mauaji ya Rwanda kwamba yalilenga kufuta kabila la Watusi ni uongo na uhuni. Kwanza idadi ya Watusi wanaodaiwa kuawa maana yake kusingekuwa na mtusi aliyebaki. Hiyo ya watu 800000 aiyo aliyonayo Kagame.
 
Nikizingatia tafsri ya msingi uliyotuwekea, mauaji ya albino yanaweza yakawa au yasiwe ya kimbari kutokana na dhamira ya muuaji. Ikiwa muuaji amefanya hivyo ili apate kiungo fulani kwa imani kuwa atapata mafanikio kwenye eneo fulani katika maisha yake, hayo hayatakuwa mauaji ya kimbari maana dhamira ya muuaji si kukimaliza kizazi cha watu wenye albinism. Yatakuwa mauaji ya kimbari ikiwa lengo la muuaji ni kukimaliza kizazi hicho. Mauaji ya kimbari kwa watu wenye ulemavu yalianza kufanyika Ugiriki ya kale miaka kadhaa kabla ya kristo. Wagiriki waliamini mtu yeyote mwenye ulemavu hatakiwi kuishi ni lazima auawe na kutokana na hilo ilikuwa mtoto akizaliwa hatambuliwi kama binaadamu hadi zipite siku saba yaani wajiridhishe hana ulemavu na ikigundulika ana ulemavu basi anauwawa mapema sana, lengo lao lilikuwa walemavu wasiwepo katika jamii zao, mauaji ya kimbari. haya mauaji yalipigiwa chapuo sana na manguli wa falsafa Plato na Aristotle.
 
View attachment 826674

*DHANA YA MAUAJI YA KIMBARI NA UHALISIA WAKE*

Msamiati wa "mauaji ya kimbari" ( Genocide) ni msamiati ambao tumekuwa tukiusikia Mara nyingi tu hasa kwenye vyombo vya habari na Mara nyingi unapotamkwa msamiati huu basi itakuwa inazungumziwa nchi ya Rwanda kutokana na madhira yaliyowakuta mwaka 1994 ambapo zaidi ya watu 800,000
walipoteza maisha wengi wao wakiwa Watutsi pamoja na baadhi ya Wahutu wenye msimamo wa wastani! Haya yalikuja kufuatia kifo cha utata cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo bwana Juvenal Habyimana na mwenzake Cprien Nyadyamila wa Burundi baada ya ndege yao kudunguliwa wakati ikitua kwenye uwanja wa Kigali ikitokea jijini Dares Salaam Tanzania! Au watakuwa wanazungumzia vifo vya wayahudi million 6 waliouliwa na Adolf Alois Hitler wakati wa vita kuu ya pili, japo wapo wanaoliukiza wayahudi million 6 Hitler aliwatoa wapi! Au watakuwa wanaizungumzia vita ya Kossovo kipindi cha bwana Slobodan Milosovic akiwa Rais wa iliyokuwa Yugoslavia( sasa Serbia na Herzegovina, Latvia na nyingine nyingi)!

Lakin je msamiati huu tunaelewa katika mazingira yake kiuhalisia! Basi naomba kushare kidogo kuhusu msamiati huu na unamaniisha nini hasa katika ulimwengu wa sheria za kimataifa na wabobezi wa mambo hayo.

Kwanza kabisa niweke wazi mauaji ya kimbari ni mojawapo ya makosa yanayopatikana kwenye mkataba wa kimataifa unaoanzisha mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai "ICC" wa the 'Rome Convention" na kwenye 'The Statute of the international Criminal Court"! Na ni kosa ambalo mtu yeyote kutoka nchi yeyote anaweza kushitakiwa katika nchi yoyote japo, ICC kimsingi ndo imepewa mamlaka hayo.
Sasa mauaji ya kimbari ( genocide) ni nini!?

Kama nilivosema mwanzo wengi wetu tunaposikia mauaji ya kimbali basi moja kwa moja huchukulia kuwa ni mauaji yanayohusisha kuuawa kwa watu wengi kwa wakati mmoja! Lakini kiuhalisia hiyo si tafasiri sahihi.

Kiufundi mauaji ya kimbali ni pale mtu, watu au kikundi Fulani cha cha watu kinapoamua kuwaua watu Fulani ambao wana uhusiano katika namna moja au nyingine kwa lengo la kuhakikisha wanafutika kwenye uso wa dunia.
Uhusiano huu unaweza kuwa ni wa kikabila, kidini, kisiasa au namna yoyote nyingine ile.

Hivyo basi ili tukio fulani la mauaji liweze kupewa hadhi ya mauaji ya kimbari ni lazima;

1. Wauawe watu wanaohusiana juu ya jambo fulani la kufanana (hao wanao uwawa).

2. Wauaji lazima wawe na lengo la kutaka kuungamiza kabisa kundi hilo kutoka kwenye uso wa dunia.
Sasa ukiangalia hapo juu ni kwamba hakuna sehemu wanasema au wanaweza kigezo cha idadi ya watu waliouawa ila kufanya tukio fulani kuwa mauaji ya kimbari au hapana!

Kwa lugha nyingine hata mauaji ya watu wawili kuna kipindi yanaweza kuwa mauaji ya kimbali kama yatakuwa yanaingia katika mlengo nilioueleza hapo juu!

Mauaji ya wayahudi yalilenga kuhakikisha jamii hiyo inafutika kabisa, mauaji ya Rwanda yalilenga kuhakikisha jamii ya kitutsi inafutika kabisa nchini Rwanda.

Kosa la mauaji ya kimbali linaweza kufanyika kwa njia ya ubakaji!

Katika moja ya kesi za mauaji ya kimbali ya Rwanda ilielezwa kuwa kosa la mauaji ya kimbali( genocide) linaweza kufanyika kwa njia ya ubakaji!

Kwa mjibu wa hoja hii wanawake ndio chanzo kikuu cha uzazi duniani hivyo ubakaji unaweza kutumika kama silaha ya mauaji ya kimbali!! Kwa mfano wanaume wa kabila "X" wanaamua kuwabaka wanawake wa kabila "Y" katika ubakaji huo wanaweza kutokea mambo mawili au matatu!

1. Wanawake waliobakwa wakabeba ujauzito, sasa basi asilimia 99% ya waafrica tunachukua kabila la baba, kwahiyo hawa wanawake watakapojifungua basi watoto wale watachukuliwa kuwa ni kabila "X" hivyo watakuwa wamefanya kabila "Y" litoweke kwenye uso wa dunia huku wakilifanya kabila "X" liendelee kutamalaki!

2. Kisaikolojia mwanamke anapobakwa basi huchukia wanaume na tendo la ndoa, hivyo wanaume wa kabila "X" wanapowabaka wanawake wa kabila "Y" wanaweza kuwafanya wanawake hawa wachukie tendo la ndoa au wawachukie wanaume wengine wote hata wa kabila lao, na hii inaweza kupekekea kutoweka kwa kabila "X" kwa kuwa wanawake wa kabila hili hawatweza tena kuzaa maana wanachukia tendo la ndoa na wanaume kwa ujumla.

Ni ajabu lakini ni moja ya hoja ambazo ilimpeleka mmoja wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbali ya Rwanda jela!

Sasa basi baada ya hayo machache hapo juu tunaweza kuhoji na kujiuliza maswali kadhaa;

1. Je, tunaweza tukasema mauaji ya Albino yaliyotamalaki Siku za nyuma hapa nchini Tanzania yalikuwa mauaji ya kimbari ( genocide)?

2. Au mauaji ya wazee vikongwe huko kanda ya ziwa yanaweza kuwa mauaji ya kimbari genocide)!?

Ikumbukwe kuwa makosa ya mauaji ya kimbari na *'uhalifu dhidi ya ubinadamu'* yanaweza kufanyika wakati wa amani kukiwa hakuna vita au vita ikiwepo. Lakini kosa la uhalifu wa kivita ndilo sharti kuwe na vita.

Sikubaliani na definition yako..umesema hata kuua watu wa dini moja nayo ni mauaji ya kimbari.

Sentensi mauaji ya kimbari inatokana na neno " mbari" yaani " Race" ..So mauambaji ya kimbari ni lazima yawr yamelenga kuua watu wa mbari moja..
 
Ishu ya mauaji ya Rwanda kwamba yalilenga kufuta kabila la Watusi ni uongo na uhuni. Kwanza idadi ya Watusi wanaodaiwa kuawa maana yake kusingekuwa na mtusi aliyebaki. Hiyo ya watu 800000 aiyo aliyonayo Kagame.
Mkuu waliouawa ni kamchanganyikeni, watusi na wahutu ndiyo walioleta idadi hiyo.
 
View attachment 826674

*DHANA YA MAUAJI YA KIMBARI NA UHALISIA WAKE*

Msamiati wa "mauaji ya kimbari" ( Genocide) ni msamiati ambao tumekuwa tukiusikia Mara nyingi tu hasa kwenye vyombo vya habari na Mara nyingi unapotamkwa msamiati huu basi itakuwa inazungumziwa nchi ya Rwanda kutokana na madhira yaliyowakuta mwaka 1994 ambapo zaidi ya watu 800,000
walipoteza maisha wengi wao wakiwa Watutsi pamoja na baadhi ya Wahutu wenye msimamo wa wastani! Haya yalikuja kufuatia kifo cha utata cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo bwana Juvenal Habyimana na mwenzake Cprien Nyadyamila wa Burundi baada ya ndege yao kudunguliwa wakati ikitua kwenye uwanja wa Kigali ikitokea jijini Dares Salaam Tanzania! Au watakuwa wanazungumzia vifo vya wayahudi million 6 waliouliwa na Adolf Alois Hitler wakati wa vita kuu ya pili, japo wapo wanaoliukiza wayahudi million 6 Hitler aliwatoa wapi! Au watakuwa wanaizungumzia vita ya Kossovo kipindi cha bwana Slobodan Milosovic akiwa Rais wa iliyokuwa Yugoslavia( sasa Serbia na Herzegovina, Latvia na nyingine nyingi)!

Lakin je msamiati huu tunaelewa katika mazingira yake kiuhalisia! Basi naomba kushare kidogo kuhusu msamiati huu na unamaniisha nini hasa katika ulimwengu wa sheria za kimataifa na wabobezi wa mambo hayo.

Kwanza kabisa niweke wazi mauaji ya kimbari ni mojawapo ya makosa yanayopatikana kwenye mkataba wa kimataifa unaoanzisha mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai "ICC" wa the 'Rome Convention" na kwenye 'The Statute of the international Criminal Court"! Na ni kosa ambalo mtu yeyote kutoka nchi yeyote anaweza kushitakiwa katika nchi yoyote japo, ICC kimsingi ndo imepewa mamlaka hayo.
Sasa mauaji ya kimbari ( genocide) ni nini!?

Kama nilivosema mwanzo wengi wetu tunaposikia mauaji ya kimbali basi moja kwa moja huchukulia kuwa ni mauaji yanayohusisha kuuawa kwa watu wengi kwa wakati mmoja! Lakini kiuhalisia hiyo si tafasiri sahihi.

Kiufundi mauaji ya kimbali ni pale mtu, watu au kikundi Fulani cha cha watu kinapoamua kuwaua watu Fulani ambao wana uhusiano katika namna moja au nyingine kwa lengo la kuhakikisha wanafutika kwenye uso wa dunia.
Uhusiano huu unaweza kuwa ni wa kikabila, kidini, kisiasa au namna yoyote nyingine ile.

Hivyo basi ili tukio fulani la mauaji liweze kupewa hadhi ya mauaji ya kimbari ni lazima;

1. Wauawe watu wanaohusiana juu ya jambo fulani la kufanana (hao wanao uwawa).

2. Wauaji lazima wawe na lengo la kutaka kuungamiza kabisa kundi hilo kutoka kwenye uso wa dunia.
Sasa ukiangalia hapo juu ni kwamba hakuna sehemu wanasema au wanaweza kigezo cha idadi ya watu waliouawa ila kufanya tukio fulani kuwa mauaji ya kimbari au hapana!

Kwa lugha nyingine hata mauaji ya watu wawili kuna kipindi yanaweza kuwa mauaji ya kimbali kama yatakuwa yanaingia katika mlengo nilioueleza hapo juu!

Mauaji ya wayahudi yalilenga kuhakikisha jamii hiyo inafutika kabisa, mauaji ya Rwanda yalilenga kuhakikisha jamii ya kitutsi inafutika kabisa nchini Rwanda.

Kosa la mauaji ya kimbali linaweza kufanyika kwa njia ya ubakaji!

Katika moja ya kesi za mauaji ya kimbali ya Rwanda ilielezwa kuwa kosa la mauaji ya kimbali( genocide) linaweza kufanyika kwa njia ya ubakaji!

Kwa mjibu wa hoja hii wanawake ndio chanzo kikuu cha uzazi duniani hivyo ubakaji unaweza kutumika kama silaha ya mauaji ya kimbali!! Kwa mfano wanaume wa kabila "X" wanaamua kuwabaka wanawake wa kabila "Y" katika ubakaji huo wanaweza kutokea mambo mawili au matatu!

1. Wanawake waliobakwa wakabeba ujauzito, sasa basi asilimia 99% ya waafrica tunachukua kabila la baba, kwahiyo hawa wanawake watakapojifungua basi watoto wale watachukuliwa kuwa ni kabila "X" hivyo watakuwa wamefanya kabila "Y" litoweke kwenye uso wa dunia huku wakilifanya kabila "X" liendelee kutamalaki!

2. Kisaikolojia mwanamke anapobakwa basi huchukia wanaume na tendo la ndoa, hivyo wanaume wa kabila "X" wanapowabaka wanawake wa kabila "Y" wanaweza kuwafanya wanawake hawa wachukie tendo la ndoa au wawachukie wanaume wengine wote hata wa kabila lao, na hii inaweza kupekekea kutoweka kwa kabila "X" kwa kuwa wanawake wa kabila hili hawatweza tena kuzaa maana wanachukia tendo la ndoa na wanaume kwa ujumla.

Ni ajabu lakini ni moja ya hoja ambazo ilimpeleka mmoja wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbali ya Rwanda jela!

Sasa basi baada ya hayo machache hapo juu tunaweza kuhoji na kujiuliza maswali kadhaa;

1. Je, tunaweza tukasema mauaji ya Albino yaliyotamalaki Siku za nyuma hapa nchini Tanzania yalikuwa mauaji ya kimbari ( genocide)?

2. Au mauaji ya wazee vikongwe huko kanda ya ziwa yanaweza kuwa mauaji ya kimbari genocide)!?

Ikumbukwe kuwa makosa ya mauaji ya kimbari na *'uhalifu dhidi ya ubinadamu'* yanaweza kufanyika wakati wa amani kukiwa hakuna vita au vita ikiwepo. Lakini kosa la uhalifu wa kivita ndilo sharti kuwe na vita.
Wanama and Herero Genocide and Majimaji Genocide against Wamatumbi perpetrated by German never mentioned anywhere.
 
Mkuu asante kwa ufafanuzi huu kuhusu Genocide(Mauaji ya kimbari).
Kuhusu mauaji ya Mazeruzeru au mauaji ya Vikongwe nadhani kuna tofauti kidogo,labda mauaji ya vikongwe waweza kuyaweka kwenye Mauaji ya Kimbari sababu ya jamii inayoamini ushirikina na kuhisi kuathiriwa na shughuri za ushirikina kutaka kuangamiza watu wote wanaoaminika kuwa ndio chanzo .kushiriki au kufanya matendo ya kishirikina.
Kuhusu Mazeruzeru sidhani kama inahusiana na genocide,sababu wauaji wa mazeruzeru wanaamini kuwa viungo vya Zeruzeru vitawapa bahati ya utajiri,labda ndio maana wakati mwingine tunasikia zeruzeru kakatwa mkono tu na watu kuondoka nao.
Naunga mkono hoja zako.
 
Znz ja
View attachment 826674

*DHANA YA MAUAJI YA KIMBARI NA UHALISIA WAKE*

Msamiati wa "mauaji ya kimbari" ( Genocide) ni msamiati ambao tumekuwa tukiusikia Mara nyingi tu hasa kwenye vyombo vya habari na Mara nyingi unapotamkwa msamiati huu basi itakuwa inazungumziwa nchi ya Rwanda kutokana na madhira yaliyowakuta mwaka 1994 ambapo zaidi ya watu 800,000
walipoteza maisha wengi wao wakiwa Watutsi pamoja na baadhi ya Wahutu wenye msimamo wa wastani! Haya yalikuja kufuatia kifo cha utata cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo bwana Juvenal Habyimana na mwenzake Cprien Nyadyamila wa Burundi baada ya ndege yao kudunguliwa wakati ikitua kwenye uwanja wa Kigali ikitokea jijini Dares Salaam Tanzania! Au watakuwa wanazungumzia vifo vya wayahudi million 6 waliouliwa na Adolf Alois Hitler wakati wa vita kuu ya pili, japo wapo wanaoliukiza wayahudi million 6 Hitler aliwatoa wapi! Au watakuwa wanaizungumzia vita ya Kossovo kipindi cha bwana Slobodan Milosovic akiwa Rais wa iliyokuwa Yugoslavia( sasa Serbia na Herzegovina, Latvia na nyingine nyingi)!

Lakin je msamiati huu tunaelewa katika mazingira yake kiuhalisia! Basi naomba kushare kidogo kuhusu msamiati huu na unamaniisha nini hasa katika ulimwengu wa sheria za kimataifa na wabobezi wa mambo hayo.

Kwanza kabisa niweke wazi mauaji ya kimbari ni mojawapo ya makosa yanayopatikana kwenye mkataba wa kimataifa unaoanzisha mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai "ICC" wa the 'Rome Convention" na kwenye 'The Statute of the international Criminal Court"! Na ni kosa ambalo mtu yeyote kutoka nchi yeyote anaweza kushitakiwa katika nchi yoyote japo, ICC kimsingi ndo imepewa mamlaka hayo.
Sasa mauaji ya kimbari ( genocide) ni nini!?

Kama nilivosema mwanzo wengi wetu tunaposikia mauaji ya kimbali basi moja kwa moja huchukulia kuwa ni mauaji yanayohusisha kuuawa kwa watu wengi kwa wakati mmoja! Lakini kiuhalisia hiyo si tafasiri sahihi.

Kiufundi mauaji ya kimbali ni pale mtu, watu au kikundi Fulani cha cha watu kinapoamua kuwaua watu Fulani ambao wana uhusiano katika namna moja au nyingine kwa lengo la kuhakikisha wanafutika kwenye uso wa dunia.
Uhusiano huu unaweza kuwa ni wa kikabila, kidini, kisiasa au namna yoyote nyingine ile.

Hivyo basi ili tukio fulani la mauaji liweze kupewa hadhi ya mauaji ya kimbari ni lazima;

1. Wauawe watu wanaohusiana juu ya jambo fulani la kufanana (hao wanao uwawa).

2. Wauaji lazima wawe na lengo la kutaka kuungamiza kabisa kundi hilo kutoka kwenye uso wa dunia.
Sasa ukiangalia hapo juu ni kwamba hakuna sehemu wanasema au wanaweza kigezo cha idadi ya watu waliouawa ila kufanya tukio fulani kuwa mauaji ya kimbari au hapana!

Kwa lugha nyingine hata mauaji ya watu wawili kuna kipindi yanaweza kuwa mauaji ya kimbali kama yatakuwa yanaingia katika mlengo nilioueleza hapo juu!

Mauaji ya wayahudi yalilenga kuhakikisha jamii hiyo inafutika kabisa, mauaji ya Rwanda yalilenga kuhakikisha jamii ya kitutsi inafutika kabisa nchini Rwanda.

Kosa la mauaji ya kimbali linaweza kufanyika kwa njia ya ubakaji!

Katika moja ya kesi za mauaji ya kimbali ya Rwanda ilielezwa kuwa kosa la mauaji ya kimbali( genocide) linaweza kufanyika kwa njia ya ubakaji!

Kwa mjibu wa hoja hii wanawake ndio chanzo kikuu cha uzazi duniani hivyo ubakaji unaweza kutumika kama silaha ya mauaji ya kimbali!! Kwa mfano wanaume wa kabila "X" wanaamua kuwabaka wanawake wa kabila "Y" katika ubakaji huo wanaweza kutokea mambo mawili au matatu!

1. Wanawake waliobakwa wakabeba ujauzito, sasa basi asilimia 99% ya waafrica tunachukua kabila la baba, kwahiyo hawa wanawake watakapojifungua basi watoto wale watachukuliwa kuwa ni kabila "X" hivyo watakuwa wamefanya kabila "Y" litoweke kwenye uso wa dunia huku wakilifanya kabila "X" liendelee kutamalaki!

2. Kisaikolojia mwanamke anapobakwa basi huchukia wanaume na tendo la ndoa, hivyo wanaume wa kabila "X" wanapowabaka wanawake wa kabila "Y" wanaweza kuwafanya wanawake hawa wachukie tendo la ndoa au wawachukie wanaume wengine wote hata wa kabila lao, na hii inaweza kupekekea kutoweka kwa kabila "X" kwa kuwa wanawake wa kabila hili hawatweza tena kuzaa maana wanachukia tendo la ndoa na wanaume kwa ujumla.

Ni ajabu lakini ni moja ya hoja ambazo ilimpeleka mmoja wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbali ya Rwanda jela!

Sasa basi baada ya hayo machache hapo juu tunaweza kuhoji na kujiuliza maswali kadhaa;

1. Je, tunaweza tukasema mauaji ya Albino yaliyotamalaki Siku za nyuma hapa nchini Tanzania yalikuwa mauaji ya kimbari ( genocide)?

2. Au mauaji ya wazee vikongwe huko kanda ya ziwa yanaweza kuwa mauaji ya kimbari genocide)!?

Ikumbukwe kuwa makosa ya mauaji ya kimbari na *'uhalifu dhidi ya ubinadamu'* yanaweza kufanyika wakati wa amani kukiwa hakuna vita au vita ikiwepo. Lakini kosa la uhalifu wa kivita ndilo sharti kuwe na vita.

OUR MOTTO
========
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USITUMIKE VIBAYA KUICHAFUA NCHI YAKO.
jan 21zanz vipi!??
 
Wanama and Herero Genocide and Majimaji Genocide against Wamatumbi perpetrated by German never mentioned anywhere.
At least the Wanama and Herero Genocide is mentioned in the news. Today I heard about a German Minister and another from Namibia holding talks about it. The Matumbi are left in the dark, but I think our Government ought to raise the issue in the international arena.
 
Back
Top Bottom