Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sioni option ya loan take over nawezaje kulipa cash kama ninayo? Utaratibu ni upi? Hata ukirequest balance hawakupi?
2 Reactions
13 Replies
195 Views
In August 2026, remittances from Kenyans in Tanzania reached KSh1.52 billion, narrowly exceeding Saudi Arabia’s KSh1.50 billion. Under President Samia Suluhu Hassan, Tanzania has continued to...
1 Reactions
0 Replies
89 Views
Hapa Moga na Bunju Beach umeme unakatika kila siku asubuhi na kurudi jioni, mfano Septemba 18, 2026 walikata Saa 4 Asubuhi na kurudisha kama Saa 8 mchana lakini huwa mpaka saa 1 Jioni huwa ndio...
1 Reactions
2 Replies
270 Views
Wakuuuu! Happy...day!!! "Neno moja nimelitaka kutoka kwa BWANA, Nalo ndilo ...NITAKALO LITAFUTA... nikae nyumbani mwa BWANA....Siku zote za maisha yangu"" Psalm_27 :4. Wakuu Ni...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Hellow wana JF. Mtu kama huyu anafuata mkumbo eti ngoja nitunze vyakula ndani, are you Mad? Amini nakwambia chakula hakita kusaidia kwa chochote kama upo kwenye maeneo kama haya. We...
16 Reactions
75 Replies
986 Views
Serikali inajenga ghala lenye thamani ya Sh bilioni 1.3, lenye uwezo wa kuhifadhi hadi tani 5,000 za mazao. Ghala hilo litawawezesha wakulima kuhifadhi mazao yao na kusubiri bei nzuri sokoni...
1 Reactions
2 Replies
101 Views
Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii wanafahamu namna Dudu Baya alivyoamua kupambana na ushoga na tabia za kishoga hadharani Wapo wanaosema kwamba huenda ni namna alivyochagua kuendelea...
5 Reactions
19 Replies
405 Views
Hii ni stori ya kweli: Nakumbuka ni miaka kadhaa imepita,kipindi niko form 4,Kuna binti mzuri wa kwenda.tumpe jina Irene. Irene alikuwa ni rafiki mkubwa wa mtoto wa dada yangu,walisoma skul...
5 Reactions
5 Replies
207 Views
Mambo ya kuepuka kama baba wa familia Siku moja tukiwa kazini tunaendelea na majukumu, nikapokea simu ya rafiki yangu akiomba ruhusa kwa bosi ya kutokufika ofisini kutokana na changamoto za...
8 Reactions
12 Replies
269 Views
Kuna Hawa matrafiki wa Ulanga, Morogoro, especially wanaokaa mara tu baada ya Kuvuka Daraja la Kilombero (kivukoni) ukitokea Ifakara. Either warudi kozi wakasome mishahara ipande, au...
11 Reactions
14 Replies
281 Views
Kwanza niseme tu mimi siungi mkono ushoga lakini pia namuomba sana Mungu aniepushe mimi na kizazi changu kwenye hali yoyote inayohusu LBGTQ Watu wanaopromote ushoga ndio wetu ambao wanaongoza...
8 Reactions
44 Replies
660 Views
Mimi ni mmoja wa watumiaji wa barabara za katikati ya mji (Posta Mpya/Sanamu la Askari). Kuna changamoto kubwa ya kimfumo (design fault) kwenye taa za kuongozea watembea kwa miguu katika eneo la...
2 Reactions
1 Replies
68 Views
Kijana wa kiume unaamua kuuzika uanaume wako na kugeuzwa na mwanaume mwingine kisa pesa? Dah! Nawaza namna mtoto wa kike huwa anaulilia na wewe vivyo hivyo? Kisa pesa? Kuna haja ya serikali kuja...
4 Reactions
12 Replies
195 Views
Soko la Mbao la Sabasaba lililopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza limewaka moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika, Moto huo ulioonekana usiku wa kuamkia leo Jumanne, Septemba 22, 2026...
2 Reactions
14 Replies
222 Views
KOROGWE WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo amezindua rasmi mpango wa kupanga, kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK) katika eneo la Shamba la Mwakinyumbi lililopo...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
👉 Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (National Defence College – NDC) ni taasisi ya kimkakati inayolenga kuwaandaa viongozi waandamizi wa kijeshi na kiraia kwa maarifa na uelewa mpana katika...
4 Reactions
3 Replies
142 Views
KILIMANJARO- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo amezungumza na wachezaji wa timu ya Ardhi Sports inayoshiriki mashindano ya SHIMIWI mkoani Kilimanjaro na...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
https://www.youtube.com/live/qn7FSG-L5wc?si=CVINE4L-6CTbtkhD
2 Reactions
6 Replies
185 Views
  • Redirect
Mara zote niko makini sana kusoma tabia na saikolojia ya wapinga ushoga kwa muda mrefu sana sasa. Ni wazi na bila shaka kabisa, nimebainisha na kujiridhisha, na ninaweza kusema bila hofu yoyote...
1 Reactions
– Replies
– Views
Hellow guys!!! Nimejaribu kufungua kufuri hapa aina Gussam limekataa kufunguka, nifanyeje wakuu.......
1 Reactions
14 Replies
128 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…