Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Alexander Msowoya (35), ambaye ni mkazi wa Chang'ombe, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni akikabiliwa na shtaka la kumteka nyara askari wa kike wa usalama...
6 Reactions
118 Replies
20K Views
Mfumo wa Jimbo una jukumu la kuunda mwelekeo wa fikra wa watu wake Kwanza nakubaliana na mtoa hoja wa Jamii forum kwamba "uzezeta wetu, ujinga wetu, umbumbumbu wetu ni wa Kiutamaduni, ila...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Aiyekuwa meya wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai amesomewa mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana. Serikali...
6 Reactions
62 Replies
6K Views
Ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Septemba 18, 2024 mjini Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.
0 Reactions
3 Replies
456 Views
Wasalaam wanaJF wenzangu! Wakuu naomba kufahamishwa maana ya roho, nafsi na mwili. Asante
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Maisha ya kijijini ni mazuri sana kuliko maisha ya mjini. Kijijini kuna vivutio vingi vya asili,na watu wake wana utu na umoja ukilinganisha na mjini. Kijijini kuna hewa safi inayomuwezesha...
9 Reactions
130 Replies
48K Views
Askari wa usalama barabarani ambaye jina lake halikufahamika ameokolewa na askari wenzake baada ya kutekwa na mwendesha bajaji, tukio hilo lilitoke barabara ya alihasan mwinyi maeneo ya sayansi...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Hivi karibuni hapa Jamii Forum tumeshuhudia Tamko kutoka kwa Askofu Bagonza likimshutumu Aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT Dr.Fredrick Shoo. Kauli hii inasikitisha sana ikizingatiwa ni Kiongozi...
0 Reactions
5 Replies
914 Views
Kwema Wakuu! Kuna mambo yananishangazaga sana. Mpaka wakati mwingine najiuliza kwa NINI ipo hivyo. Mimi ninatabia sijui niite ya ajabu au ya namna gani. Iko hivi; Mimi sionagi shida mtu...
10 Reactions
69 Replies
2K Views
Si kila mtu, ana roho mbaya, si kila mtu ana tabia mbaya, hivo ilivyo kwa uzuri. Chadema na wanachama wenu, viongozi na mashabiki zenu. Hasira ,kutukana, kuandamana kwakuita kushinikiza...
1 Reactions
0 Replies
176 Views
Je, mnataka kuzulumiwa? Je, mnataka tukope tuwakimbie? Je, mnataka tusiwalipe? Je, mtatushtaki wapi? Je... Je.... Je... Embu acheni hizo bwana msitake tukope tuanze kuaibishanaa kwenye msg pls
2 Reactions
6 Replies
358 Views
Shambulio ambalo kawaida linaitwa la kigaidi lililofanywa na Israel nchini Lebanon lazima lituzindue na kutufanya tuanze ukaguzi wa kina wa vifaa vya kielektroniki vinavyoingia nchini. Je, kitengo...
4 Reactions
13 Replies
748 Views
Na.Mwihava GF,Dodoma Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Sheusi Mbuli kwa niaba ya Katibu Mkuu, amewatakia Heri wanamichezo wanakwenda...
0 Reactions
1 Replies
396 Views
💼MHADHARA WA 8 Hii ni sheria ya 16 kati ya sheria 48 za Mamlaka katika kitabu cha THE 48 LAWS OF POWER kilichoandikwa na ROBERT GREENE. Anatuonyesha kuwa kadiri utakavyoadimika machoni pa watu...
11 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema! Mtoto wangu kasoma shule moja inaitwa St. Charles Borromoe ipo Mbeya Mafiati. Kamaliza darasa la saba mwaka huu. Shule hii inaongozwa na masister wahindi hapo...
2 Reactions
2 Replies
532 Views
Sitaki kusema ni mimi au laaa..ila ni issue ya kweli.. Ipo hivi Mhusika kabla ya mkopo alikua anaweza kusave 400k kwa mwezi kutoka kwenye Salary, Akaona hio 400k inayozidi aikopee bank, riba Mil...
3 Reactions
14 Replies
818 Views
KUJIONA | KUJIPENDA | KUJIJALI Jambo lolote unalohisi haupewi ni kwa sababu hauna, ukiona mtu analalamika hapendwi ndani yake yeye ndio upendo hamna, mtu akisema anadharauliwa ndani yake dharau...
1 Reactions
0 Replies
334 Views
Jukwaa la Kidigitali katika Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck linaloendeshwa na JamiiForums limeshinda Tuzo ya U.S.-Tanzania Tech Challenge iliyokuwa ikiwaniwa na Taasisi 113 za Kiteknolojia kutoka...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Historia na Uteuzi Hamad Masauni aliteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Januari 10, 2022. Kabla ya uteuzi wake, Masauni alikuwa na uzoefu wa muda mrefu katika...
1 Reactions
4 Replies
587 Views
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu. Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom