Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna unregulated PA advertising ambayo karibia kila saa inapita hapa katikati ya mji. Kuna haja iundwe mamlaka inayosimamia au ku regulate matangazo ya kibiashara. Ni kero kubwa sana.
1 Reactions
14 Replies
846 Views
Lau nitataka kufungua biashara leo, nikienda TRA nitapata kila kitu kwa maana TIN na Tax Clearance pasipo tabu yoyote. Tena hatumwi hata afisa kuja kuona hiyo biashara. Kimbembe ni pale utapotaka...
2 Reactions
2 Replies
591 Views
Ndivyo ilivyo siku zoke hakuna malaika mwanamke na hakuna mitume wanawake, wanaojitakia waendelee kuyaoga maji yao. Kwenye ulimwengu wa majini na mashetani ndio uliko Utawala wa Mwanamke. Kwenye...
5 Reactions
12 Replies
490 Views
Yafaa Rais ajae wa Tanzania awe Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi ili kuimarisha zaidi muungano 1. Nyerere - Bara Makamu wa Rais -Zanzibar 2. Mwinyi - Zanzibar Makamu wa Rais - Bara 3. Mkapa - Bara...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Na Joel Magese Moshi Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Watanzania kuacha mara moja tabia ya kuuza maeneo ya wazi ili kuhifadhi ardhi kwa matumizi...
1 Reactions
1 Replies
287 Views
HEKIMA ITUMIKE KUTATUA MIGOGORO YA FAMILIA: NAIBU WAZIRI PINDA Na. Joel Magese, ROMBO Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Watanzania kutumia hekima...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Kuwalaumu wengine kwa ugumu na changamoto tunazopitia katika maisha yetu mara nyingi ni njia rahisi ambayo wengi huichagua. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kwamba kila mtu tunayekutana naye ktk...
6 Reactions
6 Replies
953 Views
Nimejaribu kutafakari mnoo swala hili la matukio ya kikatili nchini hususani mikoani Dodoma😭 majibu kamilifu sina. Ila Mimi naona kwa sector ya masuala ya Imani kumelegea mno🥲. Watu hawana tena...
1 Reactions
0 Replies
240 Views
Mwanaune alie tayari kufa n yule aliejenga nyu mba Kama hujajenga na ukafa umekimbia majukumuuuu Uwiiii niongeze sauti Past nikujengee wapi sanamu
2 Reactions
31 Replies
796 Views
Zamani kidogo, ilikuwa lazima uchape CV yako vizuri, ununue bahasha zile safi, na utembee hadi ofisi moja baada ya nyingine ukizigawa. Siku hizi, hiyo ni hadithi ya kale! Teknolojia imegeuza kila...
4 Reactions
18 Replies
955 Views
Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.
16 Reactions
35 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Moshi James Khaji kasema anaomba Viongozi wa Dini wauombee Mkoa wa Kilimanjaro kutokana na sasa kukumbwa na Janga Kubwa la Wanaume kuwa Walevi wa Kupindukia, Kubaka na Kulawiti...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Sikia! Kila kitu kina mlango ili ukiingie! Hata wanzinzi, wezi, mafisadi, nk kabla ya kufanya tukio ujiuliza nitaingilia wapi? Ukitaka kuingia kwako hata chumbani kwako lazima upitie mlangoni...
1 Reactions
1 Replies
254 Views
🐍 Kila mwaka, karibu watu milioni 5.4 huumwa na nyoka duniani kote, na kusababisha zaidi ya vifo 800,000 na kuacha mara tatu ya idadi ya walionusurika wakiwa na ulemavu. Ugunduzi wa haraka wa dawa...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Ipo hivi, unakuta mtu anafanya kazi inayomuingizia kipato cha kutosha na anajuana na watu wengi wenye hadhi zao, lakini upande wa pili mwanamke aliyenaye anafanya kazi kwa mshahara usiozidi hata...
4 Reactions
15 Replies
966 Views
Elon Musk mwenye utajiri $243.7 sawa na Tsh. Trililioni 663 yaani sawa na bajeti ya nchi yetu ya miaka 15. Musk ndo tajiri namba moja Duniani. Musk anayemiki Tekinolojia kubwa kwa sasa Duniani...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
https://www.facebook.com/100003279171374/posts/8187447298041161/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Yapata miezi 7(saba) sasa tangia taka zitolewe mara ya mwisho Wakazi wa eneo hili la mbezi msakuzi kaskazini ambayo ni kata ya mbezi na wilaya ya ubungo hatujapata huduma hii ya kuzolewa taka...
2 Reactions
7 Replies
838 Views
Wamiliki wa dispensary zinazopokea BIMA ZA NHIF huwa mnalipwa baada ya muda gani? personal experience Nilienda Aga khan Dar nikaona tangazo kua hawapokei NHIF labda zinazotoka bank kadhaa ila...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
PRODUCERS NA STUDIO.. 1. Kumthamini Producer Master J na Hermy B waliamua kujiweka kando kiasi na kuleta maproducer wengine kusimamia studio hizo. Master Jay alimchukua Marco Chali kutoka Kama...
1 Reactions
5 Replies
800 Views
Back
Top Bottom