ORIGINAL COMEDY, tawi la CCM....

M'Jr

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,752
1,856
Kwa muda mrefu nimeacha kuangalia vipindi vya origino komedi aka kina Joti kwasababu nilihisi wamekosa mvuto. Sasa leo nimepita kuangalia kidogo nikaona kama wamekuwa makada wa ccm vile. Cjui ndio hivyo au mtazamo wangu tu!
 
Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,489
907
Aisee hela mbaya jamani.. Ukiiendekeza sana unaua kipaji..Thats why hata kwenye magazeti hawa jamaa wamepotea kabisa.. CCM nikama nuksani flani Vile.
 
Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
Kwa muda mrefu nimeacha kuangalia vipindi vya origino komedi aka kina Joti kwasababu nilihisi wamekosa mvuto. Sasa leo nimepita kuangalia kidogo nikaona kama wamekuwa makada wa ccm vile. Cjui ndio hivyo au mtazamo wangu tu!

Supposing ni members wa CCM then what? Inaelekea wangekuwa CDM wewe roho yako ingekuwa kwatuu! Acha ushamba na intolerance yako
 
Gambaz

Member
Oct 9, 2011
75
2
CDM hovyooo kweli kwa hyo ulitaka wawe Chadema badala ya CCM?. Mtahaha sana yan kila anaekuwa against na sera za chadema basi nh CCm kwanin asiwe cuf?
 
Makamuzi

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,155
263
Kwa muda mrefu nimeacha kuangalia vipindi vya origino komedi aka kina Joti kwasababu nilihisi wamekosa mvuto. Sasa leo nimepita kuangalia kidogo nikaona kama wamekuwa makada wa ccm vile. Cjui ndio hivyo au mtazamo wangu tu!
Usicheze na njaa.
 
Straight

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
346
44
CDM hovyooo kweli kwa hyo ulitaka wawe Chadema badala ya CCM?. Mtahaha sana yan kila anaekuwa against na sera za chadema basi nh CCm kwanin asiwe cuf?

wa2 wengine hopeles kabisa, muone huyu naye... Kwani umeambiwa pia kila anaye kuwa against CCM ni CDM.
 
Straight

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
346
44
Supposing ni members wa CCM then what? Inaelekea wangekuwa CDM wewe roho yako ingekuwa kwatuu! Acha ushamba na intolerance yako

wewe nani amekwambia mtoa mada ni chadema, au kila anaye kuwa against CCM ni CDM...
 
Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,044
5,046
I hate them all. Wao ni CCM D. Ccm B ni CUF
CCM C ni BAKWATA
CCM D ni wao
 
Dariser

Member
Aug 11, 2011
36
0
Kama ze comed ni ccm nawe hutaki fanya uwezalo warud ktk chama upendacho.Acheni ujinga wako kama wanakuboa ni wewe kaangalie futuhi au wale wa EATV.Acha ushabiki wa kijinga!
 
maulaga

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
472
120
Supposing ni members wa CCM then what? Inaelekea wangekuwa CDM wewe roho yako ingekuwa kwatuu! Acha ushamba na intolerance yako
Ukisha jiunga na CCM uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo unatoweka ghafla.
 
M'Jr

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,752
1,856
Supposing ni members wa CCM then what? Inaelekea wangekuwa CDM wewe roho yako ingekuwa kwatuu! Acha ushamba na intolerance yako

Nafkiri hukunielewa mzee, mtizamo wangu ni ingekuwaje kama vipindi vyote vingeendeshwa kwa mtindo huu wa political bending?
 
Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,489
256
Ukisha jiunga na CCM uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo unatoweka ghafla.

upupu mtupu, mnakimbizwa na ushabiki wenu na wala sio maslahi ya wananchi, kubali usikubali ni tabia ya kiafrika kumuona mtu mwenye wazo tofauti/mdala na la kwako kuwa hana akili, lini mtasitarabika? kuwa cdm wewe lazima ukubali wapo cuf,ccm,nccr, updp, wenye mtazamo na approach tofauti ingawa wote waweza lenga maendeleo. hivyo original commedy kwa mtazamo wao waheshimiwe, yaani utu wao, haki zao ktk kuamini jambo inastahili waheshimike na kama ni hoja ije kwa msingi unaokubalika si wa kidikteta. hebu wana cdm kuweni wastahimilivu hiyo ndiyo msingi pekee wa kuishi na kuamini demokrasia. jitahidini wakati wote kukijenga chama chenu kwa hoja ambazo (scientific), kwa lugha rahisi kwa kutumia ushahidi wa uzaifu wa vyama vingine ktk kuwashawishi watanzania na si kuburuzana na kuwafanya walio nje na imani yenu ni mashetani kwa uppande mwingine.
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,097
126,442
kuchekesha wameshindwa, sasa wameingia kwenye siasa, nako wakishindwa itabidi waanze kujipodoa na kuvaa magauni ili waponye njaa zao
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Supposing ni members wa CCM then what? Inaelekea wangekuwa CDM wewe roho yako ingekuwa kwatuu! Acha ushamba na intolerance yako

ushamba wapi wasanii ni kioo cha jamii kama leo hii hawaiumbui serikali ya magamba inapoboronga kama awali walivyokua EATV unadhani nini kitaendelea hapo?
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
CDM hovyooo kweli kwa hyo ulitaka wawe Chadema badala ya CCM?. Mtahaha sana yan kila anaekuwa against na sera za chadema basi nh CCm kwanin asiwe cuf?

Mkuu tunachotaka wawe independent chama chochote kinapoenda vibaya wasisite kuigiza upupu wao na sio kuigiza upupu wa vyama vya upinzani tu
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Kama ze comed ni ccm nawe hutaki fanya uwezalo warud ktk chama upendacho.Acheni ujinga wako kama wanakuboa ni wewe kaangalie futuhi au wale wa EATV.Acha ushabiki wa kijinga!

Nahisi wewe ndo mjinga
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Ukisha jiunga na CCM uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo unatoweka ghafla.

Kweli mkuu hebu angalia sasa walivyo hawana cha kuigiza kwa kushindwa kufikiria na Mungu alivyo mkubwa mambo yaliyoko mengi ya kuigiza ni ya ccm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom