Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika...
Katika jamii kama hizi, fedha imepewa thamani kubwa kuliko Familia, Pesa ndiyo inayopima heshima. Pesa ndiyo inayofungua milango. Pesa ndiyo inayokufanya uitwe ndugu.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema limesikitishwa na matumizi ya nembo yake katika mkutano na Waandishi wa Habari ulioandaliwa na Kampuni ya Sandaland Fashion Wear leo Septemba...
Ukipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana...
YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Yule Shujaa.
Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi...
Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali...
Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete...
Habari za wakati huu wana-JamiiForums,
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la nyimbo zinazovuma kwenye mitandao ya kijamii, lakini wimbo wa "No Condition is Permanent" ulioachiwa mnamo Agosti...
Majeneza ya Kukodi (Casket Rental).. Haya ni sawa na kusema ni 'used'
Kitu pekee kitu pekee sana na chenye faida kubwa lakini hakipatikani kwa urahisi nchini Tanganyika.. Hiki ni kile...
Katika kuishi kwangu na jamii za wamatumbi nimekuja kugundua wamatumbi wengi huwa wanaojifanya sana wako bold!
Ni sawa kuwa hivyo katika muktadha wa kutoa kuwa lelemama, ila Kuna time watu...
Imani ya kale zaidi duniani kuhusu kioo inasema hivi: Taswira yako kwenye kioo si picha tu. Ni sehemu ya nafsi yako.
Katika tamaduni za kale, watu waliamini roho inaweza kujitenga na mwili na...
Wakenya wanaoishi na kufanya kazi nchini Tanzania walituma nyumbani Ksh bilioni 1.52 (Dola za Marekani milioni 11.72) mwezi Agosti, kiasi ambacho kimezidi fedha zilizotumwa kutoka Saudi Arabia...
Vitabu vya Apocalypse, ambavyo kwa kawaida huitwa vitabu vya Apokrifa au apokaliptiki, sio maandiko matakatifu ya Mungu kwa maana ya kuwa sehemu ya Biblia Kanoni. Vitabu vya Apokrifa ni maandiko...
Stendi ya Basi Tabora Mjini kwenye geti la kuingilia kuna ushuru unaotozwa getini kuna muda ukienda wanakwambia ni Shilingi 300, kuna muda ukienda pia wanakwambia shilingi 500, bei...
Nimesikia milango ya uwekezaji iko wazi, napata wapi dalali aniuzie mbuga zote na ikiwezekana kuwafukuza wakazi wote waishio karibu nazo ili kuepusha bugudha?
Pesa ipo.
Mchawi wa moto
Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu
Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk.
Mchawi wa Kijani
Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili...
Huu msemo unatufanya kufanyiwa ujinga mwingi kwa kisingizio cha amani ndio kinatupeleka taifa kubaya.
October 29 na yanayoendelea yanataka kuwekewa msemo huu ili kama hakuna lolote lijatokea wala...
TANZANIA LEO LASEMA...
MAFANIKIO MENGINE YA SAMIA DESEMBA
🔹Tone la kwanza la mafuta ghafi ya Uganda litakuja Tanga
🔹TPDC yasema Mradi wa Bomba umefikia 92% kumalizika
🔹Baada ya hapo, ni ujenzi...