Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtu yupo kanisani au msikitini kavaa jezi ya Man Utd. Mtu yupo harusini au msibani kavaa jezi ya Yanga. Mtu kaendda kufata huduma ofisi za serikali, kaenda kupiga passport kwa ajili ya...
14 Reactions
26 Replies
1K Views
Tamasha la Land Rover limefanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mkoani Arusha leo 12 Oktoba 2024. Arusha ni kitovu cha utalii Afrika Mashariki zaidi ya magari 1,000 ya Land Rover...
0 Reactions
2 Replies
723 Views
Kila kitu kilikua kinaenda vizuri kama alivo mpanga kwasababu mshahara wake ulikua unamtosheleza mpaka pale alipo kopa 31m kufanikisha sherehe ya harusi yake, ili apate social class status kama...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwako kamishna Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Napenda kukujuza tu lile zoezi la Mara Tarime liendee Hali si nzuri mashamba ya bangi ni mengi yakiwa na...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Malalamiko yangu ni kuhusu uhamisho kwa Watumishi wa Umma, kuna baadhi ya mikoa mfano Mkoa wa Kilimanjaro na Lindi viongozi wetu wanakataa kupokea barua za Watumishi wanaotaka kuhama kwa...
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amezungumza mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini leo tarehe 13 Oktoba, 2024...
1 Reactions
1 Replies
374 Views
Kuna baadhi ya Halmashauri zinakwamisha juhudi za Serikali kwa makusudi ili ionekane Serikali haifanyi kazi. Povu langu ni kuhusu mfumo wa uhamisho Serikalini, kubadilishana kwa Watumishi...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari JF members Mimi ni mtumishi ngazi ya Serikali ya mtaa takribani miaka tisa (9) sasa. Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nikaomba uhamisho kwenda mkoani kwasababu familia yangu...
12 Reactions
109 Replies
7K Views
Dar es Salaam, Jumapili 29 Septemba. Leo ni mwanzo wa Safari ya Baiskeli ya Twende Butiama 2024, safari ya kihistoria ambapo waendesha baiskeli 113, wakiwemo washiriki wa kimataifa kutoka Kenya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati Tanzania ikielekea kuadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Vodacom Tanzania na Klabu ya Baiskeli ya ‘Twende Butiama’ tunaendelea na msafara...
3 Reactions
10 Replies
118K Views
Kwa muda mrefu, niliamini kwamba uongozi ulikuwa ni suala la kuvaa vizuri, kuwa muongeaji sana na ujasiri wa kusimama mbele za watu. Pindi tulipokuwa shule haswa shule ya msingi basi kiongozi...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Huyu ni Mwanamama wa Kinaijeria mwenye Travel Blogg inayoenda kwa Jina la Go.Ebaide huko You Tube, anazunguka Afrika kwa kutumia Pikipiki na sasa yuko Tanzania, wakati akitokea Kigoma kuelekea...
9 Reactions
140 Replies
8K Views
Kuna vitu vingine vina hitaji akili ya kuzaliwa tu, wa Africa sijui tuko je elimu yetu haijatukomboa mtu ana phd bado anarubunia na form two drop-out na anaamini kabisa, kama sio kurogwa ni nini...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Ilikuwa kawaida sana ndio sababu Wanafunzi wa boys enzi hizo Walikuwa vidume kweli kweli Sasa km 200 Kwa vijana wa Leo akina Lucas ni nyingi kweli kweli 😂😂😂 Shujaa aliwahi kutembea kutoka...
2 Reactions
8 Replies
287 Views
Sote tunajua gharama za ATCL zilivyo ghali na hasa safafri za kutoka Mwanza kwenda Dar na Dar kuja Mwanza na hasa nyakati za asubuhi. Binafsi naona kama wasafiri tunaonewa na inaaonyesha kama...
1 Reactions
0 Replies
303 Views
BoT kama taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi zingine naamini katika kurahisisha utendaji wake wa kazi basi kuna idara au vitengo mbalimbali zinazohusisha watumishi au wataalam wa kada...
1 Reactions
2 Replies
241 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Dadeki! Haya Maisha bhana kûna mambo ukiyakumbuka unabaki kucheka tuu. Bhana! Bhana! Kûna Dili nilikuwa nafukuzia Mbeya. Sasa Dili lenyewe likabuma, Pesa ya...
22 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu Wana JamiiForums, ninaomba kusaidiwa suala hili 1) Hivi Sheria za nchi zinaruhusu mfungwa kuendelea na wadhifa wake kazini au ni huku Kwetu Iramba tu? Ninaleta mada hii kutoka...
3 Reactions
15 Replies
906 Views
Jana usiku, maeneo ya Kibaha mkoani Pwani, umeme ulikatika. Hata sasa, umeme umekatika tangu asubuhi. Ni hivi karibuni tu ndugu zetu TANESCO mmepongezwa kwa kuzalisha umeme mwingi kuliko...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwenye jamii za watu hapakosi viongozi wapenda misifa wasiojali kuthamini bidii na akili za wasaidizi wao, nimewiwa kutoa tahadhari kwa Paul Makonda a.k.a DAB Kolomije, imekuwa kama utamaduni...
1 Reactions
4 Replies
383 Views
Back
Top Bottom