Kaponea chupu chupu kugongwa na Koboko mkali

Kaponea chupu chupu kugongwa na Koboko mkali

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
61,236
Reaction score
98,456
Mhm jinsi alivyo tu. Mara ulimi mrefu mara rangi tofauti ,mara anatuna pia baba na babu yangu waliniambukiza hili .
Mimi sipatani na mijusi hasa hii inayokaa majumbani nikiiona sijui najiskiaje lazima kipondo kiwahusu.

Hapo kwene nyoka ndio kabisa huyo jamaa nikimuona napotea hayo mazingira muda huo huo.
 
Back
Top Bottom