Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanabodi Hapo awali treni ya SGR Morogoro - Dar inayochukua abiria takribani 900 ilikuwa inajaa siku 1 au 2 kabla ya safari. Ukiingia mtandaoni hupati tiketi. Utafiti wangu nilioufanya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Zamani hii route ilikuwa na Mabasi ya Wachagga tu akina Air Msae, Dar Express, Machame line, Lang'ata, Kilimanjaro, The Big Mayai, nk lakini Wengi wamepotea na waliobaki akina Kilimanjaro na Dar...
12 Reactions
102 Replies
5K Views
Kuna zile nyakati bhana… ndoa inazingua mno mno hadi unajiona wewe si kitu mbele za watu! Hata ukiwa kwa daladala unahisi wale abiria wenzio wote wanajua kile unapitia na ni kama wanakuzomea😂 Ni...
10 Reactions
16 Replies
775 Views
Mwezi huu oktoba ni mwezi wa huduma kwa wateja, ndani ya wiki hii zimeshuhudiwa taasisi nyingi zikiadhimisha wiki ya huduma kwa wateja. Huduma kwa Wateja ni sherehe ya kimataifa ya umuhimu wa...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Tunafaham mila na desturi zetu wakati flani ziliwapa majina mabaya aina flani ya wanyama, wadudu, ndege, samaki hata mimea. Bundi anaonekana ni ndege asiyefaa kabisa mwenye mikosi na kila aina ya...
5 Reactions
1 Replies
904 Views
Jibu la RC wa Dar, Paul Makonda kwa Mjasiriamali na Mdau wa Maendeleo, Carol Ndosi leo kupitia ukurusa wa Twitter baada ya kumuandikia barua linasema mengi. Inavyoonekana, kuna mgongano wa...
24 Reactions
170 Replies
34K Views
Habari wakuu. Sisi WANAUME tumepewa mamlaka makubwa sana na mwenye mamlaka.Hivyo basi wewe ni mwanaume kwahiyo furahia kuwa hivyo kaka. Unatafuta pesa kwa akili nyingi ili Mama,baba,Mke,watoto...
18 Reactions
88 Replies
2K Views
Mrejeasho. Hawa wapuuzi wameifungua lisaa moja baada ya hii post. Tunasafari ndefu kama Watanzia kwa hizi taasisi zetu ambazo full admns ni Watanzania wenyewe. Hatuko committed kwa kazi zetu...
30 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari zenu jamii forum kama kichwa cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kuwa mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma wala upendo. Nimekuwa mtu mwema kwa watu nimeishia...
11 Reactions
51 Replies
2K Views
Huko Tanganyika kila mtu ni machinga, hata wasio na ujuzi wa kibiashara nao unawakuta wanachuuza malapa mitandaoni. Tangu Watanganyika waambiwe kujiari basi imekuwa fujo mno, mara huyu anauza...
6 Reactions
20 Replies
785 Views
Na THABIT MADAI, ZANZIBAR BAADHI ya watu wengi hawafahamu vivutio vilivyopo visiwa vya Zanzibar, ambapo huwa wanafikiria kuwa ina uzuri wa fukwe za bahari tu, La hasha, si fukwe tu bali kuna...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
DUWASA YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI AWESO Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) imeanza uchimbaji wa kisima eneo la Kisasa-Mwangaza Jiji Dodoma baada ya maagizo ya Waziri wa...
1 Reactions
3 Replies
835 Views
Nimeishia sana Nzega na Igunga sijawahi fika Tabora. Sijui ni ushamba wangu ila kipimo cha mji kuwa mzuri kwangu mimi ni majengo mazuri marefu. Kwa Tabora kupoje maghorofa marefu ni ya nini...
2 Reactions
4 Replies
505 Views
Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi. Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo...
21 Reactions
144 Replies
4K Views
Mambo vipi Wakuu! Team Land Rover wako njiani kuelekea Chuga wakitokea Dar es Salaam, na hivi ndivyo walivyopitia Mwenge, kuelekea Arusha ambako wanataka kwenda kuandika historia Jumamosi hii...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
kuna maono ninayo kuanzia weekend ya week hii na mpaka week zijazo uko uwezekano ukapata hela ambayo itatosha kabisa kuwa ni mtaji na ukatimiza mawazo yako. Lakini pia dunia iko katika kipindi...
5 Reactions
5 Replies
419 Views
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara. Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo. Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa). Cha ajabu katika...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Yaani hivi mwandishi wa kitabu yoyete mwenye kuijuwa kazi ya uandishi vizuri. Kitu cha kwanza anacho kifanya ni kujuwa walengwa au wasomaji wa...
3 Reactions
8 Replies
959 Views
Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim Foundation (MIF) imeonesha kwa kipindi cha mwaka 2022, nchi 10 tu za Afrika zilipokea karibu nusu ya Misaada yote ya Kimaendeleo kutoka kwa Wafadhili wa Nje...
0 Reactions
3 Replies
733 Views
Mfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je...
4 Reactions
30 Replies
697 Views
Back
Top Bottom