kwa kweli inasikisha sana

kwa kweli inasikisha sana

camp konzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
393
Reaction score
800
asilimia kubwa ya wakazi wanaoishi pembezoni ya jiji la bongo dar es salaam wanapata mda mchache sana wa kupumzika pindi wanapolejea nyumbani wakiwa wametoka kazini kwasababu uwa wanachelewa sana kufika kwenye makazi yao na uwa inawalazimu kuamka asubuhi na mapema kwa ajiri ya kujiandaa tena ili kurudi kazini
 
Ni kweli wanastahili pole, kupumzika kwenyewe sio kulala vizuri mahala patulivu, analala Mtu mahala penye makelele tena usiku mzima kwa wauza vyips au wauza bar, wanaojiuza au wazururaji

Maisha ya namna hii yapunguza hata umri wa kuishi[Lifespan] usumbufu huu wanoishi vijijini hasa hukoo mikoani hawaupati ati
 
asilimia kubwa ya wakazi wanaoishi pembezoni ya jiji la bongo dar es salaam wanapata mda mchache sana wa kupumzika pindi wanapolejea nyumbani wakiwa wametoka kazini kwasababu uwa wanachelewa sana kufika kwenye makazi yao na uwa inawalazimu kuamka asubuhi na mapema kwa ajiri ya kujiandaa tena ili kurudi kazini
Mikoa ya kufanyia kazi sio DSM pekee, hawaia katazwa kuhama mkoa
 
asilimia kubwa ya wakazi wanaoishi pembezoni ya jiji la bongo dar es salaam wanapata mda mchache sana wa kupumzika pindi wanapolejea nyumbani wakiwa wametoka kazini kwasababu uwa wanachelewa sana kufika kwenye makazi yao na uwa inawalazimu kuamka asubuhi na mapema kwa ajiri ya kujiandaa tena ili kurudi kazini
ok.🐒
 
Asilimia kubwa ya watu wa dar es salaam wanateseka....hawafurahii maisha...iwe una kipato au kapuku kila mtu anateseka kwa namna yake...

Watu wa Dar es salaam ukiwatazama hivi ni kama wamechanganyikiwa....muda wote wamenuna hawana furaha.....

Pesa zipo mifukoni lakini wanaishi kama wapo kuzimu....ndio maana wengi wao wanalewa sehemu za kazi kwa sababu ya kupunguza stress.....

Na wengi ni wezi, madalali na matapeli waliokuwa kazini au wanangojea fursa.....hata ndugu yako mliyekuwa naye kijijini akishaingia dar es salaam kaa naye chonjo!!!

Watu wapo smart wameulamba lakini matumbo hayana kitu na wengine wanalala vibarazani.......

Mtu unamuona kaulamba lakini akikupeleka huko vichochoroni anapoishi inakulazimu kufika kila siku kama wiki hivi au zaidi ili kukariri njia....

Ndio maana wengi ni wagumu kupokea wageni kutokana na mikogo yao isiyoendana na mazingira yao ya maisha kwa ujumla.....

Asilimia kubwa ya wanawake wa Dar es salaam ni wanajiuza kwa mazingira yoyote utakayomuona na kwa hali yoyote utakayomkuta wewe ongea naye bei na anafika dau.......

Dar es salaam ni jiji la fursa lakini kwa wachache tu lakini wengi wamekuwa watumwa walioleweshwa na starehe za jiji huku wakiupoteza muda ambao baadae wataujutia
 
Kiufupi hapa dar watu wanaishi kigum sana.

Hua napga mahesabu ya nauri tu kwa mtu aliyeajiriwa dukan kariakoo, yaan alipwe 100k hadi 150k.
afu nauri bajaji hadi rang3 mbagara buku, na kutoka rang3 hadi posta 800 nenda rudi 3600 kwa siku.

Dar ni pakwenda kula bata tu pesa unatoka nazo mkoani sio pakujitafuta
 
Asilimia kubwa ya watu wa dar es salaam wanateseka....hawafurahii maisha...iwe una kipato au kapuku kila mtu anateseka kwa namna yake...

Watu wa Dar es salaam ukiwatazama hivi ni kama wamechanganyikiwa....muda wote wamenuna hawana furaha.....

Pesa zipo mifukoni lakini wanaishi kama wapo kuzimu....ndio maana wengi wao wanalewa sehemu za kazi kwa sababu ya kupunguza stress.....

Na wengi ni wezi, madalali na matapeli waliokuwa kazini au wanangojea fursa.....hata ndugu yako mliyekuwa naye kijijini akishaingia dar es salaam kaa naye chonjo!!!

Watu wapo smart wameulamba lakini matumbo hayana kitu na wengine wanalala vibarazani.......

Mtu unamuona kaulamba lakini akikupeleka huko vichochoroni anapoishi inakulazimu kufika kila siku kama wiki hivi au zaidi ili kukariri njia....

Ndio maana wengi ni wagumu kupokea wageni kutokana na mikogo yao isiyoendana na mazingira yao ya maisha kwa ujumla.....

Asilimia kubwa ya wanawake wa Dar es salaam ni wanajiuza kwa mazingira yoyote utakayomuona na kwa hali yoyote utakayomkuta wewe ongea naye bei na anafika dau.......

Dar es salaam ni jiji la fursa lakini kwa wachache tu lakini wengi wamekuwa watumwa walioleweshwa na starehe za jiji huku wakiupoteza muda ambao baadae wataujutia
Kaka KikulachoChako hizo asilimia kubwa unazipataje?unaweza kutuwekea rejea nasi tujiridhishe na hizi tuhuma zako?
 
Back
Top Bottom