Historia bwana tamu sana.
Leo wakati natazama vintage mwadada Palki akanirudisha mwaka 2007, ambapo hamas ilishinda uchaguzi na nchi zote zikakataa kutambua serikali yake isipokuwa Turkey na...
Once again, Msasani Village tùmepatwa na pigo kubwa. Huu ni mfululizo wa vifo vya kaka zetu, dada zetu na baba na mama zetu.
Leo nasikitika kuujulisha umma juu ya kuondokewa ña mzee wetu Pius...
Habari wakuu, mi Ni mfanya biashara mdogo Ila nmefanikiwa kupata mtaji , Sasa nimeanza ku-import bidhaa kutoka ulaya.
Leo nlikuwa natuma pesa kwenda Barcelona-spain kwa njia ya T/T(telegraphic...
Habarini,
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ofisi za serikali hasa naadhi ua ofisi za TRA kupokea barua na kukataa kugonga mhuri wa received kwenye barua ya pili anayobaki nayo mteja kwaajili ya...
Kwanza natanguliza salamu za pole kwa wapendwa walioangukiwa na ghorofa siku ya leo eneo la Kariakoo. Mungu awafanyie wepesi wapone haraka warudi kwenye majukumu yao ya kujitafutia kipato na...
Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe, Farida Mgomi ametoa rai kwa vikundi vya maendeleo vilivyonufaika na mikopo ya Asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri kuitumia mikopo hiyo kwa matumizi lengwa...
Samwel Anthony (34) mkazi wa kijiji cha Shilima wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 8.
Hukumu hiyo imetolewa jana tarehe 20...
Wadau kuna mwamko mkubwa sana sasa hivi wa vijana kupenda kufanya mazoezi barabarani, tena barabara kuu kiholela🙆🏾♀️
Hili siyo sahihi na ikitokea bahati mbaya lori likapoteza brake maafa...
Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana...
Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada...
Machinjio ya Kimara yanatupa wakati mgumu majirani. Maji yanoyotiririshwa kwenye mitaro yanafanya uchafuzi
wa hali ya hewa.
Serikali iangalie upya suala hili
TAARIFA YA TUKIO KUBWA KWA KIREFU
KGD/IR/4422/2019
KOSA MAUAJI
MTOA TAARIFA NI SP THOBIAS WALELO MKUU WA UPELELEZI WILAYA YA KIGAMBONI
Anaeleza kuwa mnamo tarehe 15.07.2019 majira ya saa...
Wakuu, poleni kwa janga la Kariakoo. Mungu awarehemu waliotangulia, majeruhi wapate nafuu mapema na ambao bado wapo katika kifusi wapate kuokolewa wangali hai, Amen!
Kama mtakumbuka vyema...
Nilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja.
Nimewahi kusikia...
Habari za usiku wakuu! Kuna mtoto wa miaka 10 amekutwa amejinyonga chumbani kwake hapa Buguruni.
Maelezo ya kina hayajapatikana ila kwa maelezo ya awali ni kwamba mtoto katoka shule mida ya saa...
MFANYABIASHARA Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mavili ya mkaa, amedai katika maelezo yake ya onyo kuwa kichwa cha mkewe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili Kariakoo muda huu kwa ajili ya kujionea hali halisi ya zoezi zima la uokoaji ambao unaendelea na kuzungumza...
Kwa nini watoto hulia?
Naamini kwamba tukiwachukua akina mama kumi wenye watoto wadogo na kuwauliza ni sababu zipi zinazopelekea watoto wao kulia watataja vitu kama; njaa, kutaka kunyonya...
Tokea ajali itokee mmefunga mitaa karibia minne hadi sehemu ambazo zipo mbali kabisa na ile ajali mmewaamrisha watu wafunge maduka.
Ni kweli tunamajonzi kuwapoteza ndugu zetu ila kazi lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.