Dar, Kigamboni: Khamis Luongo amuua mke wake Naomi Orest Marijani na kumchoma moto. Majivu akafanya mbolea ya Mgomba

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
TAARIFA YA TUKIO KUBWA KWA KIREFU

KGD/IR/4422/2019

KOSA MAUAJI

MTOA TAARIFA NI SP THOBIAS WALELO MKUU WA UPELELEZI WILAYA YA KIGAMBONI

Anaeleza kuwa mnamo tarehe 15.07.2019 majira ya saa 0800hrs huko Gezaulole kata ya Somangila Wilaya ya Kigamboni jiji la Dar Es Salaam nyumbani kwake Khamis Said Luongo, 38yrs, Makonde, Mfanyabiashara , mkazi wa Gezaulole. Anaeleza alimpinga na kumuua mke wake aitwaye Naomi Orest Marijani, 36yrs, Mpare, mfanyabiashara na mkazi wa Gezaulole.

Mara baada ya mauaji hayo Khamis Said Luongo anaeleza kwamba alichukua mwili wa mke wake na kuuweka mwili kwenye shimo alilochimba kwenye banda lake la kufugia kuku kisha aliweka mkaa gunia mbili na mafuta ya taa kisha akawasha moto ulio waka muda mrefu na mwili wote kuteketea kuwa majivu.

Kisha alichua majivu hayo akaweka kwenye mfuko na kubeba kwa kutumia gari lake lenye no T 206 CEJ aina ya Subaru Forester rangi nyeusi na kupereka kwenye shamba lake lililoko kijiji cha mlogolo kata ya vikindu wilaya ya Mkulanga Mkoa wa Pwani.

Alichimba shimo kwenye shamba lake kisha kuweka hayo majivu na kufukia na akapanda mgomba juu yake. Kisha Khamis Said Luongo alikaa nyumbani kwake akisema mke wake ametoroka nyumbani.

Tarehe 19.05.2019 alifugua taarifa ya mke wake kutoroka nyumbani na kupewa RB ya kituo kidogo cha Mjimwema MJ/RB/234/2019 yahusika.

Kisha kuwajulisha ndugu jamaa na marafiki zake kuwa mke wake ametoroka nyumbani.

Tarehe 12.06.2019 alifungua jalada KGD/IR/3617/2019 kosa kuterekeza mtoto.

Akimtuhumu mke wake kuwa ametelekeza mtoto aitwaye Gradous Khamis mwenye umri wa miaka 6.

Tarehe 13.06.2019 ndugu wa Naomi Orest Marijani walitoa malalamiko yao ya kupotea kwa ndugu yao kukafunguliwa jalada la uchuguzi Temeke/CID/PE/69/2019 yahusika.

Upelelezi uliedelea Khamis Said Luongo akiwa anaenda kulipoti ofisi ya RCO Temeke.

Hadi tarehe 15.07.2019 Khamis Said Luongo alizuiliwa na mahojiano ya kina kufanyika ndipo akaamua kusema ukweli kuwa alimuua mke wake na tarehe 16.07.2019 aliongoza timu ya makachelo kutoka kanda ofisi ya ZCO ofisi ya RCO Temeke wataalam kutoka PHQ daktari iliyokuwa inaongozwa na ASP Msisiri OCS Kigamboni walifanikiwa kupata mabaki ya mwili yamechukuliwa kwenda kanda kwa ajili ya uchuguzi zaidi.

Chazo cha mauaji ni wivu wa kimapenzi.

Tukio limekaguliwa na SP. Thobias Walelo OC CID Kigamboni akishirikiana na makachelo.

Upelelezi unaendelea nitaendelea kukujulisha maendeleo.

Zaidi, soma.....

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania linamshikilia Khamis Luwonga maarufu Meshack mkazi wa Kigamboni kwa tuhuma za kumuua mkewe, Naomi Marijani.

Luwonga anadaiwa aliuchoma moto mwili wa mkewe.

Mkuu wa Upepelezi wa kanda hiyo, Camillius Wambura akizungumza na Mwananchi leo Jumatano Julai 17, 2019 amesema wanamshikilia kwa mahojiano kuhusu tukio hilo.

Amesema pamoja na kumhoji polisi wamekwenda katika maeneo ambayo ameyataja kufanya mauaji hayo kwa ajili ya kupata uthibitisho.

“Huyu bwana tunaye tunaendelea kumhoji na askari wameshakwenda katika maeneo aliyoyataja, wamechukua majivu kwa ajili ya vipimo vya DNA kuona kama kweli yanaendana na huyo mama,” amesema

Joseph Hatia, shemeji yake Naomi amedai kumekuwa na taarifa kuwa Naomi na mumewe hawakuwa na maelewano mazuri hadi siku anatoweka.

Amesema kwa taarifa walizozipata Meshack ameeleza kwamba siku ya tukio alirudi nyumbani na kumkuta mkewe lakini waligombana.

“Wakiwa wanagombana na kusukumana amedai kwamba Naomi alidondoka na kujigonga kichwani, alivyoona hivyo akamburuza hadi nje na kuchimba shimo akamtumbukiza na kuchoma moto.”

Hatia amesema kwa sasa familia inasubiri taarifa rasmi kutoka kwa polisi ambao wanaendelea kumshikilia Luwonga.

Naomi alitoweka nyumbani kwake Mei 15, 2019 na familia yake ilitoa taarifa polisi katika kituo cha Chang’ombe baada ya mumewe kuwajulisha siku nne tangu atoweke.
IMG_20190717_173921.jpg

FB_IMG_1563418398998.jpg

Screenshot_20190718-171446~2.png
 
zile takwimu za visababishi vya vifo vingi kila mwaka zikiwahusisha nyati,koboko,n'ge n.k bila shaka zingewekwa nyuma na vifo vinavyosababishwa na mapenzi vingetangulizwa.....maana case za watu kukatana mashoka,kuchinjana,kuchemshana kama supu zimekithiri sana siku hizi...yani ni kama wauaji wanajaribu kuvumbua mbinu mpya kila siku....hivi kama mapenzi yametushinda si tuyaache?!.....eti unamfanya mwenzio mbolea kwenye shina la mgomba ndo ukumbusho ama?!..
 
Mimi nikisikia au nikiona mwanaume amemuua mkewe sishangai maana hawa wadudu/wanawake Wana maneno ya shombo na ya karaha na yanayofedhehesha + tabia mbovu na usiombee awe na mchepuko utajuta, nampa 5 huyo jamaa kuliko wale wanaojinyonga au kunywa sumu halafu anamwacha mke akiendelea kuliwa kama kawaida
 
Mimi nikisikia au nikiona mwanaume amemuua mkewe sishangai maana hawa wadudu/wanawake Wana maneno ya shombo na ya karaha na yanayofedhehesha + tabia mbovu na usiombee awe na mchepuko utajuta, nampa 5 huyo jamaa kuliko wale wanaojinyonga au kunywa sumu halafu anamwacha mke akiendelea kuliwa kama kawaida
Shida yote ya nini si angempiga talaka tu!!
 
Kupenda huku hadi kupitiliza, jitu lina 36yrs unaanza kuwa na wivu nalo wakati kila siku siku hizi vinazaliwa vyuma vyenye shepu na viuno matata... Mnakubaliana tu yeye aendelee kuchepuka na wewe uendelee kila mtu kwa wakati wake huku mnalea watoto wenu burudani kabisa..
 
Duuhhh Nyakati za mwisho.

Dunia inakimbia sana .

labda tuchukulie mazingira yalikua ivi mida ya 0800hrs ( Saa mbili asubuhi)

Bwana khamis kaamka, akiwa na Pensi ya Kulalia kifua wazi, mashine imesimama, anaingia bafuni kwake kukojoa( choo na bafuni kwa ndani) ..mkewe akiwa nje kufanya ufanyi ( Mwanamke usafi ban)

Anatoka, anapita kwenye kioo kujitazama tongotongo, simu ya mkewe ikiwa juu hapo ya dressn table ghafla inaingia meseji , anaitazama bila kuifungua anagundua ni meseji ya 8, na Missed call 5

Anapata shauku ya kufungua sababu ya wasiwasi wa meseji saba na missed call kama zote.

Mara paaaa missed call ni jina laimeseviwa *Fundiiiii*

kufungua meseji, ni meseji za Fundiiiii zinazosema
1- Hey Mwanamke Nimeshamis sana Iyo kitu yako -----( kimyaa )

2-- Vipi umeshalala au Upo na jamaa yako???-- (Kimyaa)

3---ma gradous nijibu basi, iyo kumayako nimeimis kinoma maana ni taamu sana...(Kimyaa) apo ni saa 5 usiku

4-- Sema usiangushe basi ,jitahid huyo jamaa akiondoka tu, nawewe uje, nakesho nitakutombaa mpaka ushikilie chupi mkonon....(Kimyaa

5-- Umenisusa??? (kimyaa

6----Baby nanyege kama zako

7---- Alafu wangu Usisahau kesho kuja naiyo hela nifanyie biashara.... Usiku mwema baby , nakupendaa kesho mapemaa kabisa uniletee iyo kitu nikupige mashine

8--- habar za asubuh ,umeshaamka..vipi meseji zangu umeziona za usiku???

Fundiii hakujua , ma gradous toka mumewe aliporudi, wanaingia kulala..anaamka asubuhi HAKUA ameshika simu alipoiweka pale kwa table ndo mpaka asubuhi .

Mmakonde hapa namuona, hasira zikamjaa, moyo ukaenda kasi..mmakonde akavimba, mmakonde akaanza kutetemeka kwa jaziba....

Ma gradous ..wee ma gradous uko wapi???

Nipo nje najaaa

Kabla hajafika.mara kofiii..paaa .. Unanisaliti???? Pumbavu wee leo nakuua,

Jamaan nimefanyaje ...sijawah kusaliti

Mmakonde anatoa sim , huyu nani?? Hizi meseji za nan??? Nini hiki??


Ma gradous, anakaa kimyaa, samahan samahan mume wangu samahan..

Jamaa anaendelea kuvimba tuuu

Ma gradous anamjibu... Mbona wee unanisalit lkn navumilia mangapi unafanya mie nakaa kimya...nmechokaaa nmechokaa kama unaniacha niache nifukuze nirudi kwetu tuuu


Mmakonde akawaza, Nimfukuze, aende kwa huyo mpuuzi wake???
Ebwanaa asikuambie mtu "Maumivu ya Mahaba nizaidi ya Mwiba""...

Jamaaa anavutia ndan, ngumi, teke, mara paaaaaa kichwan ma gradous chin, jamaa anaongezea teke, pigaaa

Mara shetani anamtoka, anagundua mkewe nikm kazimia

Ma gradous..kimya..

Mke wangu..kimyaaa

Wee ma gradous??kimyaa

Baby amka..kimyaaa


Hapa napale, anagundua mwanamke kafaaariki.

Anamtazama gradous hayupooo yupo shuleeeeeeeeee




Nitaendelea kuwajulisha



Oya wana eehh, Ndoa na iheshimiwe na wote.

Mwanaume kua mwaminifu kwa mkeo.



Wanawake mtuonee huruma


R.I.P ma gradous

Mwanangu Khamis, nenda kanyee ndooo..ule maharage... Huko Kitanda chako cha sita kwa sita ni sakafu.

Huko Subaru yako ni Miguu yako

Zile pamba zako kali uko ni sare nyekundu.

Uku kuna kunguni ingawa mnalala chini..hko kuna gizaa..hujui hata saa ..hata km ni mchana utahisi niusiku.
 
Back
Top Bottom