Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani mambo yanatisha unyama unaofanywa na baadhi ya watu. Sasa mtoto mchanga kabisa hii ni wazi ni imani za kishirikina tu zimefanyika na kutumika kwenye haya mauwaji! =============== Mtoto...
2 Reactions
6 Replies
693 Views
Kwa faida ya wengi Imeonekana hasa hapa kwetu Tanzania watu wanashindwa tofautisha kati ya uislamu na uarabu. Islam ni dini na Uarabu ni race tu au kundi tu la jamii ya watu hao toka nchi hizo za...
17 Reactions
174 Replies
18K Views
Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini. Allahu Akbar.
40 Reactions
262 Replies
25K Views
Ni kweli serikali inazo baadhi ya shule ambazo zinatumia lugha ya Kingereza kufundishia? Nimewahi kuona mjadala ukisema Olympio primary school iliyoko Dar es Salaam na ambayo inatumia lugha ya...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa...
32 Reactions
125 Replies
6K Views
Chama Kikuu cha Ushirika cha Lindi Mwambao kimemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva madawati 150,viti mwendo 2 na mataili 4 kwaajili ya jeshi la Polisi, vyote vikiwa na thamani ya...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Haijalishi wewe ni msalaba, nyota na mwezi, au unaamini katika manyoya ya kuku, etc How sure are you kwamba unachoamini ndicho cha ukweli na uhalisia. Kisa ulikipokea kwa baba yako mpendwa...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Habari ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye mada. FaceBook ni mtandao ambao sijawahi kuuelewa katika hii dunia ni kamtandao. Maudhui hayapo zaidi tu ya post za kunengua mauno..
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Tunawakaribisha wote kuuliza chochote kuhusu Buddha
1 Reactions
10 Replies
659 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili hivi punde Kariakoo, Dar es Salaam, ambapo jengo la Gorofa liliporomoka Jumamosi na kusababisha vifo vya watu na wengine kujeruhiwa. Kuhusu ajali hiyo, soma...
5 Reactions
54 Replies
7K Views
Tangu jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipotangaza zawadi ya Shilingi Milioni 700 kwa timu ya taifa ya Taifa Stars baada ya kufuzu kwa mara ya nne...
0 Reactions
9 Replies
764 Views
Huwa inanichanganya. Inakuwaje pombe iwe haramu katika uislam na hapohapo watakaoingia peponi waahidiwe pombe. hebu msikilize shehe kipozeo akiwaahakikishia waislam peponi kuna...
2 Reactions
5 Replies
734 Views
Ilikua siku ya kawaida kama siku nyingine kwa wafanyabiashara. Baada ya kushinda mpaka saa saba usiku napokea mzigo na kupanga mipango kazi ya wiki nzima...niliondoka kariakoo mtaa wa Narungombe...
17 Reactions
91 Replies
10K Views
Poleni watanzania wenzangu , ajali iliyotokea kata ya kariakoo ndani ya wilaya ya ilala inayohusisha jenho la biashara kuporomoka na kusababisha janga kubwa ambalo limegusa mioyo ya watu nakuacha...
1 Reactions
6 Replies
596 Views
Wakuu mambo vipi? Kwanza poleni kwa msiba wa kitaifa (janga la Kariakoo). Ishu yangu iko hivi, kuna ndugu yangu ni mfanyabiashara Dodoma. Kwa hiyo mara nyingi husafiri toka Dodoma-Tunduma na...
3 Reactions
5 Replies
920 Views
Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao. Wakuu naombeni mwenye...
4 Reactions
18 Replies
978 Views
Sijui fani nyingine ila nina watu wangu wengi waliosomea hii fani wengine nilisoma nao O Level wengine shule ya msingi, marafiki na pia ndugu zangu. Wengi nawaona wanasota nyumbani tu. Sijui hii...
8 Reactions
196 Replies
23K Views
Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Eti hawa nao ni waokoaji, huu ni utani kama utani mwingine.
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Huyu jamaa yangu kamtuma mtu kunifanyia utapeli nikamstukia baada ya kushindwa hizo mbinu kaandaa watu wavamie nyumban kwangu waniibie na hizo taarifa nazipata kupitia watu wake wa karibu. Je...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom