Anayeshtakiwa kumuua Mkewe asema Kichwa cha Mwanamke huyo kiliungua moto kirahisi sababu alikuwa anakigeuza

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
IMG_7872.jpeg

MFANYABIASHARA Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mavili ya mkaa, amedai katika maelezo yake ya onyo kuwa kichwa cha mkewe kiliungua kirahisi sana kwa sababu alipokuwa anamchoma alikuwa anakigeuza.

Amedai kuwa alianza kuchoma mwili wa mke wake kuanzia saa tano asubuhi hadi saa 10 jioni, kwa sababu anakumbuka siku hiyo mtoto wake alirudi toka shuleni wakati yeye anamalizia kuchoma mwili huo.

Pia alidai kuwa nyama za sehemu za siri, maziwa na makalio zilichelewa kungua na kuisha haraka kwa sababu zilikuwa na mafuta mengi, lakini mafuta hayo yalisaidia moto kuwaka.

Maelezo hayo ya onyo na ya mlinzi wa amani yalisomwa mwishoni mwa wiki na Wakili wa Serikali, Mosie Kaima, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Ramadhani Rugemalila wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dares Salaam.

Luwonga katika maelezo yake hayo, anadai kuwa watu wasingeweza kusikia chochote kwa sababu karibu na nyumbani kwake kuna Kanisa la Efatha na watu walikuwa wamejaa kanisani wanaendelea na ibada.

Anadai kuwa kutokana na mgogoro wao wa ndoa, yeye na mkewe waikaa miaka miwili kila mtu analala chumbani kwake na pia hakukuwa na tendo la ndoa kati yao.

Walikuwa wanaishi nyumba ya ghorofa moja, mmoja anakaa chini mwingine juu.

"Siku ya tukio Mei 15, 2019 nilirudi nyumbani asubuhi, nilala nje ya nyumba yangu kwa siku tano (kwa Magreth), nilimkuta mke wang akimwandaa mtoto ili aende shuleni.

"Hii ilikuwa ni kawaida kurudi nyumbani asubuhi, kwa sababu hata yeye huwa anafanya hivyo, ilifikia wakati kila mtu anatoka analala nje bila kutoa taarifa kwa mwenzake na siku hiyo nilimwuliza mke wangu anataka nini ili nimwache," alidai Luwonga.

Anadai kuwa aliacha simu yake, ghafla ilita ambapo jina lililotokea lilikuwa la mwanamke, mke wake alichukua sim hiyo na kuanza kumgombeza kuwa wanawake zake wanapiga simu, ugomvi ukaanza.

Anadai kuwa wakati wanaendelea kugombana, alimshika mke wake na kumweka kitandani ili aache ukorofi.

"Naomi alinivuta sehemu zangu za siri kwa nguvu, nilipata maumivu makali ndipo nilipompiga na kumsukuma kwa bahati maya ukutani akajigonga karibu na mlango wa chooni," anadai.

Anadai kuwa mkewe alivuja damu nyingi kichwani na kufariki dunia papohapo na kwamba maneno yake ya mwisho yalimchanganya sana, akaanza kufikiria ataufanyaje mwili huo.

Anadai jambo la kwanza alifikiria kwamba auzike mwili nyumbani, lakini alifikiria ndugu wakija wanaweza kujua. Akafikiria tena, nyumbani kwake kuna magari manne, achukue gari moja aubebe mwili akautupe, lakini aliwaza njiani huenda akakutana na trafiki.

"Nikapata wazo la kumchoma moto kwa kutumia kuni, lakini nikasema kuni zitatumika nyingi sana, kwa hiyo nitumie mkaa, lakini nikasema majivu yakibaki hapa itakuwaje? Kwa sababu Naomi atakuwa anaendelea kutafutwa wakija kupima majivu wakajua ni ya mke wangu nitafanya je?

"Kwa hiyo, nilipata wazo kwamba nitamchoma moto na majivu nitakwenda kuyafukia shambani kwangu Mkuranga," alidai mshtakiwa katika maelezo yake ya onyo.

Alipoulizwa na askari aliyekuwa akimchukua maelezo hayo kuwa kwa nini hakwenda kutoa taarifa Kituo cha Polisi, alidai alishawahi kwenda kushtaki mara kadhaa, Takini walimwambia "huyo ni mke wako".

"Kuna siku mke wangu alinichoma na kisu mkononi nikaenda kituo cha polisi, nikaambiwa niondoke, huyo ni mke wangu, pia alishawahi kunivuta sehemu zangu za siri mbele ya mama yangu, hakuishia hapo tu alishawahi kunipiga na doo ya chooni mbele ya wapangaji wangu.

"Yaani ugomvi huu ulikuwa mkubwa sana hadi nikaingia uoga wa kula chakula nyumbani wala kulala nyumbani kwa sababu nilikuwa ninaogopa kuwekewa sumu, tulifikia kwenye hatua mbaya sana," anadai.

Anaendelea kudai ni hali iliyomfanya awe na uoga hata kutoa taarifa kwa ndugu kwa sababu wangejua kuwa amelipiza kisasi kutokana na mambo aliyokuwa akifanyiwa na Naomi.

"Mke wangu alikuwa na mwanaume mmoja hivi ndiye aliyesababisha sisi kugombana, kwa sababu ilifikia hatua Naomi ananiambia kuwa huyo mtu wake ndiyo ana fedha kushinda yeye.

"Ugomvi wetu huu familia zetu zilikuwa zinaujua, walijitahidi sana kutusuruhisha, lakini ilishindikana," anadai.

Katika maelezo hayo, inadaiwa kuwa wakati mwili ukiendelea kuungua, mshtakiwa alichukua simu ya mke wake na kuanza kujitumia ujumbe.

"Kwa sasa nimeamua kuokoka na kumrudia Mungu ndiyo maana nimezungumza ukweli bila kupindisha mambo," anadai.

Katika kesi hiyo ya mauaji Na. 4 ya mwaka 2019, mshtakiwa Luwonga ambaye ni Mkazi wa Kigamboni, Dar es Salaam, anadaiwa Mei 15, 2019, akiwa Gezaulole, Kigamboni, alimuua Naomi Marijani.

Pia soma: Anayeshtakiwa kumuua Mkewe adai haogopi Kunyongwa
 
View attachment 2678306

Is he still fit mentally?? Not mad or mentally unstable??
 
NDOA PITA HUKU🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom