Copy and Paste kama ilivyokutwa;
"Moyo wangu unavuja damu kuhusu binti yangu wa kwanza Maria Izidory Petro ambaye alikuwa anasoma Chuo, Institute of Tax Administration kilichoko Dar es Salaam...
Kwa Tanzania naamini kabisa Tunaweza tukapata https://www.jamiiforums.com/threads/wazo-huru-ppps-ya-tanesco-na-wamiliki-wa-nyumba-tanzania-133-2-gigawatts.2265053/']Nishati kwa Bei nafuu bila...
Tabia ya kuwa na hasira,hii ni tabia ambayo baadhi yetu tunayo,inaweza kukuondolea kujiamini wewe binafsi,na unaweza kuwafanya watu wawe mbali na wewe
Tabia ya kuwafikiria wengine vibaya,yani...
Kiukweli kuna sehemu nimesafiri na nimeshangazwa sana na ukosefu wa watu, hasa huko vijijini hakuna vijana kabisa, vimebaki vizee vizee tu visivyo na mbele wala nyuma, na hata mijini, kwenye hii...
Naipongeza serikali ya Tanzania kwa jitihada ilizoonyesha kwenye janga la wafanyabiashara wa kkoo wamejitahidi sana nawapongeza kwa hilo ila baadhi ya vitu haviko sawa:–
Majeruhi wa kkoo hawako...
CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupitia Kituo chake cha Kikanda cha Umahiri katika Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani Zanzibar (ZARTSA) kimetoa...
Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji.
Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya...
Mama mwenye watoto tisa, Bi.Honga Shija (45) mkazi wa Kijiji cha Majengo Kata ya Upendo Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake kwa kupigwa na watu wanne, mume...
Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa.
Ushuru tunaolipa getini na...
Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea.
Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajeti ni...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Desemba 19, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa...
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana...
Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia.
Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?.
Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa...
Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.
Hii ni changamoto kwa utumishi...
Habari wanaJF, wajuvi wa mkoa wa Mtwara, samahani, ningependa kufahamu kodi za fremu Mtwara, haswa kwa biashara ya nguo za kiume au kike, ningependa kujua kwa yale maeneo yenye mzunguko mkubwa...
Rais naskia ametangaza majengo yote ya eneo la Kariakoo yafanyiwe uhakiki. Japo sijaithibitisha hii habari niliisikia tu juu juu kwenye mitandao.
Uhakiki wa majengo ni jambo zuri mno kwasababu...
Hii taarifa imeniumiza sana jamani kwa ukatili huu ambao baadhi ya watu wanaendelea kuufanya kwa watoto.
Yani kisa 200 unathibutu kumchoma moto mtoto. Au wanabifu na mama wa mtoto huyo...
Wakuu
Baba Levo anaiota Times Square huku!
Mtangazaji wa Wasafi Media, Baba Levo, ametoa maoni yake kuhusu majengo ya eneo maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, akisema kuwa hayafai kuwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.