Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wananchi wametakiwa kuheshimu mipaka ya ardhi iliyopimwa na kutambuliwa kitaalamu, ambayo ni hatua muhimu katika kuzuia na kumaliza migogoro ya mipaka kati ya vijiji na maeneo mengine nchini...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Habari za ijumaa! Leo sina mambo mengi. Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu...
19 Reactions
57 Replies
563 Views
Kwanini hawa wadudutu wamekuwa wakali kiasi hiki. Mbona ni kidonda kinachweza kutibika,kwanini isipatikane mbinu ya kuzuia nzi na kukiweka dawa kwa lengo la kukausha then ngozi iwe salama...
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Habari kwako wewe Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa. Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara...
16 Reactions
76 Replies
1K Views
EP01 Habari za wakati huu ? sitamani kuelezea sana maisha yangu ya nyuma Nataka nijikite kuelezea mkasa huu moja kwa moja Nina miaka 27 hivi navyoandika uzi huu nimetokea katika familia ya...
23 Reactions
129 Replies
7K Views
Tumesha chapisha vipeperushi vyakutosha, lengo ni kuwafikia watanganyika wote waishio hapa. Tutashiriki maandamano ya amani ya kumdai Humphrey Polepole siku ya uzinduzi wa AFCON.
2 Reactions
8 Replies
127 Views
Shule ya St. Marks, Dodoma, inakabiliwa na changamoto ya Kunguni katika mabweni, huku uongozi wa shule ukidaiwa kushindwa kuchukua hatua za kukabiliana na tatizo hilo. Licha ya hali hiyo...
1 Reactions
0 Replies
123 Views
Wanabodi, Rais Magufuli ametetea dhana ya wake wengi kwenye msiba wa Masaburi, kama ilivyoripotiwa hapa, Naanza na swali, "Baada ya rais Magufuli, kutetea hoja ya wake wengi, jee kuna ubaya...
11 Reactions
49 Replies
12K Views
Mwaka ulipoanza nilisema niweke akiba siku ya kwanza nikaweka nilipokoswa bando nikatumia akiba. Nilisema sitokuwa na matumizi ya ovyo ila nilipokutana na marafiki nikajiona tajiri. Nikawaza...
1 Reactions
10 Replies
97 Views
Mkufunzi wa masuala ya kodi kutoka Chuo cha Usimamizi wa Kodi (ITA), CPA Mary Ruhara, ameibuka mshindi wa Shindano la Insha la Wanawake katika Kodi Afrika, lililoandaliwa na Jukwaa la Usimamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Nayeye hajasikitishwa wala kuguswa na kifo cha ubavu wa mama yetu kipenzi au nini tatizo?
5 Reactions
20 Replies
266 Views
Mkuu mpya wa mkoa wa mwanza unaenda kuua biashara za machungwa na matunda mengine kwa kukataa matunda yasiuzwe barabarañi yauziwe sokoni tu,hivi unajua huko mabarabarani ndio kwenye wateja?,yaani...
0 Reactions
3 Replies
85 Views
Mkitaka kutomeza hii michezo ya maandamano isijirudie kuwa ni michezo: ACHENI KUTENGA FUNGU LA POSHO kwa ajiri ya vikosi n.k Waacheni wafanye kazi yao kama sehemu yao ya kazi au majukumu ya...
1 Reactions
1 Replies
85 Views
Watanzania wa asili – Hawa ni watu wa makabila ya kienyeji ya Tanzania kama Wanyamwezi, Wazaramo, Wasukuma, Wachaga, Wahaya, n.k. Hili suala halina chembe yoyote ya kikabila maana ni uhalisia...
10 Reactions
64 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache...
7 Reactions
15 Replies
469 Views
Ubinafsi sio kuwa mchoyo tu, hata ile hali ya kutanguliza sana watu mnaofanana kabila kuna element za ubinafsi WASUKUMA - Sehemu unayoweza kwenda hata ukiwa mgeni na ukapewa ushirikiano kwenye...
21 Reactions
105 Replies
3K Views
Nimeona hiki kitu leo nikizungumzie kwa sababu kinaniumiza sana. Mimi sehemu ninayo ishi kuna mabinti watano wame panga chumba kimoja, hawa mabinti umri wao ni kuanzia miaka 19 mpaka 25. Kilicho...
2 Reactions
7 Replies
249 Views
Sina mengi ya kusema. Nikidurusu namna wafuasi wa bwana moody wapendavyo chini kiasi cha kuhalalisha ukahaba, nashindwa kutofautisha dhana mbili yaani kaaba na ukahaba kwa sababu ni kama...
0 Reactions
1 Replies
80 Views
Utafiti wa Cambridge umebaini jinsi ubongo unavyokua kutoka utotoni hadi uzeeni, ukiorodhesha “hatua” tano tofauti za ukuaji na mabadiliko manne makubwa katika umri wa miaka ya 9, 32, 66 na 83...
0 Reactions
2 Replies
274 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…