Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), leo Desemba 10, 2024 kinaungana na wadau kuadhimisha siku ya Haki za Binadamu Duniani, ambapo maadhimisho hayo yanaenda sambamba na mjadala unaoangazia...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Wakati Shule zikiwa zinafungwa kwa kumaliza mwaka wa masomo lakini kuna baadhi ya Shule za msingi zinaratibu utaratibu wa Wanafunzi kutokwenda likizo badala yake wanashinikiza kuendelea na masomo...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Mawasilino na binamu Mimi....Hongereni binamu kwa uchaguzi huko nyumbani. Binamu....Asante ndugu yangu ,nilikuambia hatuwezi kukubali kutangaza mpizani hata kama ameshinda. Binamu....Zengwe...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Najua ni mtendaji mzuri haswa, naamini Bado tunahitaji huduma yake, Toka ateuliwa kuanzia kuwa mwenezi hadi mkuu wa mkoa wa Arusha nimekuwa nikimfatilia. Inaonekana RC Makonda ana kidonda na...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Watendaji wa serikali mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia miongozo ya matumizi ya fedha za umma ili kufanikisha mipango ya serikali inayolenga kuimarisha utoaji wa huduma bora kwa wananchi. Wito...
1 Reactions
0 Replies
311 Views
Historia ya ukristo kwa ufupi Kuna injili zaidi ya 20, zimewekwa nne kwenye biblia - maono Roman Catholic. - Baada ya Yesu kufa na Kufukuka (according to matendo ya mitume) ★ Early Community...
10 Reactions
154 Replies
5K Views
Kanisa letu la kilokole, lililopo Mafinga, limefanikiwa kutoa kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa msikiti. Hatua hii inalenga kuwaepusha Waislamu na adha ya kusafiri umbali mrefu kwa ajili ya ibada...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi! Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion. Kushoto...
13 Reactions
47 Replies
4K Views
Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru. Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya...
73 Reactions
241 Replies
26K Views
Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa...
14 Reactions
91 Replies
8K Views
Mara kadhaa hukutana na Ma-ustaadhi wakiwa na visanduku au mifuko wakiomba Sadaka/Swadaka kwa ajili ya misikiti (Sio michango) Hapo Huwa najiuliza huu ni utaratibu mzuri kweli? Maana waumini...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Habari zenu wakuu ? Niko hapa najaza fomu ya kuomba Passport online. Nimefika hii hatua natakiwa nijaze dhumuni la safari na maelekezo yanasema ni lazima kujaza. Sina safari yoyote bali nahitaji...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Hivi kwanini PSSSF hawana ofisi wilayani maana kuna watu wanasafiri umbali mrefu kufuata huduma mkoani kwa nn wasiweke mwakilishi hata mmoja wilayani
1 Reactions
0 Replies
237 Views
Bendera yenye nembo ya TRA na picha ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa na ujumbe wa kodi wa “TUWAJIBIKE kulipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya Taifa...
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Ujenzi wa Kituo cha Afya Ugalla, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kimeshindwa kukamilika licha ya fedha Shilingi 500 kutolewa miaka mitatu iliyopita kutoka Serikalini. Kushindwa kukamilika kwa...
3 Reactions
10 Replies
688 Views
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Chemba ya Biashara...
1 Reactions
2 Replies
438 Views
Mimi ni mkristo tangu nimeingia /kuzaliwa nasherehekea kitu nisichojua maana yake zaidi yakufuata mkumbo tu basi naomba anaefahama kuchimbua agano la kale kabla ya kristo kuzaliwa ilikuaje na...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Leo tunahitimisha Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kipindi muhimu kilichotumika kupaza sauti dhidi ya ukatili unaowaathiri mamilioni ya watu duniani, hususan wanawake na...
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
WanaJamiiForums, habarini! Vilio vya ugumu wa maisha vimezidi kushika kasi siku baada ya siku. Zaidi vilio hivi vinatoka kwenye kundi hili la hawa vijana wa 2000 kuja juu. Ukizingatia ndilo kundi...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom