Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau. Kuna mdau yeyote anafahamu hili eneo. Je panafaa kuweka makazi yaani kujenga na kuishi? Nategemea majibu kutoka kwenu.
4 Reactions
68 Replies
6K Views
Habari wananjamvi, Sidhan wnavijana waliosoma wanafurahia kuona haya. YAAN KUNA wakati unawaza inasoma ili iwe nn? Unapambana kuwa mwanasiasa ili uwe nani Na hii n kutokana na muendelezo...
0 Reactions
1 Replies
422 Views
Kuna biashara nyingi ambazo unaweza kufanya mtandaoni ambazo zinaweza kukuingizia kipato. Hapa ni baadhi ya biashara tano ambazo unaweza kuzingatia: 1. Uandishi wa Maudhui (Content Writing) na...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari yenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanini yesu alipokuwa anaombea watu wenye mapepo alikua anayotoa hayo mapepo kwa watu na kuyaelekeza kwa nguruwe, naomba msaada mnieleweshe...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jana wakati natoka kazini, nilipata wasaa wa kupitia maeneo yangu ya kujidai TABATA. Kwa bahati nilikutana na kijana mmoja ambaye nilimfahamu kupitia kazi zetu hizi. Kwa bahati mbaya sana...
6 Reactions
64 Replies
11K Views
Naona kama Serikali imechelewa sana kufuta hii gharama inayozidi kumuongezea machungu mgonjwa pindi anapoamua kwenda kutafuta tiba hospitali. Ni kijambo kidogo lakini huwezi jua pengine kimewahi...
27 Reactions
162 Replies
12K Views
Huu Uzi ndio unahitimisha Mjadala wa Amani Kambayao kwa kumaliza mashaka kwamba alikuwa Mtumishi wa TRA ama la Wakati wa kutoa Heshima za Mwisho mbele ya waombolezaji walioongozwa na Mkuu wa mkoa...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Mkuu wa Idara ya Mkakati wa TEHAMA na Uhandisi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC Cleopatra Mukangara (kushoto), akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Ukaguzi na Udhibiti wa...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Anonymous
Habari gani wanaJamiiForums? Mimi ni mdau wa jamvi la JamiiForums nikitokea Kilwa Kivinje Mkoa wa Lindi. Nina mambo mawili ninataka kuyafichua kwa leo. Moja, ni kuhusu walimu wa kiume wa shule...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
https://www.facebook.com/reel/258387627366433
1 Reactions
1 Replies
426 Views
Kwanini ni muhimu mitaala yetu ya elimu inatakiwa kujikita zaidi kuhusu applications na si kukariri mambo chukua mfano huu👉 Tafuta aluminium foil/tin foil, kwa lugha nyepesi foil yoyote Ile mfano...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Kwa masikitiko makubwa, nawajulisha kwamba ndugu yetu Emmanuel Majura amefariki dunia. Imma alikua mwanafunzi wa mwaka wa pili, akisomea uongozaji wa Filamu Taasisi ya sanaa Bagamoyo (TASUBA)...
39 Reactions
92 Replies
6K Views
Habari zenu waungwana, Leo nipo hapa kwa ajili ya maswali ambayo yanahusu mambo ya bahari tu. Mimi ni nahodha wa majahazi ya mizigo Mafia, Kisiju, Kilwa, Nyamisati na Koma. Uliza swali...
57 Reactions
671 Replies
118K Views
Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni...
6 Reactions
6 Replies
628 Views
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani?? Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel. Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao...
21 Reactions
177 Replies
6K Views
Dunia imewahi kushuhudia mradi mmoja wa "hovyo" sana uliokuwa unaitwa "YAS Project",ambao ulikuwa na malengo maalum ya kuwasaidia LGBTQ maarufu hapa kwetu kama "mashoga" wasio na makazi! Kwa...
32 Reactions
117 Replies
12K Views
Kumeibuka wimbi la michezo ya kamali katika vyombo vya habri hapa Tz mfano BUTUA PESA (REDIO FREE & KISS FM) MCHONGO PESA (CLOUDS MEDIA GROUP) CHEZA PESA (BONGO FM) katika vyombo hivyo vya habri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wabunge wanne kati ya 17 waliolazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wameruhusiwa baada ya afya zao kuimarika, huku wengine wakiendelea na matibabu. Majeruhi hao walipata ajali juzi eneo...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwakweli mnachokifanya sio sawa, mnaingilia faragha zetu kwa kutuwekea CCTV camera kwenye vyoo vya kiume vya 'public' vilivyopo kwenye jengo la wodi ya wagonjwa wa...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Back
Top Bottom