Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka.
Tatizo linakuja kwamba Kila mwaka Ng'ombe hupigwa na Radi huko Sumbawanga,mbona Mikoa mingine Ina wafugaji wengi lakini hatusikii matukio ya hivi?
NG'OMBE...
Habari wakuu,
Kuna hii application ya Wizara ya Ardhi inayoitwa ardhi kiganjani kuna aliefanikiwa kufungua account maana inasumbua sana sijui tatizo nini nataka nifanye maombi ya hati.
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amekutana na wana-jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza (Diaspora) katika mji wa London baada ya kuwasili Disemba 08, 2024 na kujadiliana mambo...
Nchini Uingereza, Police and Crime Commissioners (PCCs) huchaguliwa moja kwa moja na wananchi ili kuwawajibisha vikosi vya polisi. Mchakato wa kuteua PCCs ni kama ifuatavyo:
Uchaguzi
PCCs...
Picha: Ubungo Manispaa
Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya.
Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za...
Mimi binafsi ningemshauri, aifanye polisi isimame kama chombo huru kinachofanya mambo yake kwa mujibu wa kanuni ambazo zipo, na kisiwe chombo ambacho kinapokea maagizo kutoka taasisi zingine za...
Kwema Wakuu!
Nimeanza kufuatilia JF tangu 2010 hivyo mpaka sasa ni miaka 12. Hivyo ninauzoefu WA kutosha na mambo ya humu ndani. Ingawaje kipindi kile yaani 2010-2013 nikiwa sekondari nilikuwa...
Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu )
Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama...
Cc: TRA Tanzania, Dr. Mwigulu Nchemba
Kuchaji kodi ya Dungu 15M na magari 50 000 tu yakaingia kwa mwaka inapata Shs 750,000,000,000// bilioni 750 tu
Wakati kama itapunguza kodi na kuwa shs...
Mara kadhaa nimefika Kituo cha Polisi Kawe kwa ajili masuala mbalimbali lakini nasikitika kusema kwamba watu ambao tunafika kituoni hapo tunakumbana na changamoto ya huduma choo ambayo sio rafiki...
Wakuu kheri kwenu nyote.
Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable).
Vijana hawa haijarishi...
Nianze tu kwa kumuomba yyte mwenye uwezo wa kumfikishia Rais Samia hili na amfikishie.
Hali ya Muhimbili inasikitisha. Na mkono wake wahitajika.
Rais Samia chochote atachofanyia Muhimbili...
Habari zenu?
Natumaini wote mko salama.
Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza...
Habari zenu wanajamvi,
Leo nimekuja na suala hili la matumizi sahihi ya vipaza sauti nikiwa naomba mawazo yenu na hoja zenu kuhusiana na hili.
Makanisani, Mikutanoni, kwenye sherehe mbalimbali...
Hi great thinkers,
Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach...
Hivi karibuni kumekua na mijadala mingi ya kuhusu hii mikopo ya mitandaoni na wahanga wakizidi kuongezeka licha ya unyanyasaji na udhalilishaji unaofanywa na watoa huduma ambao hivi karibuni BOT...
Wazee wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania wametoa wito kuwa kuna umuhimu wa Jamii kujihusisha na Sala ili kuwa karibu na Mwenyezi Mungu na kuwa hali hiyo inasaidia kuwafanya kutokuwa na...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonya juu ya ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji, akiwataka wakristo kote nchini kufunga...
SEHEMU YA KWANZA
Mwaka 2012, siku ya mahafali yetu ya kidato cha sita, nilipatwa na tukio lililobadili mwelekeo wa maisha yangu.
Ilikuwa ni siku ya shamrashamra zisizo na kifani, tulipendeza sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.