Habari za muda huu walipa kodi wa wakati wote !
Naomba kutoa wazo moja tu. Hivi hii nchi hatuwezi kuwavutia wawekezaji katika nchi yetu hususani maeneo ya Majiji mfano; Mwanza, Arusha, Dar es...
Hii shule ya Safi (Safi School) iliyopo makabe imekua shule ya hovyo sana kwa sasa kwenye utoaji huduma. Kwanza nikiri kilichonisukuma kuleta huu uzi ni upuuzi wao waliotufanyia wazazi hii January...
Wakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.
Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio...
Hellow Afrika!!
Afrika na wanae wanapitishwa tena katika moto Ili kuwasaidia kurudi kuijenga Africa Yao tena,
Ni kama tu tai, akitaka kumfunza kifaranga chake kuruka, huondoa nyasi Ili miiba...
Kuna mada nilikuta wakilalamika kuhusu Elon musk post zake.Ingekuwa maskini au Godluck mchoma gari tungesema kachanganyikiwa sababu hana kuona mbele.
Mfano Elon Musk huyu jamaa anaweza kueleza...
Wastaafu kote nchini tumeshtushwa sana na tangazo la ongezeko ya pensheni kwa asilimia 2% kuanzia 2025 lililotangazwa na Waziri Kikwete (jnr).
Itakumbukwa kwamba ongezeko hili kiduchu kwa rekodi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe...
Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila...
bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani?
Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo...
Matokeo yake unaunganisha nchi ambazo hazina "things in common" au zenye conflicts kabisa. moja ya kirusi kikubwa kwenye huu umoja ni Rwanda. Rwanda hakutakiwa kabisa kuingia kwenye huu muungano...
Maisha yana Vipindi mbali mbali ambavyo mara chache vinajirudia na hata vikijirudia ni kwa sura na lengo jingine.
Unaweza kurudi kwenye shule yako ya msingi ila sio tena kama mwanafunzi bali...
Ndugu zangu Watanzania hususan abiria mnao abiri hayo mabasi, jitahidini sana kuwakemea madereva wajinga kama huyo hapo kwenye video.
Eneo la makazi kama hilo ni wazi mwendo kasi ni chini ya 50...
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania kuhusu matatizo yanayojitokeza katika mfumo wenu wa maombi ya mikopo tangu zoezi la maombi lilipofunguliwa tarehe...
Miaka 150 Kuanzia Sasa
Miaka 150 kuanzia sasa, hakuna hata mmoja wetu anayesoma ujumbe huu leo atakayekuwa hai. Asilimia 70 hadi 100 ya mambo tunayoyapigania sasa yatakuwa yamesahaulika kabisa...
Salaam wana jukwaa.
Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH.
Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki...
Mwanaume akitaka kumshusha thamani mwenzake atamuita jina la mwanamke, viungo vya mwanamke au kumpa sifa au hulka za wanawake kama namna ya kumuaibisha, kumtusi au kuonyesha udhaifu wake.
Naona...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia changamoto ya mfumo wa HESLB kwa waombaji wa Stashahada (Diploma) wanaotarajiwa kudahiliwa Machi 2025 (March Intake), ufafanuzi umetolewa na...
Wanajamvi nimefatilia tangazo la kamanda Muliro limenipa maswali kidogo kuhusu kufungwa kwa barabara kwa ajili ya mkutano wa SUMMIT. Je, ni sawa maana mm naona kana kwamba inapunguza fursa za...
Kwa hali hayo tumeshindwa kusaini malipo hayo na kupelekea kuexpire baada ya muda fulani na kushindwa kupata pesa hizo hivyo tunaomba mamlaka kufuatilia ikiwezekana kuturudishia app tuliyokua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.