Kweli hakuna aijuwaye kesho yake.
Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa .
Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Nimeondoka hivyo ubakie salama.
Nitamiss, raha na karaha zako.
Till we...
Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara.
Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake .
Na anadai...
Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea.
Kuna siku Lema alisema...
Wavuvi 540 waliokuwaa wanafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Rukwa wameokolewa na Wavuvi 10 wanaendelea kutafutwa kufuatia upepo mkali uliotokea mnamo tarehe 23 Januari 2025 katika ziwa Rukwa...
Nimewaza tu kwamba mtu akinunua bidhaa (mfano: smartphone ya 300,000/=) Muuza duka amuulize na Nambari yake ya NIDA ili jina la mnunuzi litokee kwenye receipt ya EFD, "automatically"
Nimewaza tu...
Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es...
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.
Mie nahisi kuna jambo nyuma ya...
Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya...
Nawapa test kama ile test nabii Eliya aliyowapa manabii wa mungu wa uongo Baali. Waiteni kwenye makusanyiko yenu amputees( watu waliopoteza mikono au miguu) muwaombee warudishiwe viungo vyao. Si...
Licha ya Biblia kuonesha wazi umuhimu wa huduma ya unabii bado huduma hii inapitia changamoto kubwa za ndani kuliko nje. Kutokana na uchunguzi nilioufanya katika makanisa matano ya kiroho katika...
Kila siku kualika watu waje kwenye makutaniko yenu ili wapate miujiza ya uponyaji. Slogan zenu za WAGONJWA WATAOMBEWA nataka muonyeshe kama kweli huyo Yesu Kristo anatenda kazi pamoja na ninyi...
Wakuu kuna mtoto wangu kaanza shule mwaka huu, chekechea ada yake ni milioni 1.5 ukijumlisha na vikorokoro vingine inaweza fika jumla milioni 1.7
Sio muumini sana wa hizi shule, ila mama yake...
Wasalaam.
Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa...
Huwa naandika kila cent nitakayoitumia. Mpaka sasa tangu tar 1, nimetumia Tsh 1,191,200. Kwenye personal issue. Sadaka inahusisha ndugu jamaa na marafiki.
Kuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi...
N:B: shule za kata nyingi bado zina changamoto kibao, ukiwa na uwezo peleka mtoto shule nzuri umpunguzie changamoto zinazoingilia elimu yake.
Mtu aliyesoma kwenye mazingira duni na bado akawa...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, imeshiriki rasmi uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo, tarehe 25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.