Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari...
UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema kuwa hospitali zote za umma na binafsi zinapaswa kuwahudumia wajawazito na wagonjwa wa dharura bila masharti ya malipo ya awali.
Ametoa kauli...
Kuhamasishwa au kuhamasika kupitia wahamasishaji "motivational speakers" au njia nyingine yoyote ile ni kama cheche ya kuwasha moto ndani yako na kitakachokufanya uendeleze moto uliowashwa siyo...
Hii nchi unaweza kudhani watu wamesoma basi wana akili timamu, lakini la hasha!
Kitendo cha hawa watu wa sheria kupiga muziki mkubwa kiasi cha kuondoa utulivu kwa jinsi muziki ulivyo mzito...
Baada ya ile operesheni ya Mhe. Jakaya Kikwete katika hawamu ya nne na kwa kuzingatia ule ushauri uliotolewa na mkuu wa majeshi CDF ,serikali inahitaji kuchukua hatua za haraka sana iwezekanavyo...
Kauli hii imetolewa bungeni na naibu waziri wa afya Bwana Moleli. Amesema serikali imekuwa ikitumia kiasi kikubwa Cha pesa kugharamia wajawazito. Hii imekuja wakati baadhi ya wabunge walipotaka...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akizungumza na uongozi wa Gereza la Wilaya ya Babati mara baada ya kufanya ukaguzi wa utekelezaji wa utumiaji wa Nishati safi ya kupikia...
Niliona bwana mdogo aliandika uzi mmoja kihuni asubuhi baada ya ku report ukatolewa. Narudia mimi siyo fyatu. Ni mmoja ya watu wachache sana wenye akili humu ndani.
Michango yangu mara nyingi...
Wanaotumia yas ( zamani tigo ) wanajua kinachoendelea.
Tunakubali kuwa huwa kuna Changamoto za kiufundi ila tatizo linapozidi siku mbili unakuwa ni aidha upuuzi, uzembe au kwa lugha kali Ujinga!
Kwa uzalendo wa hali ya juu na kuthamini vya kwetu, ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya watu wakichafua mazingira kwa kutupa taka hovyo, hasa kandokando ya mito inayoingiza maji katika Ziwa...
Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye Edigar Mwakabela maarufu kama Sativa ameweka ujumbe unaotoa dokezo kuwa Jeshi la Polisi ndilo lilihusika kumteka wakiwa na lengo la kumuua.
Amesema ujumbe...
Wadau hamjamboni nyote?
Naombeni mtupe Aya tafadhali vinginevyo kaeni kimya
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Je, majini hao watapewa zawadi ya mabikira takriban 70 kama ilivyo kwa...
NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA
Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na...
Hawa ni baadhi tu ya wanaume waliotikisa na kuendelea kutikisa baadhi ya maeneo hapa dunia katika kizazi hiki cha 2000, Ni baadhi tu na nitakuja kushusha nondo zao hivi punde, na kama wewe pia...
Sasa ni rasmi kwamba mkataba wa ununuzi wa umeme (PPA) kati ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Songas umemalizika rasmi jana Oktoba 31, 2024.
Hatua hii inaiweka Songas kwenye njia ya kudai...
Nimeona nitoe taaluma hapa kusaidia jamii
Ukilala usiku hasa hasa kama nyumba haina madirisha ya kuingiza hewa ya kutosha kisha ukaingiza jiko la mkaa kinachotokea ni kwamba hewa ya oxygen iliyopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.