fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Hello Jamii Forum!!!
Nimewaza sana na baada ya kupata fursa hii ninataka kupata mawazo ya wadau wengine. Hivi kweli baada ya miaka 50 ya uhuru na miaka miongo kadhaa ya Univeristy of DAR na wenzake wahandisi wa TZ, wamefanikiwa kuja na hoja moja iliyofanikiwa ya kutaka kila ukitamka jina lake useme Eng. XXXXX, Hata zana ndogo ndogo za kusaidia kazi vijijini hakuna. Wamama wanaponda kokoto kwa mikono, Wahandisi mnakunywa bia hotel kubwa kubwa tu, Je tutafika?
Kila mtu imekuwa ugonjwa, anataka aitwe Mhe, Profesa, Daktari hata kama ya kupewa na mchango wake kwa umma ni karibia na ziro.
Wahandisi wa TZ komboeni nchi kwa kukomaa kama mlivyokomalia kuitwa Eng.XXXXX.
Nawasilisha