Nalishangaa Baraza La Madaktari Tanganyika (MCT)

NOKE

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
280
Reaction score
596
Ni mwaka sasa, tangu Baraza La Madaktari Tanganyika (MCT) lianze kusimamia mafunzo ya interns na hatimae kusajiri wataalamu wa lishe hospitalini (Clinical Nutritionist).

Nalishangaa sana kwa kutofanya mambo yafuatayo.

1. Kuanza kwa kusajiri interns badala ya kuanza kwa kutambua na kuwasajiri wataalamu waliohitimu kuanzia mwaka 2023 kurudi nyuma. Hawa interns wanaenda kusimamiwa na kina nani kwenye mafunzo yao huko hospitalini. Maana Tayari Hospital zina Clinical Nutritionist?

2. Kutokufanya Harmonization ya mtaala wa mafunzo ya lishe ngazi ya degree&masters kutoka vyuo vyote badala ya kuegemea UDOM pekee.

Baraza litambue kuwa kwa sasa Kuna vyuo vikuu 5 vinavyotoa Degree & masters za lishe, na vyote ni mali ya serikali, kuna mfanano mkubwa wa contents kwenye eneo la Clinical nutrition.

3. Kutokwenda kujifunza kwa waliofanikisha kabla yetu.

Baraza liende hapo jirani, Kenya. Wenzetu walianzisha Kenya Nutritionist and Dieticians Institute mwaka 2007. Wakati huo kulikuwa na hali kama ya kwetu, vyuo vilikuwa havina core-curricula. Hivyo baraza liliwasajiri wataalamu wote waliohitimu kabla ya kuanzishwa kwake na kisha kufanya Harmonization ya mafunzo ya lishe katika vyuo vyote.

4. Kutokutofautisha Clinical Nutritionist & Dietitian.

Baraza halitambui tofauti ya hizo specializations kama ilivyo Duniani kote.

5. Kuwanyima fursa ya mafunzo ya vitendo (internship) wahitimu wa vyuo vingine tofauti na UDOM.

Vyuo vyote vya lishe vina contents nyingi kwenye eneo la Clinical nutrition na wanafunzi wamekuwa wakifanya fields hospitalini na ata wengine tumeajiriwa hospitalini. Kitendo cha Baraza kuwanyima haki ya kufanya Internship kinanishangaza sana. Uzuri kuna pre intern exam, mtachuja hapo uoga wa nini?

Mwisho: inaonekana wazi Baraza limeruka kwa maksudi hatua za awali za usajiri na usimamizi wa hii kada iliyokuwepo kabla ya mwaka 2023. Nashangaa sana. Ingekuwa heri Serikali ikaliona hili.
 
Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    22.3 KB · Views: 30

Sababu gani wametoa za kuwakatalia hao wa vyuo
vingine wasifanye Interns? Je waliomba wakakataliwa?

Wewe ni mhitimu wa UDOM au hivyo vyuo vingine?
 
Hawajatoa sababu.

Mimi nimehitimu University of Nairobi (UoN) kozi ya BSc. Food, Nutrition & Dietetics. Nimeajiriwa 2023. Nalishangaa baraza la madaktari kwa kutambua hii kozi inayotolewa Kenya kisha kutotambua hii kozi inayotolewa Hapa Tanzania.

Usajiri wa interns umeishaanza na mwisho ni mwezi April, ni chuo kimoja cha Tanzania, ie UDOM ndio kipo kwenye register ya Baraza wakati vyuo vingine hkn mfano. Sua, NM-AIST, Arusha n.k hawavitambui.
Sababu gani wametoa za kuwakatalia hao wa vyuo
vingine wasifanye Interns? Je waliomba wakakataliwa?

Wewe ni mhitimu wa UDOM au hivyo vyuo vingine?

Sababu gani wametoa za kuwakatalia hao wa vyuo
vingine wasifanye Interns? Je waliomba wakakataliwa?

Wewe ni mhitimu wa UDOM au hivyo vyuo vingine?
 
Msajiri wa Baraza La Madaktari aje atupe ufafanuzi. Bila shaka Baraza lake halina Professional Nutritionist, mnaleta mchanganyo sana kwenye vituo vya Interns.

Yaliyotokea kwa Interns first intake ya 2024 hatutaki yajirudie. Wekeni mambo sawa, mnatuchanganya Clinical Nutrition supervisors.
 
Back
Top Bottom