Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi.
Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana...
Wana familia ya Jf,
Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe.
Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari...
Wadau mwaka jana mwanajf Suley2019 alileta habari hapa jf kuhusu mgogoro wa ardhi katika kijiji cha nyambogo wilaya ya rorya iliyopelekea mwili wa marehemu kutozikwa zaidi ya miezi 8.
- Rorya...
Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto?
Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za...
Unapohisi kum miss mtu aliye mbali nawe, ukumbuke mwezi.
Licha ya kuwa umbali wa maelfu ya maili, Lakini uko karibu zaidi kuliko vile unavyofikiria, maana unautazama mwezi huo mmoja Kula usiku...
Wadau wasalaam.Toka nizaliwe sijawahi kulala Police ila tarehe 2 nililala. wadau pale nilivua viatu na nikakaguliwa nikawakuta jamaa wawili wakituhumiwa kuiba ndizi na kuku.
Wadau pale sakafuni...
Wadau,
Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi?
Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie.
Shukrani sana.
Hali imeanza kuwa tete baada ya sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma kuanza kuajiri walimu Kwa kuwafanyia usaili " mchujo".
Wasailiwa waonyesha Hali ya kukata tamaa na kuamua kulala...
Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na...
Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe.
Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kigoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba amewaomba wanawake wa Mkoa wa Kigoma kuendelea kuhamasika na matumizi ya Nishati safi ya kupikia...
KWANI TULIKOSEA WAPI?
Katika kila kona ya mazungumzo, swali hili linaibuka: Kizazi cha zamani kilikosea wapi? Au ni kizazi cha sasa kinachopotea? Wazazi wetu, waliotangulia na kuishi kwa misingi...
Maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Uingereza wameshtakiwa kwa kuwakaribisha wanajeshi wapya kutoka Uingereza waliotumwa katika kituo cha kijeshi cha Nanyuki nchini Kenya kwa kuwalazimisha kufanya...
Helloow!!Ladies and gentlemens i hope mko poa sio mwandishi mzuri ila nitaandika hivo hivo cha msingi muelewe Kama kichwa cha habari kinavojieleza
Nilianza unywaji wa pombe toka nikiwa kidato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.