Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
4 Reactions
6 Replies
572 Views
Masikini, vijana hawa ni wafu watarajia kwa sababu ya kuwa wahanga na watumwa wa itikadi za watu binafsi amabao asili yao ushujaa wa kipuuzi. Mtu anasema anaipigania dini, mara anaipigania...
3 Reactions
4 Replies
374 Views
Kati ya miaka 1700 Hadi 1800 watu wengi walikuwa wanatumia picha za kuchora kama sehemu ya kuweka kumbukumbu zao...labda kwa sababu hakukuwa na camera na hata kama zilikuwepo basi ilikuwa adimu...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
📣📣📣📣📣📣📣 Maisha na Mafunzo Muhimu kwa Kila Mtu, Jitathmini. 1. Hakuna atakaye kuja kukuokoa. Simama imara, Kuwa shujaa. 2. Usilazimishe mtu yeyote akuchague. Utajifunza kutumia muda peke yako...
16 Reactions
17 Replies
917 Views
Ivi ni kwanini kazi sikuhizi wanapewa madalali?.Watu kabsa wameanzisha hadi makampini watu m-subscribe ili kupata kazi, kwanini yani ili upate kazi mpaka utoe hela. Eti kazi hii ili kupata Ada...
2 Reactions
1 Replies
163 Views
Mnamo mwaka 2019, Marehemu Rais Magufuli na na Rais wa Namibia, Geingob walikubaliana kuanzisha lugha ya Kiswahili katika shule za Namibia. Mwezi huu, Wizara ya Elimu nchini Namibia ilitangaza...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme...
1 Reactions
5 Replies
996 Views
Anonymous
Malipo ya vibarua Shinyanga mjini TANESCO hawazingatii kiasi inawaumiza sana vibarua kwa kufanya kazi wakiwa na njaa kwa ukosefu wa pesa ni miezi miwili huu wa tatu hawajalipwa wanapitia maisha...
1 Reactions
1 Replies
236 Views
Nimemsomesha kwa shida, shule za gharama, najuta, najuta najuta, Bora angeishia darasa la saba B tu aingie mtaani ajifunze hata ufundi makenika chini ya mwembe. Jumatatu nimeamia nimpeleke Veta...
19 Reactions
70 Replies
3K Views
Katika misimamo ya ki-conservative, majemedali hawa wanataka marekani iwe marekani ya viwango vikubwa bila ya kupoteza asili, utamaduni na chapa yake ya kuwa nchi yenye nguvu zaidi duniani...
1 Reactions
1 Replies
274 Views
Kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa huduma kwenye magari ikiwemo service kubwa na ndogo, matengenezo mbalimbali na huduma za kisasa kama diagnosis na nyinginezo. Moja ya changamoto zinazoonekana ni...
1 Reactions
0 Replies
348 Views
Kwa watumiaji wa njia/barabara ya Dodoma - Singida watakuwa mashahidi wa adha na adhabu wanayokumbana nayo maeneo ya Bahi darajani hasa kipindi hiki, daraja la bahi japo reli ya SGR kipande kile...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka...
22 Reactions
97 Replies
4K Views
Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla. Wale vijana pale ni wasumbufu kupita...
20 Reactions
54 Replies
3K Views
Anonymous
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wakazi wa Kibaha Kongowe kuhusu uchafuzi wa mazingira unaotokana na maji machafu yanayotiririka kutoka katika kiwanda cha Ufresh...
1 Reactions
3 Replies
627 Views
Anonymous
Wamekuwa wakitusaidia kupata vitu kwa bei nafuu lakini pia wamekuja na ubunifu mwingine wa usafirishaji kwa njia inayoitwa CARGO ni nzuri na ya haraka.. Pia wanajitahidi kiuaminifu kwa asilimia...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Anonymous
Nauliza, kwanini vitambulisho vya taifa ( NIDA) vinafutika maandishi? Na mamlaka ya vitambulisho hivyo inachukua hatuagani kuhalikisha kwamba vitambulisho hivyo vinadumu? Vitambulisho vya kura...
0 Reactions
3 Replies
606 Views
Wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha JP Magufuli yakikaribia, ni vyema tukaangazia miradi yake aliyotekeleza na inayoendelea kutekelezwa / kukwamishwa kwa sasa.
12 Reactions
71 Replies
7K Views
Ana shida na milioni mbili akafanye biashara ana uzoefu nazo lakini kuipata hio pesa ni mtihani ana shamba heka kumi amekosa wateja ili apate mtaji. Wazo lake akachukue pikipiki ya mkopo marejesho...
3 Reactions
4 Replies
421 Views
Back
Top Bottom