Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau wasalaam.Toka nizaliwe sijawahi kulala Police ila tarehe 2 nililala. wadau pale nilivua viatu na nikakaguliwa nikawakuta jamaa wawili wakituhumiwa kuiba ndizi na kuku. Wadau pale sakafuni...
13 Reactions
27 Replies
1K Views
Wadau, Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi? Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie. Shukrani sana.
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Hali imeanza kuwa tete baada ya sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma kuanza kuajiri walimu Kwa kuwafanyia usaili " mchujo". Wasailiwa waonyesha Hali ya kukata tamaa na kuamua kulala...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu Salaam, Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na...
78 Reactions
228 Replies
9K Views
Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe. Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kigoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba amewaomba wanawake wa Mkoa wa Kigoma kuendelea kuhamasika na matumizi ya Nishati safi ya kupikia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
KWANI TULIKOSEA WAPI? Katika kila kona ya mazungumzo, swali hili linaibuka: Kizazi cha zamani kilikosea wapi? Au ni kizazi cha sasa kinachopotea? Wazazi wetu, waliotangulia na kuishi kwa misingi...
2 Reactions
2 Replies
232 Views
Maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Uingereza wameshtakiwa kwa kuwakaribisha wanajeshi wapya kutoka Uingereza waliotumwa katika kituo cha kijeshi cha Nanyuki nchini Kenya kwa kuwalazimisha kufanya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Manara: Mimi si socialist, ni mjamaa. Ona anavyochanganya madesa.
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Helloow!!Ladies and gentlemens i hope mko poa sio mwandishi mzuri ila nitaandika hivo hivo cha msingi muelewe Kama kichwa cha habari kinavojieleza Nilianza unywaji wa pombe toka nikiwa kidato...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Nyumba ya familia umeiweka bondi upewe mkopo lakini ukiangalia biashara upepo umebadilika yani hutoboi kwenye marejesho, hizo stress hata unywe pombe hazituliziki Ndugu wanaona una pesa duka...
6 Reactions
11 Replies
631 Views
Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze...
19 Reactions
87 Replies
4K Views
Atakaye waona ampigie simu Mr Mohamed kwa namba hii hapa 0744555574. BREAKING NEWS: Alhamdulillahi Watoto Wamepatikana Wapo Polisi Mama yao ameshakwenda kuwaona wanapelekwa hospitali kupimwa...
4 Reactions
78 Replies
3K Views
Kuna tukio limetokea Kibaha, Kwa Mfipa, familia imevamiwa, wameibiwa vitu ndani ikiwemo na gari, wamechukua na simu za uwakala wamelazimisha wapewe na PIN, wamepewa. Kama haitoshi wamewafunga...
19 Reactions
54 Replies
3K Views
Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakisha kutoa press Release kama vile mwafanyaga kwenye matukio mengine. Zaidi kongole kwa camera man wa...
20 Reactions
150 Replies
7K Views
Norman Finkelstein ni msomi, mwandishi, na mwanaharakati wa Marekani anayejulikana kwa kazi yake inayohusiana na siasa za Mashariki ya Kati, hasa mgogoro wa Israeli na Palestina. Alizaliwa tarehe...
2 Reactions
2 Replies
382 Views
Kuna vijana 3 walikuwa wanafanya kazi kwa mtu leo hii. Ikafika sa 8, tajiri akasema kuna kazi nyingine hapa mkimaliza hiyo kuna laki yenu moja. Wakasema kuna Wananchi wanacheza hatuwezi, mzee...
1 Reactions
11 Replies
580 Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya...
22 Reactions
207 Replies
11K Views
Kwa mfano huyu anaambia watu watembee juani na wanywe maji yenye chumvi bila kutoa sababu zozote za kisayansi kisa tu ni mtu wa mazoezi. Huu ni upotoshaji wa makusudi unaoweza kuleta madhara kwa...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Unaweza kuzungukwa na watu 1000 na katika watu hao asiwepo hata mmoja ambae atakuwa rafiki na mtu wa kweli, tumezungukwa na watu wengi na wapo kwenye maisha yetu kwa sababu wanajua kupitia wewe...
3 Reactions
4 Replies
566 Views
Back
Top Bottom