Inapotokea kuna tatatizo ndani ya nchi liwe kesi,biashara na mengine serikali ya kwetu ndio inaonekana kama imefungwa gori nyingi sana kama wanavyo ipenda yanga na simba kila gori milioni 5...
Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala.
Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na...
Wakubwa wenye vitabu vya Biashara na maisha tukutane hapa ili kupata ujuzi wa kuendesha biashara kama unakitabu chako Upload watu wakipate
Naomba kusilisha.
Naomba kutoa kero yangu, mimi ni mkazi wa Buguruni mtaa wa Bint Madenge, mtaani kwetu zimewekwa takataka kwa zaidi ya mwezi mmoja na Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa anashuhudia uchafu huo maana ni...
ZIJUE KANUNI ZA USAFIRISHAJI KWA NJIA YA BAJAJI NA PIKIPIKI, 2010, KAMA ZILIVYOREKEBISHWA MWAKA 2017
Utangulizi
Kama tunavyofahamu, usafirishaji kw anjia ya pikipiki na bajaji unaongozwa na...
Umeshawahi kujiuliza kwenye Sayari ya Mars Anga ya Usiku inaonekanaje?
Nasa imefanikiwa kutoa picha za kustaajabisha kutoka umbali wa maili milioni 250,
zikiweza kuonyesha Anga haijaguswa na...
https://www.youtube.com/watch?v=TLSD0tQq_Es
Moto ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeunguza vibanda vya wafanyabiashara zaidi ya 30 katika soko la mbao Sabasaba Wilaya ya Ilemela mkoani...
Ndio ile unasikia mtu anafanya internship miaka 6 and out of no where anaambiwa na HR "kwa sasa hivi kampuni inapitia msoto wa kifedha kwa hio hatutaweza ku-afford kukuajiri, kwa hio kila la kheri...
Tupo kwenye mazishi ya bilionea Sambeke watu ni wengi na bdo wanazidi kuingia wafanyabiashara wote wa mji wako hapa ni kama shughuli zimesimama umati ni mkubwa.
Habari za mida wana jf
Kipindi nakuwa moshi town pale wenyewe wanapaita mji wa wagumu, kulikuwa na matajiri wanajulikana na kusifika sana.
Walikuwa maarufu sana hadi makanisani.Ukienda kanisani...
Habari wanajukwaa
Wanafunzi wa mwaka wa pili fani ya clinical dentist chuo tajwa wamekosa kufanya mtihani inayotaraji kuanza Jumatano! Sababu ziko katika utawala wa chuo na hazieleweki...
Kweli inawezekana hivi vifo ni vya kawaida? Tunaopenda kutafakari kidogo tunaona kuwa si rahisi kuamini hivi hivi tu. Sijamfahamu huyo Nyiti kwa uzuri ila nadhani ni milionea fulani. Mawalla na...
Wadau wa Jamiiforums!
Habari zenu ndugu zangu, leo tujadil mjadala wa aina yake kuhusu masuala ya kanda na tamaduni hapa Tanzania. Kila mtu ana mitazamo yake, na kuna baadhi ya watu wamekuwa...
Habari wana JF
Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake.
Mungu kupitia...
Katika ulimwengu wa roho, Dar es salaam ni jiji ambalo wanaishi binadamu na majini.
Majini ni nini?
In my personal opinion which is based upon my personal understanding of the spiritual world...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imewahukumu kifungo cha maisha jela washtakiwa watano baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya aina za heroini gramu 5,309.57 na...
Timu kutoka SpaceX Crew Dragon imefanikiwa kutiananga kwenye kituo kimoja cha kimataifa cha Anga za Juu (ISS) na kuweka mazingira mazuri ya kuwarejesha wanaanga wa NASA ambao wametumia karibu...
"Allah Akbar (Mungu ni mkubwa)
- Kifo kwa Amerika
- Kifo kwa Israeli
- Laana juu ya Mayahudi
Ushindi kwa Uislamu"
Sijui lakini, ila kama huyo allah anakuruhusu ulaani na kufanya maangamizi kwa...
Watanzania wenzangu elites wa Masaki na Oyster Bay, mlikuwa mnapata wapi habari za mzozo wa Middle East wa Israel na Palestine kabla ya Internet kuingia Tanzania??
Nimeuliza hivyo kwa maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.