Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natafuta fundi professional mwenye uzoefu na uwezo mkubwa katika ushonaji wa suit za kiume, kwa ajili ya kufanya naye kazi kwa muda mrefu. Workshop ipo Mbezi Beach, Dar es Salaam, ikiwa na...
1 Reactions
5 Replies
160 Views
Anonymous
Naandika hoja hii nikiwa mwananchi na Mkazi wa Kijiji cha Nyambili, Tarafa ya Bungu, Wilaya ya Kibiti, Mkoani Pwani kuna kero inayotukabili tangu mwaka 2020 hadi leo bila kupata ufumbuzi wala haki...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Kwanza kabisa nipende kujitambulisha, You can call me King of hearts ♥️ Mimi ni mgeni humu(ila ni wenyeji pia) Nimekuja kugundua, kitu kimoja na nitatoa mfano hai Mtu hujua yeye ni nani, sio kwa...
12 Reactions
49 Replies
521 Views
  • Redirect
🐖 NGURUWE BORA • VITOTO BORA • UFUGAJI BORA Elimika na Agro Mifugo 🌱🐖 @ Chagua vitoto bora — anza na nguruwe wenye afya, nguvu na sifa nzuri za ukuaji. Lishe bora $ Panga gharama — kabla ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kama sijawahi kuomba kuletwa duniani, kuna haki gani ya kimantiki ya kunihukumu na adhabu ya moto wa milele? Ujumbe wa Mada: Kuja duniani haikuwa ombi, mkataba, wala uchaguzi wako wa aina...
4 Reactions
47 Replies
529 Views
Madai kuhusu kuuawa kwa kupigwa risasi kwa wachimbaji wadogo wawili wasio na leseni katika mgodi wa dhahabu wa North Mara Tanzania, wanaotajwa kwa majina ya ZZZ na ZZY, ndiyo kiini cha kesi...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi va Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akifanya mahojiano maalum na TBC katika kipindi cha 'Jambo Tanzania kuhusu Mkutano wa 12 wa Nchi...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
Nakushukuru mwenyezi mungu mwingi wa Rehman mwenye kurehemu. Nawashukiru wazazi wangu kwa kuwa sababu ya mimi kuwa hapa leo hii. My short diary.
4 Reactions
61 Replies
446 Views
Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya! Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!. Narudia tena "Kiranga anazo asilimia...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama. Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa...
6 Reactions
24 Replies
356 Views
Ukweli mchungu ila tutafute chanzo cha haya yote. Utawala wa JPM kulipitishwa sheria mbovu kupita kiasi hata huko ulipo pole pole,nchimbu,ndungai,tulia na CCM zina watafuna wenyewe. Hii ya...
4 Reactions
15 Replies
150 Views
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa...
138 Reactions
495 Replies
114K Views
Elizabeth Milaho, Mratibu wa program kutoka Akili Tulivu Initiatives amekuwa miongoni mwa vijana wa kitanzania waliopata fursa ya kutoa wasilisho kuhusu masuala ya changamoto ya afya ya akili...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
SIFA YA MZALIWA WA KWANZA; MWANAUME ANAWEZA KUWA NA WAZALIWA WAKWANZA HATA ISHIRINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sifa namba moja ya mzaliwa wa kwanza ni kuwa wakwanza kwa Mama aliyemzaa...
2 Reactions
2 Replies
186 Views
Kuwa tetea wapalestina ni ngumu sana. Nashangaa wale mnaona wa palestina wanaonewa ila waungwana wanasema ukitaka kujua tatizo likaribishe sio kulisikia. Mifano mikubwa ni: Jordan (1970–71)...
0 Reactions
3 Replies
87 Views
Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa 1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa...
1 Reactions
3 Replies
83 Views
UKIWAZA DUNIA IMEKOSEWA AU HAIJAKAMILIKA UJUE TAYARI UMEYABANANGA. DUNIA IKO PERFECT ASILIMIA MIA MOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ukishasikia mtu anakuambia dunia hii haijakamilika...
5 Reactions
46 Replies
345 Views
Anonymous
Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati. Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna wanaume unakuta wananepa nyuma ya shingo tu, wanakuwa na nundu kama ya ng'ombe au ngamia.
1 Reactions
4 Replies
99 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…