Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uku kwetu sheria inayofatiliwa sana ya kijambio chako ni mali ya serikali hayo mengine hata katiba ni takataka. Wanawake na watoto kwa wenzetu sheria ni kali sana,mtoto wa kumzaa mwenyewe anaweza...
2 Reactions
14 Replies
206 Views
HUU HAPA MWONGOZO WA TOFAUTI ILIYOPO KATI YA SOUNDBAR, SUBWOOFER, HOME THEATER NA HiFi Baada ya post yangu ya Soundbar kusambaa sana, inbox imefurika maswali! Watu wengi wanakwenda dukani kununua...
10 Reactions
18 Replies
662 Views
“Change is the end result of all true learning.” — Leo Buscaglia
3 Reactions
9 Replies
151 Views
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Katibu Mkuu wa IPU, Mhe. Balozi Anda Filip wakisalimiana na viongozi mbalimbali wa Kamati Tendaji ya IPU kabla ya kuanza kwa kikao...
1 Reactions
3 Replies
93 Views
#.Ukikubali kila kitu unaitwa mpole. #.Ukikubali kutumwa kila saa unaitwa mnyenyekevu. #.Ukikubali kulipwa kidogo unaitwa mvumilivu. Kumbe wanakufurahia na kukuita majina mazuri kwa sababu huna...
11 Reactions
10 Replies
159 Views
Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake.
2 Reactions
9 Replies
179 Views
Mi ni mgeni umu JF.... Naomba niwe rafiki yako hapa naongea nawew.... wewe apo umaesoma asaiv.... Tunaweza kua marafiki hapa online au hata offline. Unaweza ukanichek...
3 Reactions
22 Replies
116 Views
Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router. Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Baadhi ya Wabunge na Wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU, wameeleza kufurahishwa na mapokezi wakati wakiingia nchini kushiriki mkutano huo wa 153 unaotarajiwa kuanza Oktoba 5-9...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Mkurugenzi wa Vodacom Business wa Vodacom Tanzania PLC, Nguvu Kamando (kushoto), akikabidhi tuzo kwa mshindi wa kwanza wa mashindano ya Vodacom Coastal Classic upande wa wanawake, Mary Aleper...
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Kuna kitu kinaboa kidogo kwenye professional networking. Unakutana na mtu summit, conference au event ya kitaaluma, anakuomba Instagram au LinkedIn ili muwe professional connections. Unafungua...
2 Reactions
3 Replies
54 Views
Mimi siungi mkono tabia za hovyo za baadhi ya watoto wetu maarufu kwa jina la GenZ. Hiki ni kizazi cha vijana wadogo wenye amsha amsha sio kitoto. Ila wamekuwa wakilaumiwa kuwa na tabia mbaya kana...
2 Reactions
6 Replies
74 Views
Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada...
1 Reactions
5 Replies
88 Views
Inasemekana Meya Wa Jiji La Dar Es Salaam Mh Jumaaa Amepasuliwa Na Jiwe Kichwani Baada Ya Kuingilia Ugomvi Kati Ya Mgambo Wa Manispaa Na Wamachinga Kasheshe Hiyo Ilianza Pale Askari Hao...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Niliona tangazo la Konyagi wakizungumzia jinsi ya kutambua feki. Walikuwa wanamwita huyu jamaa mzaramo? Kisa nini kumuita hivyo?
1 Reactions
2 Replies
72 Views
Naona viongozi wa serikali wamejikita katika kuchangia na kusaidia ujenzi wa makanisa na misikiti na kuimarisha miradi ya hizi dini mbili tu huku wakisahau dini nyingine. Ni vyema viongozi...
3 Reactions
6 Replies
95 Views
Hii story ya Nuhu inayopatikana katika dini zote kubwa mbili inafikrisha sana, ni kisa ambacho kimekuwa na maswali mengi sana, mojawapo ni ya chakula kwa wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu...
10 Reactions
56 Replies
2K Views
Mods mliopo doria endeleeni kupoteza nyuzi zangu.Sijui mnaajenda gani huu mtandao wenu mada mnazotaka ZITREND ni mada za ngonongono na upuuziupuzi kama UMBEA na stori za mpira. Back to the topic...
6 Reactions
21 Replies
210 Views
Mfano angalia hiyo video hapo chini. Huyo mdada wa Kiislamu, Vatican inaruhusu watu wa aina zote kufanya ziara za kitalii ndani ya Saint Peter's Square. Sasa huyo mdada akachukua na ka prayer mat...
4 Reactions
40 Replies
456 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…