Kamati Tendaji ya IPU Yakutana Kujiandaa

Kamati Tendaji ya IPU Yakutana Kujiandaa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,038
Reaction score
838
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Katibu Mkuu wa IPU, Mhe. Balozi Anda Filip wakisalimiana na viongozi mbalimbali wa Kamati Tendaji ya IPU kabla ya kuanza kwa kikao chake leo Oktoba 03, 2026.

Kikao hicho cha Kamati Tendaji ya IPU ni maalum kuelekea kuanza kwa Mkutano wa 153 wa IPU kesho Oktoba 04, 2026 ambapo itawakutanisha washiriki 2,000 kutoka nchi wanachama 183 wa IPU wakiwemo Maspika, Makatibu, Wabunge na Maafisa mbalimbali.

 
Questions about October 29? Loading......
 
Nchi yetu Tz kwa miaka mingi ilikuwa na heshima kubwa duniani na mataifa mbalimbali yaliifanya kuwa makutano yake ila tumeanza kuiharibu and soon tutapoteza kabisa heshima hiyo, God bless us Tzs.
 
Back
Top Bottom