Wazee, mambo mengine muwaachie vijana

Wazee, mambo mengine muwaachie vijana

Guacamole

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
6,130
Reaction score
16,225
Nipo kikazi mkoa fulani na huwa nina kawaida ya kusafiri between towns kutokana na nature ya kazi yangu na ikibidi huwa nalala lodge/guest unapofika usiku au ninapohisi kuchoka/kupumzika.

Sasa leo nimefika lodge fulani, bahati nzuri au mbaya nikakuta bado usafi ukiendelea. Ikanibidi nisubiri usafi uishe ili nipaki vitu vyangu.

Wakati nasubiri, akaja mdada ambae ndie msimamizi wa lodge hii na kuniomba niingie kwenye kile chumba ninachotaka kufikia akidai anataka anionyeshe kitu ili kama nakijua basi nimpe ufafanuzi.

Kitu chenyewe ndio hiki..
20250104_085314.jpg

Nikamuuliza alietoka humu ni mtu mzima au kijana?
Akajibu kwamba anazidi umri wangu na naweza kumuita baba. Kwa umri niko mid 30s.

Nikwamwambia hizi dawa zina matumizi mengi ila sana sana hutumika kutibu maradhi ya tezi dume au matatizo yanayohusiana na tezi dume, kwa mfano ukosefu wa nguvu za kiume (erectile dysfunction). Ila zina madhara makubwa kwa wenye matumizi ya muda mrefu maana hupelekea ongezeko la presha hivyo huweza kusababisha stroke, moyo kutanuka au shambulio la moyo (heart attack).

Duuh! Yule dada alibaki kushangaa tu maana kwa anavyosema ni mteja wake wa muda mrefu, na kila akitia kambi lazima apite na mali 2 hadi 3. And everytime akifanya usafi lazima akute pakiti ya hiyo dawa kwenye droo/dustbin anapoondoka..

Wazee wetu mjiangalie aisee, mambo mengine tuwaachie vijana!
 
View attachment 3191967

huyo dada anaijua vizuri tu ila kuna ujumbe alikua anataka kukupa na bahati mbaya hujamuelewa
 
Kawaida sana nilidhani mkongo🤣
 
Unakutana na mzee au kijana bonge na anakitambi anazifakamia energy asubuhi au kabla ya show halafu hana mazoezi,halafu sio moja anapiga tatu na wengine wanamix na Vant au Nyagi. Yote tu kuikomoa K,wakati rate ya mapigo yao ya moyo ni ndogo, so wanaulazimisha moyo.

Dawa ya haya mambo kula vizuri ( hasa vyakula vyenye zinki),lala vizuri ,kunywa maji mengi then asilimia hamsini inayo baki,fanya mazoezi hata 45dk au lisaa kwa siku 3+ kila wiki.Mbona unakuwa vizuri halafu mapenzi sio kukomoana,kwani huwezi kuikomoa K.
 
Hapana, ngono sio kipaumbele kiasi hiko hadi unadhuru afya yako kisa ule mbususu....

Mzee ni kama ana force, katika huo umri apumzike asije fariki kwa heart attack...

Mimi bado kijana, damu inachemka...
tatizo wazee wa kiume wana libido zimebaki ila potency hawana

nadhani uzee ndo umri sahihi wa PULI.
 
Back
Top Bottom