Ndugu yangu hizi sio stori za vijiweni huenda hata wewe msomaji ukawa uko katika kundi hili lakini hadi sasa mambo bila bila.
Nakaribisha uwanja wa majadiliano hapa wakuu karibuni mwenye mawazo...
Salam,
Tunaendelea katika episode nyingine ya 'MZINDUE AWESO MAJI YAREJEE', na leo tumpe mbinu nyingine ya kujua uhalisia wa kinachotokea mtaani. Yaani hii wiki inaenda kuisha kule Mbezi Beach...
AMA WATENDAJI DAWASA WANAMDHARAU WAZIRI AWESO AU WAZIRI AWESO ANAFANYA USANII KWA WANANCHI!
WADAU poleni na majukumu ya mchana kutwa. Nataka kuzungumzia tatizo la maji maeneo ya Tabata...
Je, Wakatoliki kupitia Kanisa lao Tukuka ( ambalo GENTAMYCINE ni Muumini Wao Mtiifu ) la Katoliki wana Mtambo Maalum wa Kuutajirisha Ubongo wa Mtu anayesoma Kwao kuwa na IQ Kubwa na Maarifa mengi...
Kwenu Wahusika, kwa mara ya pili!
Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya...
Habari .
Nianze kwa kusikitika kwa ukatili unaoendelea kwa wakazi wa Makabe (Makabe secondary)wanaohudumiwa na ofisi ya DAWASA Makongo Juu.
Tuna mwezi sasa maji hatuna na wala hakuna sababu...
Sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali? Maji shida, barabara shida ni kama kuna juhudi za makusudi kabisa tukose huduma hizi.
Pia, soma: √ - Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa...
Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena .
Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha...
Wakazi wa Kisarawe II,
Mtaa wa kichangani kwani tumeikosea nini serikali?
Tumejichanga na kupata kiasi cha fedha ili kutengeneza barabara yetu ya mtaa Ila serikali ni kama haioni vile.
Tumeomba...
Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka...
Kipindupindu ni ugonjwa unaoambukizwa kwa mwanadamu kula kinyeshsi FRESH cha mwanadamu mwenzake. Kipindupindu si tu ugonjwa, ni ugonjwa wa aibu maana umekula "puu" ya mwezio.
Kipindupindu ni...
Habarini,
Ni maajabu na unafiki kwa serikali iliyoko madarakani kujinadi kuwa ni TIIFU kwa wananchi wake wakati inadaiwa na haina mpango wa kuwalipa kwa sasa hasa ukizingatia nchi inaingia kwenye...
Wanabodi,
Soko la hisa ni sehemu nzuri kwa makampuni yanayokua kupata au kuongeza mtaji kutoka kwa wawekezaji mbalimbali. Mpaka sasa, soko la hisa la Dar Es Salaam lina makampuni 28 ambayo yako...
Nawasalimu katika jina pendwa la Bwana wetu Yesu Kristo .
Mfalme wa utukufu.
Nimewaandikia hili kuwakumbusha hila za ibilisi,na njia yake kuu anayoitumia yakugeuza maandiko.
Nakufanya watu...
KIZIMKAZI HEALTH CENTER YAZINDULIWA KUSINI UNGUJA
Pichani ni Muonekano wa Kituo kipya cha Afya Kizimkazi au KIZIMKAZI HEALTH CENTER katika Wilaya ya Kusini Unguja ambacho kimezinduliwa na Rais...
Nimezaliwa mitaa yenye ustaarabu, nikakulia nje ya mji,nikaanza maisha uswazi na kwenye slums,nimewahi kuwa homeless kwa miezi kadhaa hapa nchini na nje ya nchi, nimeishi mikoani vijijini kabisa...
Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari almaarufu kama Bonanza au kodokodo zinazotumia sarafu za 200 kuchezesha.
Wananchi...
Mwanamke mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni Mama wa msanii wa muziki Bongo, Hamisi 'Tajiri Chui' Mwelemi amekataa gari jipya alilopewa na mwanawe huyo, akidai kuwa zawadi hiyo inahusiana na shughuli za...
👉🏾Safari ya kuwa padre ni mchakato wa kiroho na kihistoria unaohitaji kujitolea, imani, na mafunzo ya kina. Kuanzia mwito wa ndani hadi uteuzi rasmi, kila hatua inajumuisha changamoto za kiroho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.