Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwamba, sisi ndio wateja, then wao ndio succesful business owners. Kwamba wanauza "tumaini la kufikirika" huku sisi tunatoa "pesa za kushikika" Kwamba injili ilipaswa kuwa hivi? bodyguards...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu. Dominika njema
8 Reactions
24 Replies
974 Views
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums. Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Bila kujali nani atashinda ama kushindwa na nini kitatokea baada ya uchaguzi, nimeona ukubwa wa CDM katika siasa za Tz. Uchaguzi wa Mwenyekiti CDM Taifa umetawala siasa za Tanzania kwa wiki...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
Tunakukumbusha! ✍️Sisi ni marafiki zako tunaokupenda, lakini ukifilisika kamwe hatutopokea simu yako na hatutopenda kukuona machoni mwetu. ✍️Elewa sisi ni watu wako wa karibu sana, lakini...
2 Reactions
4 Replies
470 Views
📖Mhadhara (76)✍️ Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo. Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba...
3 Reactions
2 Replies
444 Views
Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakati tunaanza chuo mwaka 2002 the guy alikuwa smart mpaka tunamaliza 2005. Nlikuwa naona ni moja ya watu ambao watakuja kufanya makubwa sana nchini. Nimekuja kutana naye mwaka jana...kwanza...
22 Reactions
35 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa...
11 Reactions
77 Replies
4K Views
Wakuu heri ya X-Mass na Mwaka Mpya, Kama ambavyo heading inajieleza yenyewe, Naomba tuelimishane jamani, nimejaribu kuchunguza sana nikagundua kuwa watu wengi (asilimia kubwa) ya watu wenye...
2 Reactions
82 Replies
21K Views
Ndugu yangu hizi sio stori za vijiweni huenda hata wewe msomaji ukawa uko katika kundi hili lakini hadi sasa mambo bila bila. Nakaribisha uwanja wa majadiliano hapa wakuu karibuni mwenye mawazo...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Salam, Tunaendelea katika episode nyingine ya 'MZINDUE AWESO MAJI YAREJEE', na leo tumpe mbinu nyingine ya kujua uhalisia wa kinachotokea mtaani. Yaani hii wiki inaenda kuisha kule Mbezi Beach...
0 Reactions
7 Replies
748 Views
AMA WATENDAJI DAWASA WANAMDHARAU WAZIRI AWESO AU WAZIRI AWESO ANAFANYA USANII KWA WANANCHI! WADAU poleni na majukumu ya mchana kutwa. Nataka kuzungumzia tatizo la maji maeneo ya Tabata...
1 Reactions
1 Replies
343 Views
Je, Wakatoliki kupitia Kanisa lao Tukuka ( ambalo GENTAMYCINE ni Muumini Wao Mtiifu ) la Katoliki wana Mtambo Maalum wa Kuutajirisha Ubongo wa Mtu anayesoma Kwao kuwa na IQ Kubwa na Maarifa mengi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwenu Wahusika, kwa mara ya pili! Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya...
1 Reactions
2 Replies
322 Views
Anonymous
Habari . Nianze kwa kusikitika kwa ukatili unaoendelea kwa wakazi wa Makabe (Makabe secondary)wanaohudumiwa na ofisi ya DAWASA Makongo Juu. Tuna mwezi sasa maji hatuna na wala hakuna sababu...
2 Reactions
2 Replies
439 Views
Anonymous
Sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali? Maji shida, barabara shida ni kama kuna juhudi za makusudi kabisa tukose huduma hizi. Pia, soma: √ - Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa...
1 Reactions
3 Replies
362 Views
Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena . Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakazi wa Kisarawe II, Mtaa wa kichangani kwani tumeikosea nini serikali? Tumejichanga na kupata kiasi cha fedha ili kutengeneza barabara yetu ya mtaa Ila serikali ni kama haioni vile. Tumeomba...
1 Reactions
1 Replies
324 Views
Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom