Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

🚨 Breaking News 😳💔💔 50 Cent says marriage is the worst contract a man can sign — “it’s a bad deal!” 😳 50 Cent recently made it clear that he views marriage as a “bad contract” — and he’s urging...
2 Reactions
7 Replies
151 Views
Watu hawawezi kuamka asubuhi tu na kuanza kushangilia kifo chako, halafu wasio na akili wanasema chuki dhidi ya mtu mwenye pesa bila kuujua ukweli. Watu wakae wakijua hii ishu nzito sana. Wale...
7 Reactions
21 Replies
479 Views
Hawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika...
17 Reactions
97 Replies
4K Views
Mimi siamini Mungu kabisa wala simtaki kwenye maisha yangu, mimi nimezaliwa kama mkatholic nimesoma marangu kama mlutheri,. Katika ukristo bora ulio nipa nafasi ya kusoma nakujua dini...
19 Reactions
117 Replies
1K Views
Kuna slogan moja kama wamejipa CCM kuwa hakiwa raisi muislamu basi maisha yatakuwa kama ya marehemu mzee mwinyi au jakaya. Ila huyu kila anacho shika kinakwenda vibaya sijui kama 2030 tutafika vipi.
0 Reactions
0 Replies
55 Views
HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba, amekiri kuhusika na video inayomwonesha Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu. Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha
8 Reactions
50 Replies
701 Views
Mgomo wa madereva au wamiliki wa vyombo vya usafiri unapotokea, huathiri kwa kiasi kikubwa sana maisha ya wananchi wa kawaida—kama wapo wanaokosa kuhudhuria harusi, misiba ya wazazi, mahojiano ya...
0 Reactions
1 Replies
67 Views
salaam nimeona siyo mara moja kwenye vyombo vyetu vya habari vikimuhoji muhusika kwa video call wakati muhusika akiendesha gari hii ni hatua nzuri sana kiteknolojia kwani unaweza kuhojiwa na kituo...
0 Reactions
1 Replies
47 Views
Kutokana na ufugaji na matunzo mabaya watu wengi hufikiri au wamekuwa na mtazamo kwamba nguruwe ni mnyama mchafu sana ila huo sio ukweli wa kisayansi. Ukweli ni kwamba nguruwe ndiye mnyama msafi...
10 Reactions
13 Replies
188 Views
  • Redirect
Lakini pia inanikumbusha hata hapa nyumbani tuna maprofesa na wasomi wajinga mno ambao hata dogo wa form 2 anawashangaa sana. So sishangai.
0 Reactions
– Replies
– Views
Ukitaka kuunganishiwa umeme, unatakiwa kununua nguzo kwa gharama ya Shilingi 300,000 kwa kila nguzo. Ikiwa utahitaji nguzo zaidi, utalazimika kulipia kila nguzo kulingana na mahitaji. Gharama ya...
2 Reactions
28 Replies
418 Views
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa...
19 Reactions
79 Replies
2K Views
Nasikiliza nyimbo ya DJ yusufu :"maisha mazuri yako mbele kwa mbele". Tumepewa kila kitu afrika lakini tumeishia kuwa maskini
0 Reactions
2 Replies
65 Views
Nimejifunza ni bora ukatatua shida zako kimyakimya kwa kuchukua mikopo kwenye makampuni au benki. Vinginevyo utawachukia binadamu bure, mtu ulikuwa unaishi naye vizuri ukiwa na shida hata kidogo...
7 Reactions
15 Replies
196 Views
Habarini wana JF.Hii phone farming nahisi imeshazungumzwa ila kutokana na umaskini na matatizo ambayo CCM inatupelekea kuwa gizani ndio wao wanatumia pesa zetu kila mwenye wazo la kusaidia CCM...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Kila siku El nino Hizi mvua za El nino ni za kwanza kunyesha Tanzania? Wakuu kuweni serious
1 Reactions
4 Replies
118 Views
Mnamo Januari 8, 2016, wakati wa operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Wanamaji la Mexico ya kumkamata "Cholo" Iván Gastélum—mmoja wa wauwaji wakuu wa Sinaloa Cartel — maafisa wawili wa Polisi...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Habari wakuu Natoa ushauri kuwepo na wakala wa SGR TICKETS kama zilivyo huduma ya Mpesa kila sehemu ya miji ambayo SGR inapita Huyo wakala anapata commission kwa kila ticket atakayokata Treni...
1 Reactions
1 Replies
76 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya...
3 Reactions
12 Replies
238 Views
Back
Top Bottom