Licha ya Waziri Aweso kusema maji yawepo weekends, huku Morogoro hawafanyi hivyo. Mtaa wa Mfuruni kwa mama Milinga tunapewa maji siku Moja kwa wiki ambayo ni ijumaa tu tena masaa mawili au chini...
Wiki mbili zilizopita kulitokea changamoto ya bomba la maji kupasuka maeneo ya Maili Moja – Kibaha, hali hiyo ikasababisha maeneo mengi kukosa maji, tuliporipoti DAWASA – Kibaha kila siku wakawa...
Wananchi wa mkoa wa Mwanza hususani wilaya ya Ilemela na Nyamagana tunapitia katika kipindi kigumu cha upatikanaji wa huduma ya maji licha ya mradi mkubwa wa uzalishaji maji kata ya Butimba...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake...
Nije Moja Kwa Moja kwenye mada. Nahitaji kujua ni maeneo au eneo gani iwe Eilaya/Kata au kijiki/mtaa ambalo hawajafikiwa kabisa na huduma ya maji ya mamlaka, na Wakazi wake wanatumia maji ya...
Leo Jimbo Katoliki Moshi lilikuwa na Upadrisho wa mashemasi 18 katika Ibada ya misa hiyo ambayo iliiongozwa Askofu Mkuu huyo mstaafu wa wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam.
Mwisho wa Ibada...
Jana bana baada ya kazi kumbe nilipita bar flani kusuuza koo.nikapiga konyagi kubwa ile nikazima,sasa muda umeenda wahudumu wakaniamsha kuwa wanataka kufunga niondoke,me kwa utani nikawaambia...
Watumishi wawili wa ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Arusha wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru wakituhumiwa kwa mashtaka mawili, likiwemo la kumvua nguo na kumpiga picha za utupu mwandishi...
Hakuna mahali pagumu na pachungu kama kwenye mazishi yanayowakutanisha watu mahasimu wasiopatana au kuelewana, iwe ni ndugu, majirani wafanyabiashara, wanasiasa n.k. Ni mwendo wa kunafikiana tu.
Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima...
Miaka mingi iliyopita, nilipokuwa katika ujana wangu uliojaa wasiwasi na mashaka, nilikutana na mwanamke mzee mwenye busara nyingi, aliyekuwa na umri wa miaka sabini na tano. Alinipa nasaha za...
Waafrika wengi hung'ang'ania madaraka kwa hofu ya kurudia kuishi maisha yao ya kawaida ya zamani.
Lakini aliyekuwa Rais wa zamani wa Liberia, ambaye alishindwa kwenye uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo...
Wakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video.
Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ...
Kwa wasichana ni unyago, na kwa wavulana ni jando! Katika huu uzi, ,neno "jando" limetumika kama neno la jumla kwa wavulana na wasichana! Haya, twende sasa!
Kama umeshafika kwa Wakurya, Wamasai...
Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu.
Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake
Chama cha kupigania demokrasia...
Rais Mwinyi ndani ya miaka 4 kaifanyia Zanzibar Mambo makubwa sana hasa ukizingatia uwezo wa kibajeti ni mdogo.
Mfano mdogo tu, ndani ya miaka yake yake 4, amejenga shule za ghorofa 34.
Kwahiyo...
Kwamba Mume wa marehemu hajulikani jina au jina limehifadhiwa Kwa sababu za kiuchunguzi?
Wanaume tambueni kwamba ukiona msomi tena mtumishi usiwe na moyo mdogo vinginevyo yatakukuta.
=========...
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa...
Serikali imekuja na utaratibu Mpya wa utoaji wa Elimu ambapo imebadili mitaala na kuwa na mfumo unaolenga zaidi kutoa maarifa na ujuzi yaani Competency Based Curriculum.(CBC).
Kwa Sasa utaratibu...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amezindua Mikakati sita ya Mawasiliano ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Vyombo vya Usalama na kuagiza utekelezaji wa mikakati hiyo kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.